==
TAFITI zinaonesha umasikini wa mtanzania zaidi upo Vijijini, Rais Samia ameongeza Bajeti ya Kilimo mara nne (4) kutoka TZS294bn mpaka TZS1,200bn na hivyo kuongeza upatikanaji wa mbolea kutoka tani 678,017 mpaka tani 1,200,000.
Rais Samia ameongeza bajeti ya Kilimo kutoka TZS 294bn mwaka...