kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    LGE2024 Mara: Lissu akosoa uokoaji wahanga wa Kariakoo

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu akizungumzia zoezi la uokoaji wahanga wa ghorofa lililoporomoka Kariakoo November 21, 2024 mkoani Mara amesema anashangaa kuona watu hawajiulizi maswali haya muhimu; Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 LGE2024 Mbunge Abbas akabidhi pikipiki kwa vijana Golan itumike kama kitega uchumi

    Wakuu, Ila Abbas ana vituko:BearLaugh::BearLaugh:TAKUKURU hamuoni hizi rushwa nje nje? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 === Mbunge wa...
  3. Cute Wife

    PreGE2025 Tanga: Mwenyekiti CCM akabidhi vishkwambi kwa Madaktari Hospitali ya Wilaya Pangani ili kuwarahisishia kazi zao

    Wakuu, Huu ndio muda wao kutuoneshe ni watu wenye moyo sana na huruma mwingi, wenye kutoa bila choyo😂😂 Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za...
  4. Mindyou

    LGE2024 Godbless Lema: Ukiona mke wako anavaa chupi ya mwanamke mwingine ambaye ametokea Marekani, hiyo nyumba ina umasikini

    Wakuu, Hivi Lema huwa anafanya screening ya speech zake kable hajaenda kuongea on stage? Akizungumza kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa siku ya leo, Lema ametumia maneno magumu mno. Soma Pia: Godbless Lema: Hata mkiniambia tukaandamane Jumatatu ntawaongoza kuingia barabarani...
  5. Cute Wife

    LGE2024 UVCCM Iwawa, Njombe: Tuchagueni CCM tuwaletee maendeleo, Upinzani ni wapiga kelele tu!

    Wakuu, Tunaendelea kula popcorn wakati tunaendelea kuangalia movie. ==== Katibu wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kata ya Iwawa Benjamin Mahenge amewasihi wanaccm kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura za ndio wagombea wao na kuachana na wa vyama vya upinzani ambao kazi yao ni...
  6. Cute Wife

    LGE2024 Mgombea CHADEMA Makete: Badilisheni ladha tumbo litauma ukila maharage kila siku. Chagueni CHADEMA muishi kwa starehe

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga, kila kona ni mwendo wa kutamba na kuponda. Mnaenda kusikiliza sera za wagombea kwenye mitaa yenu? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
  7. Erythrocyte

    LGE2024 Ubungo: Kiongozi wa ACT Wazalendo aonya wananchi kupumbazwa na mambo ya Simba na Yanga

    Mwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amewataka wananchi wa Mtaa wa mtaa wa Tupendane, kata ya Manzese katika jimbo la Ubungo kuondokana na uoga ambao unakwamisha jitihada za kuleta maendeleo katika mtaa wao. Babu Duni ametoa wito huo Novemba 20...
  8. Mindyou

    LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Tukiona kiongozi wa mtaa anavimba kama harage lililopikwa baada ya kushinda, tutamuondoa

    Wakuu, Inaonekana baada ya kumaliza kutishia wapinzani, wameanza kutishiana na kusimangana wenyewe ndani ya chama Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewataka wagombea wa serikali za mitaa kuacha kujikwenza mara baada ya kuchaguliwa kwenye nafasi hiyo na...
  9. Cute Wife

    LGE2024 Jokate: CCM ndio chama kinachoheshimu Demokrasia

    Wakuu, Ya kweli hayo? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ===== Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amezindua rasmi kampeni za...
  10. Cute Wife

    LGE2024 Nape: Kimebaki chama kimoja tu vingine vyote ni kopi. Niliwaambia wapinzani Refa akishaweka mpira kati ni Goli!

    Wakuu, Nape asema, vyama vikikaribia kufa wanaanza kugombana, kama ilivyokuwa kwa Mrema na CHADEMA wanaelekea huko huko. Hivyo watu wasipoteze muda kwenye chama kingine, kwani chama original ni kimoja tu; CCM, vingine vyote ni kopi. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa...
  11. Cute Wife

    LGE2024 Ezekiel Wenje: Mkipiga kura msikubali kuuziwa uoga, kapige kambi kwenye kituo. Kanuni haijasema twende mita ngapi

    Wakuu, Mambo moto, ni mwendo wa kujitutumua kwa kwende mbere! ==== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Baada ya kupoteana kwenye...
  12. Cute Wife

    PreGE2025 Hali ya internet ikoje maeneo ulipo? Unaweza kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii bila shida?

    Wakuu salam, Hivi karibuni internet imekuwa changamoto kweli, wakati mwingine unakuwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kucheza game. Kadri siku zinavyoenda hali inazidi kuwa mbaya Na hii ni kwenye mitandao yote, unataka kununua umeme unaambiwa mtandao unasumbua, una ka intavyuu ka mtandaoni...
  13. Cute Wife

    PreGE2025 LGE2024 Leonce Marko Kada wa CHADEMA atimkia CCM

    Wakuu, Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM. Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  14. Cute Wife

    LGE2024 Nape: Wapinzani wanagombana, hawana namna, Samia atakuwa Rais kwa mara nyingine tena!

    Wakuu, Mambo yanaanza kuchangamsha, bumunda karudi na makeke yake mzee ropo ropo! ===== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Nape akiwa...
  15. Cute Wife

    PreGE2025 LGE2024 Mwenyekiti CCM Tanga (MCC) akabidhi Milioni 2 kwa wauza samaki ili kukuza mtaji

    Wakuu, Tunaendelea kwenye episode nyingine ya rushwa ambayo huwezi kuona TAKUKURU wakiipigia kelele. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeiagiza Serikali ya Wilaya ya Pangani kuhakikisha kinatenga eneo maalum kwa ajili ya wajasiriamali wadogo wanaojishughulisha na kuuza Samaki...
  16. Nyarupala

    PreGE2025 Uchaguzi Mkuu wa mwakani ufutwe ili kuokoa gharama

    Japo itaonekana ni kuvunja katiba lakini kuna sababu za msingi za kufanya hivyo. Hivi bunge halioni kujadili hili suala na hatimae mahakama kupitia mwanasheria mkuu wa serikal naye akashirikishwa na hatimaye ikapitishwa kwa kauli moja ya kwamba uchaguzi wa Rais na Wabunge usiwepo kwaajili ya...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa zimeanza, una matarajio gani kwa wagombea? Je, CCM itatoboa ushindi 99.9% kama 2019?

    Wakuu, Kampeni zimeanza rasmi leo Novemba 20, 2024, mambo yatakuwa moto huko mtaani kila chama kujinadi ili wajihakikishie ushindi mnono. Je, yapi matarajio yako kwa wagombea katika uchaguzi huu? Unadhani CCM watatoboa tena ushindi wa 99.9% kama ilivyokuwa 2019? Baada ya enguliwa nyingi kwa...
  18. Cute Wife

    LGE2024 Katibu NEC Issa Gavu: Fanya kosa lolote CCM lakini si usaliti, hatutakusamehe

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Oganaizesheni, Issa Usi Gavu, akiwa kwenye mkutano wa wana CCM Rorya amesema; "mwongozo uko wazi CCM, fanya kosa lolote tutakusamehe, kosa la usaliti hatuna msalia Mtume. Ukitusalitu hatutakusamehe, hatutokusahau, tutakuchukulia hatua."...
  19. Cute Wife

    LGE2024 Longido: Polisi Jamii watoa Elimu ya Mpiga Kura kwa wananchi

    Wakazi wa Longido wamepatiwa elimu ya mpiga kura ili kuepuka makosa wakati wa uchaguzi. Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Longido, ASP Tausi Mbalamwezi, amesema elimu hiyo inalenga kuwapa wananchi uelewa wa mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa uchaguzi. Pia ameongeza kuwa baada ya elimu hiyo...
  20. Cute Wife

    LGE2024 Polisi Makambako: Tutaimarisha ulinzi kipindi chote cha kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Jeshi la polisi Halmashauri ya mji Makambako,limesema kuwa limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha chote cha kampeni ili vyama vyote vya kisiasa vifanye kampeni zao kwa usalama bila kupata changamoto yoyote. Hayo yameelezwa na Mrakibu mwandamizi wa polisi...
Back
Top Bottom