kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    LGE2024 Kigoma: Mgombea wa ACT ashinda

    Wakuu Matokeo ya Uchaguzi yameanza, Zitto kabwe kupitia Ukurasa wake rasmi wa X amepost matokeo haya: --- PIA SOMA - LGE2024 - Kigoma: Mgombea Uenyekiti kupitia ACT Wazalndo ajitangaza mshindi kabla ya Uchaguzi akihitimisha kampeni
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Wasanii mnajua uchawa tu na kuhongwa mpitishe ajenda za kipuuzi, kupiga kura aaah!

    Wakuu, Mpaka sasa nimeona msanii mmoja tu ndio ampost akipiga kura, Ali Kiba, wengine nyiiiii! Mnajua kulamba nyayo tu na kula hela kupitisha ajenda za kipuuzi linakuja jambo la maana huoni mtu, waleeee wanakula kona. Au sababu kwenye kupiga kura hamna kujishaua shaua? Useless kabisa...
  3. Suley2019

    LGE2024 Bumbuli: January Makamba ajitokeza kupiga kura

    Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba ameshiriki kupiga kura ya kuchagua Viongozi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji katika kituo cha Kwevizelu Kata ya Mahezangulu Mkoani Tanga leo Novemba 27,2024. PIA SOMA - LGE2024 - January Makamba: CCM tunajivunia na sera...
  4. P

    Dar: Ali Kiba apiga kura uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, Mfalme wa muziki wa Bongo Flava na Rais wa CROWN MEDIA Ali Kiba ameshiriki zoezi la kupiga kura katika kituo alichojiandikisha leo Novemba 27.
  5. Waufukweni

    LGE2024 Geita: Utata majina ya wapiga kura, mkurugenzi atoa ufafanuzi

    Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
  6. Suley2019

    LGE2024 Tanga: Waziri Aweso ajitokeza kupiga Kura

    Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Pangani Mhe Jumaa Aweso akipiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa katika kijiji chake cha Sakura kwaKibuyu Kata ya Kipumbwi jimboni Pangani Mkoa wa Tanga.
  7. Suley2019

    LGE2024 Lindi: Salma Kikwete ajitokeza Kupiga Kura

    HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Mama Salma Rashid kikwete amewaongoza wananchi wa Jimbo hilo kushiriki zoezi la upigaji wa Kura kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Mama Salma ameshiriki zoezi hilo Katika kituo cha kupiga Kura cha Makasini kijiji cha Ruvu...
  8. Suley2019

    LGE2024 Mchengerwa: Wasimamizi wasaidieni Wananchi kutafuta majina

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amewaelekeza wasimamizi wa vituo vya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwasaidia wapiga kura kusoma orodha ya majina vizuri ili wote waliojiandikisha wapate fursa ya kupiga kura. Mchengerwa amesema...
  9. Suley2019

    LGE2024 Utafutaji majina wawa changamoto Arusha

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoani Arusha Simon Ngilisho amesema kuwa zoezi Upigaji kura limeanza vizuri lakini bado kuna changamoto kubwa ya utafutaji majina Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha zoezi la upigaji kura Mwenyekiti huyo amesema kuwa majina ya...
  10. Suley2019

    LGE2024 Pwani: Kunenge awaongoza Wananchi kupiga kura

    MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge ameongoza wakazi wa mkoa huo kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa. Kunenge amekuwa kati ya wananchi waliopiga kura katika kituo cha mkoani A ambao walifika na kupanga foleni kabla ya muda wa kuanza kupiga kura saa mbili asubuhi. Nipashe...
  11. Suley2019

    LGE2024 Dodoma: Waziri Ndejembi ajitokeza kupiga kura, ahimiza Wananchi kujitokeza

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka wananchi wa Chamwino kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi wao ambao watawasaidia katika kuwaletea maendeleo. Waziri Ndejembi ameyaeleza hayo leo Jumatano Novemba 27, 204 mara baada ya kushiriki zoezi la...
  12. Suley2019

    LGE2024 Dkt. Nchimbi ajitokeza kupiga kura Dodoma

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi, eneo la Kilimani, jijini Dodoma, tarehe 27 Novemba, 2024. PIA SOMA - LGE2024 -...
  13. Cute Wife

    LGE2024 Dar: Mwenyekiti Baraza Vyama vya Siasa akanusha madai ya baadhi ya vituo vya kupigia kura kuendesha zoezi kinyume na utaratibu

    Wakuu, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Juma Khatibu amekanusha madai yanayochapishwa kupitia Video Clip inayosambaa Mitandao ya Kijamii kuhusu baadhi ya Vituo vya kupiga kura kuendesha zoezi hilo kinyume na Utaratibu. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za...
  14. Cute Wife

    LGE2024 Mbeya: Sugu ashiriki zoezi la kupiga kura

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA) Kanda ya Ziwa Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu, ni miongoni mwa wakazi waliojitokeza kupiga kura katika Mtaa wa Tonya Jijini Mbeya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi. Kupata taarifa na matukio ya...
  15. Cute Wife

    LGE2024 Songwe: CHADEMA Momba wajitoa kwenye uchaguzi

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe kimeeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya vitendo visivyofaa kwenye zoezi la uchaguzi ulioanza mapema leo, Jumatano Novemba 27.2024 ikiwemo baadhi ya wagombea wao kutokuta majina kwenye vituo vyao na kuongezwa...
  16. Cute Wife

    LGE2024 Dar: Prof. Kitila Mkumbo ashiriki kupiga kura, asema wananchi wasichukulie poa uchaguzi huu

    Wakuu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amepiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Manzese Mtaa wa Kilimani, Manispaa ya Ubungo Dar Es Salaam. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura...
  18. Cute Wife

    LGE2024 Iringa: RC Serukamba ashiriki zoezi la kupiga kura, asema changamoto ya wakala wa CHADEMA yatatuliwa

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Peter Serukamba ameshiriki zoezi la kupiga kura Kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa Leo Nov 27 2024. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
  19. Cute Wife

    LGE2024 Kigoma: Zitto apiga kura uchaguzi serikali za mitaa, azungumzia kura bandia kukamatwa

    Wakuu, Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesisitiza umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akibainisha kuwa uchaguzi huu ni fursa kwa wananchi kupata viongozi wa karibu wanaoshughulikia changamoto za moja kwa moja katika maeneo yao...
  20. Cute Wife

    LGE2024 Mtwara: RC Sawala ashiriki zoezi la kupiga kura, asisitiza wananchi kuwa na uchaguzi wa amani na utulivu

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala Leo Novemba 27,2024 ameshiriki zoezi la kupiga kura kwenye kituo cha Rest House kilichopo mtaa wa Shangani East Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara. Kanali Sawala amewahimiza wananchi wa Mtwara kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi hilo...
Back
Top Bottom