kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    LGE2024 Lindi: CCM na CUF wafungana Matokeo ya Uchaguzi Liwale, Uchaguzi kurudiwa

    Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri ya Liwale, Tina Sekambo, ametangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa leo, Novemba 28, 2024, ofisini kwake, mbele ya waandishi wa habari. Katika taarifa yake, Sekambo ameleza kuwa halmashauri ya Liwale inajumla ya vijiji 76 na...
  2. Cute Wife

    LGE2024 Morogoro: Wananchi Ruaha wapiga kura baada ya zoezi hilo kuahirishwa jana Novemba 27, 2024, wahofia wingi wa polisi

    Wakuu, Wananchi wa kata ya Ruaha Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamefanya zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa Leo Novemba 28, 2024 baada ya zoezi hilo kuahirishwa siku ya jana kutokana na wananchi kuhofia uwepo wa askari wengi katika vituo hivyo vya kupigia kura. Kupata taarifa na...
  3. Cute Wife

    LGE2024 Songwe: Jeshi la Polisi linawashikilia Gidion Siame na Fiston Haonga wa CHADEMA kwa kosa la kujeruhi

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia Gidion Kefasi Siame (34) Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Momba na Fiston Alinoti Haonga (57) ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Jimbo la Momba CHADEMA wote Wakazi wa Kijiji cha Nakawale...
  4. Cute Wife

    LGE2024 Mkurugenzi Mtendaji wa FAOPA: Uchaguzi huu umefana, zoezi limefanyika kwa amani, tuipongeze mamlaka

    Wakuu, Kwahiyo wamewapanga hawa waangalizi ili kujustify udhalimu wao! Mwakani hali itakuwa mbaya! ===== Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la FAOPA, Mtwara (Wadau wa masuala ya Demokrasia na Utawala Bora), Baltazar Komba amezungumzia mwenendo wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 akisema...
  5. Cute Wife

    LGE2024 CHAUMMA yapata ushindi wa kiti 1 kati ya viti 181 Mbeya na kuwa chama pekee cha upinzani kilichopata ushindi mkoani humo

    Wakuu, CHADEMA, ACT hola? Wagombea walienguliwa wote au nini kimetokea? CHAUMA upinzani anashinda anamshukuru Rais Samia kwa kushinda? CCM safari hii mmetisher!:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh: ===== Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimefanikiwa kupata ushindi katika nafasi ya...
  6. Cute Wife

    LGE2024 Babati: Wagombea wa CHADEMA hawakuondolewa kwa uonevu, mtu hawezi kuwa wakala na mgombea kwa wakati mmoja

    Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati mjini Shaban Mpendu ameeleza uhalisia wa madai ya CHADEMA kuwa mawakala wake 63 waliondolewa kwenye vituo wakati wa upigaji kura. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha...
  7. Cute Wife

    LGE2024 Dodoma: Katibu wa BAKWATA, Askofu wasema kuna watu hawaitakii mema Tanzania, wanasambaza habari potofu kuhusu uchaguzi

    Wakuu, Kuna vitu mpaka aibu unaona wewe! Useless kabisa! Baadhi ya viongozi wa dini nchini wamesema kuwa wamebaini viashiri vya uwepo wa namba za simu za nje ya nchi zikihamasisha taarifa potofu kwa lengo la kuwagawa Watanzania, huku wakidai kuwa kuna watu ambao hawaitakii mema Tanzania...
  8. Cute Wife

    PreGE2025 Idris Sultan: Madereva wote wa Serikali wavae Samia Suit. Mnavaa suti za Kaunda wakati hamumjui, Samia mnamjua

    Wakuu, Naona safari ya Korea imetiki! Tunazidi kukuza vijana waliojaa funza na kamasi kichwani! === Mwigizaji wa filamu nchini Idris Sultan ambaye pia ni Jaji katika Onyesho la Samia Fashion Festival Idris Sultan amesema kuwa watu wanazungumzia kuhusu 'Kaunda Suit' ila Watanzania hawamjui...
  9. Cute Wife

    PreGE2025 Khadija Mwanamboka aipeleka Samia Fashion Festival Zanzibar, kufanyika Novemba 30, 2024

    Wakuu, Naona sasa hivi habari ya mjini ni kuwa chawa tu, mambo ya maana wanaweka pembeni utafikiri kwenye vichwa wamejaza kamasi pekee, ni huzuni! ===== Khadija Mwanamboka kuipeleka Samia Fashion Festival Zanzibar. Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi...
  10. Suley2019

    LGE2024 Dar es Salaam: Vyama 14 vya Siasa vyadai kuridhishwa na matokeo ya Uchaguzi

    VYAMA 14 vya siasa vimesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana ulikuwa huru na haki. Aidha vyama hivyo vimeipongeza serikali chini ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan, kwa maandalizi mazuri tangu mwanzo wa kupata wagombea, kampeni na upigaji kura. Vyama hivyo vimetoa tamko hilo mapema...
  11. P

    LGE2024 Polisi: Taarifa za kukamatwa, kuvunjwa mkono wagombea wa CHADEMA zimetengenezwa na kuongezwa chumvi

    Wakuu, Polisi safari hii ni boko baada ya boko! Siku hizi mbili yametoka matamko naona karibu ziko zote toka nianze kufolo page za polisi TZ. ===== TAARIFA KWA UMMA Zipo taarifa kwenye Mitandao ya Kijamii na Vyombo vingine inayoonyesha kutolewa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Katavi, Roda...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Askofu Ruwa'ichi: Hatuwezi kukaa kimya wakati tunapitia vipindi vigumu, ni jukumu letu kutoa matamko

    Wakuu, Wananchi tunaangusha hii nchi, kubaki kulalamika vitendo 0, ikifika muda wa kupiga haoooo tunaenda kupigia mifuko ya sukari na vitenge🤦‍♂️🤦‍♂️ ==== Ni kweli kama maaskofu wa tanzania tumetoa matamko mengi, na hilo siyo jambo ambalo tunalifanya kwa kukurupuka, ni jambo ambalo...
  13. Cute Wife

    LGE2024 Askofu Mstaafu Peter Konki: Vyama vya Upinzani vyatakiwa kuendelea Kujipanga kuongeza Ushindani

    Wakuu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Makanisa ya Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki, amehimiza wananchi kuendeleza umoja baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, na kuvitaka vyama vya upinzani kuendelea kujipanga ili kuongeza ushindani. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi...
  14. Cute Wife

    LGE2024 Askofu Juda Ruwa'ichi atoa tamko kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa

    Wakuu, Askofu Mkuu Jimbo la Dar na Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania, Juda Thadeus Ruwa'ichi anatoa tamko sasa hivi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, Katika mkutano na Wanahabari unafanyika kwenye viunga vya 'Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma Mji mpya...
  15. Cute Wife

    LGE2024 DED Kilosa: CHADEMA walikwamisha Uchaguzi Ruaha jana

    Wakuu, Imeelezwa kuwa sababu zilizopelekea kata ya Ruaha, jimbo la Mikumi, mkoani Morogoro yenye vijiji vinne (4) na vitongoji 21 kushindwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa hapo jana, Novemba 27.2024 badala yake kufanyika leo, Alhamisi Novemba 28.2024 ni kutokana na vurugu zilizoanzishwa...
  16. Cute Wife

    LGE2024 Njombe: Rose Mayemba asema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni operesheni ya kuwashughulikia wapinzani

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Njombe Rose Mayemba amedai kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana, Novemba 27.2024 nchini kote haukuwa uchaguzi kama ilivyodhaniwa badala yake ilikuwa ni oparesheni kuwashughulikia wapinzani nchini Rose...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Lindi: Zitto alalamika matokeo ya Kilwa Kusini kutotangazwa licha ya ACT kushinda baada ya kuzuiwa na Askari

    Wakuu, Kupitia ukurasa wa X Zitto Kaandikwa haya; Kijiji cha Kiranjeranje kilichopo jimbo la kilwa kusini mkoani lindi,ACT Imeshinda kijiji na msimamizi aliamua kuwa atatangaza. Polisi wakamuambia maagizo hayako hivyo, yeye akasema tunatangaza matokeo kwa mujibu wa sheria na siyo maagizo...
  18. Cute Wife

    LGE2024 Tabora: Tuhuma za wakala CHADEMA kutolewa kituoni zakanushwa

    Wakuu, Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa jimbo la Nzega Vijijini na Bukhene, Mhandisi Modest Apolinary amekanusha kuhusu tuhuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa wakala wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kituo cha kupigia kura kwenye Chuo cha Ualimu Ndala...
  19. Cute Wife

    LGE2024 Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yakoje mtaani kwako? Nani Kashinda?

    Wakuu, Tumemaliza kupiga kura jana na matokeo yaanza kuingia jana ile ile kwenye baadhi ya maeneo. Hali ikoje mtaani kwako? CHAMA gani kimeshinda? PIA SOMA - LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
  20. Chakaza

    LGE2024 Kwa yaliyojitokeza Uchaguzi Serikali za Mitaa, Waziri Mchengerwa ulistahili kushtakiwa kwa uhaini

    Ulitahadharishwa kutokea mapema juu ya uchaguzi huu wa serikali za mitaa na kasoro zake tokea uandikishaji kama waziri mwenye dhamana ukadharau. Ukashauriwa hiki na kile pia ukapuuza hadi uchaguzi kwa kiwango cha kutisha umeharibika na watu kadhaa wameripotiwa kuuwawa. Ni upole tuu wa vyama...
Back
Top Bottom