kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    LGE2024 Tabora: Mawakala wa CHADEMA na CCM wakimbia na mabox ya kura Nzega

    Wakuu, Mawakala wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Bukene na Wakala wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Jimbo la Nzega vijijini, wamekimbia na maboksi ya kupigia kura baada ya wagombea wao kuzidiwa kura kwenye uchaguzi waliokuwa wanausimamia. Akizungumza na Mwananchi leo...
  2. Cute Wife

    LGE2024 Mchengerwa: Changamoto zilizojitokeza zinatusaidia kujipanga uchaguzi ujao

    Wakuu, Kwahiyo waliacha matobo makusudi ili waje watuambie watafanya vizuri wakati mwingine, wakati wananchi watakaa na uozo huo kwa zaidi ya miaka 3? Eti taifa letu changa, mfumo wa vyama vingi tumeanza juzi! Am so wandaz:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: === Kupata taarifa na matukio ya...
  3. Suley2019

    LGE2024 Kwimba: Mkuu wa Wilaya awataka Wagombea kushangilia ushindi kwa ustaarabu

    Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng'wilabuzu Ludigija, amewapongeza wananchi wa wilaya hiyo kwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa amani na utulivu, bila kuzusha fujo yoyote. Aidha, ametoa wito kwa wananchi ambao wagombea wao wameshinda, kusherehekea kwa ustaarabu, ili...
  4. Cute Wife

    LGE2024 Mwanza: CCM yashinda Majengo Mapya, Ilemela

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya mtaa wa Majengo Mapya, Kata ya Buswelu...
  5. Suley2019

    LGE2024 Pwani: CHADEMA waeleza changamoto za Uchaguzi

    Baraza la Wanawake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) Kanda ya Pwani leo Novemba 27, 2024 limetembelea vituo vya kupigia kura katika mitaa mbalimbali ya Kinondoni likiwa limeambatana na kaimu Mwenyekiti wa Baraza hilo Taifa, Sharifa Suleiman. Wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la...
  6. Suley2019

    LGE2024 Dodoma: DED Sagamiko asema Vurugu Site 1 ni nia ovu dhidi ya Uchaguzi

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jijini la Dodoma ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dkt. Frederick Sagamiko amesema vurugu zilizoibuka katika kituo cha kupigia kura cha Site 1, mtaa wa Mlimwa, Jijini Dodoma kati ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
  7. Suley2019

    LGE2024 Arumeru Mashariki: Chama cha ACT Wazalendo chadai kushinda Wenyekiti Kata ya Leguriki

    Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki. ACT Kura 528 CCM Kura 417 Kwa hivyo Jotsun Mbise ndio Mwenyekiti wa Kijiji cha Nkoasenga. PIA SOMA - LGE2024 - Arumeru: Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Seela Sing’isi waenguliwa...
  8. Suley2019

    LGE2024 Mwanza: Makada wa CHADEMA wadaiwa kukimbia na boksi la kura

    Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kwa matukio matatu tofauti likiwemo la vijana wawili ambao ni makada wa CHADEMA kukamatwa wakiwa na karatasi 181 za kupigia kura. Kamanda wa Polisi Kamishina Msaidizi wa polisi DCP Wilbroad Mutafungwa, amesema majira ya saa moja na nusu...
  9. Cute Wife

    LGE2024 Polisi Rukwa: Vijana CCM hawakuwa na nia ya kuchoma nyumba ya Mbunge

    Wakuu, Maake hapo kwanza ncheke! === Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vijana sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukamatwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida Kenan wakiwa na petroli lita 20 kwa lengo la...
  10. Suley2019

    LGE2024 ACT Wazalendo waelezea rafu walizokutana nazo katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    TAARIFA KWA UMMA Tumeendelea kupokea matukio hujuma kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Utekaji, ukamataji kinyume cha sheria, kura feki, na kusumbuliwa kwa mawakala. === TAARIFA KWA UMMA Kwa sasa zoezi la upigaji kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na...
  11. Suley2019

    LGE2024 Mkurugenzi Kigoma akiri uwepo wa kura 'feki'

    Wakati Novemba 27, 2024 ikiwa ni zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, mkoani Kigoma tangu asubuhi kumeshuhudiwa malalamiko ya uwepo wa kura feki licha ya wimbi la wananchi kuonekana kujitokeza kupiga kura. Hali hii imeshuhudiwa katika maeneo ya Mwandiga, ya...
  12. Suley2019

    PreGE2025 LGE2024 Misungwi: Watu wenye ulemavu waomba mazingira wezeshi kupiga kura

    Watu wenye ulemavu wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza wameiomba serikali kuwawekea mazingira wezeshi ya kupiga kura kwa kuwawekea karatasi zenye maandishi ya nukta nundu yatakayowawezesha kupiga kura bila kusaidiwa na mtu yeyote. Wamesema kutokana na zoezi la upigaji kura kuwa la siri kwa mtu...
  13. Suley2019

    LGE2024 Meru: CHADEMA Wadai kupata ushindi katika kijiji cha Nshupu

    Kata ya Nkoaranga Kijiji cha Nshupu tumeshinda kitongoji kimoja tayari na wakala wa ccm amekimbia na kura zilizopigwa tayari tumeamishia nguvu na jeshi la Polisi wamekuja na tayari matokeo yamebandikwa.
  14. Suley2019

    LGE2024 Nyalandu: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu umekuwa na muamko mkubwa

    Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka Huu Umekuwa na Mwamko Mkubwa Akisisitiza kuwa hiyo ni Ishara ya Kuimarika kwa Demokrasia Nchini. Akizungumza katika Kituo cha Kupiga Kura Ilongero Nyalandu Amesema Amejionea Hali ya Utulivu na...
  15. Suley2019

    LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi akutwa na kura 25 zilizopigwa kwa Mgombea wa CCM

    Msimamizi wa uchaguzi amekamatwa Kura feki 25 zilizo pigwa kabisa kwa Mgombea wa CCM, Haya Mauchafu Yanaendelea Nchi Nzima.
  16. Suley2019

    LGE2024 Iringa: Mkuu wa Mkoa Serukamba asema changamoto za Uchaguzi zimetatuliwa vyema katika mkoa wake

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, amepongeza mwenendo wa upigaji kura katika mkoa huo, akieleza kuwa mchakato huo umekwenda vizuri licha ya baadhi ya changamoto zilizojitokeza. Serukamba amesema changamoto hizo zimeshughulikiwa haraka ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa huru na haki...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Kigoma: Vijana wawekwa chini ya ulinzi kwa wizi wa kura baada ya polisi kuingilia kati

    Wakuu, Uchaguzi huu umekuwa disaster! Mkuu utakuaje kwa trela hili? Pia soma: LGE2024 - Kigoma: Wananchi wafanya vurugu kituo cha kupiga kura Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote...
  18. Suley2019

    LGE2024 Singida: Mbunge Jesca Kishoa ajitokeza kupiga Kura

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka Singida, Jesca Kishoa, leo Novemba 27, 2024, ametimiza haki yake ya kidemokrasia kwa kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kijiji cha Maziliga, Nduguti, wilayani Mkalama, Singida, alikozaliwa. Baada ya kupiga kura, Kishoa amesema, "Leo nimetumia...
  19. Cute Wife

    LGE2024 Shinyanga: Apatikana na karatasi za kura ambazo zimepigwa kwa mgombea wa CCM zaidi ya 100

    Wakuu, Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje? Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
  20. Suley2019

    LGE2024 Geita: ACT Wazalendo waitupia lawama CCM changamoto za Uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Geita, Lucas Tibengana amesema kuwa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa limekumbwa na changamoto kutokana na mfumo wa majina, hali Iliyosababisha baadhi ya wananchi kushindwa kushiriki katika upigaji kura. Akizungumza katika kituo cha kupigia...
Back
Top Bottom