Wakuu,
Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumatano, Novemba 27, 2024 nchini Tanzania, jijini Arusha kumekuwa na malalamiko kutoka kwa vyama vya siasa, hususan CHADEMA
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa...
WAKATI vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji vikihitimisha kampeni zake leo, kupisha uchaguzi wa viongozi hao Novemba 27, wananchi wa kwa Sadala, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameeleza kufurahishwa kwao na namna walivyojengewa uwezo na ujasiri wa...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema wamejipanga kudumisha amani na utulivu kesho katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, huku likitahadharisha wanaotaka kuuvuruga.
Misime amesema hayo leo Jumanne Novemba 26, 2024 kupitia video fupi iliyopakiwa katika mitandao ya kijamii ya...
Wakuu,
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, ameungana na Waislamu wa wilaya ya Missenyi na Mkoa wa Kagera kwa ujumla katika Maulid ya Bwana Mtume Mohammad [s.a.w] iliyosomwa katika Kata ya Kyaka wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa...
Wakuu,
Ukifanya nywiii fastaaa unaenda kufinywa!
Jeshi la polisi mkoani Kagera kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, mwaka huu limepokea magari mapya matano ili kuongeza nguvu na kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa Amani katika maeneo yote.
Akiongea na waandishi wa habari mjini...
Wakuu,
“Uchaguzi huu utakuwa huru, Utakuwa na Haki”. Haya ni maneno ya Uhakikisho yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro Mwl. Raymond Mwangwala wakati akiongoza matembezi ya taratibu ‘Jogging’ kwa Wananchi, Watumishi wa Umma na Taasisi mbalimbali zilizopo Wilayani humo...
Salaam wanaforum wenzangu
Wiki chache zilizopita tulishuhudia askofu Shoo akimnadi Rais Samia kuwa aongezewe miaka mitano tena huku akisema huyu mama amefanya mambo makubwa sana katika kipind hiki alichokaa madarakani
Soma pia:
Kuelekea 2025 - Askofu Shoo: Mungu amepanga Rais Samia kuwa Rais...
Sasa hivi tutawaona sana vijiweni, kwa mama ntilie, kwenye bodaboda, kwenye michezo hasa ligi za kisiasa( diwani / mbunge cup) nk
PIA SOMA
- LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Angalieni wenyewe namna Polisi wanavyohangaika na mtu ambaye wala hana silaha yoyote
Halafu rudisheni kumbukumbu ya namna walishughulikia ajali ya ghorofa Kariakoo.
---
Wakati Jeshi la Polisi mkoani Songwe likimaliza mahojiano na kada wa Chadema, Mdude Nyagali, mwanaharakati huyo anapelekwa...
Wakuu,
Waziri Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametoa wito kwa Watanzania kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 kwani uchaguzi huo ni muhimu kwa kuwa unawezesha kupatikana viongozi wa ngazi za chini kabisa katika muundo wa uongozi hapa nchini
Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi...
Wakuu,
Lungo hilo la kuwanyamazisha waandishi wa habari kipindi hiki cha uchaguzi. Habari za Uchochezi ni zipi?
=====
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limefanya kikao kazi na Waandishi wa Habari na kuwataka kujiepusha kuandika, kuripoti habari za uchochezi hususani kipindi hiki cha kuelekea...
"Niliishiwa na nguvu, baada ya kutolewa katika chumba cha kupigia kura, wakati Mimi nilikuwa ni mgombea halali wa uwakikishi Jimbo la Malindi Mwaka 2020," anasema Khadija.
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, alitolewa katika chumba cha kupigia kura, na kuvumilia ukatili wa Kijinsia, wa...
Wakuu,
Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema leo Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM akiwa katika viwanja vya kilombero.
Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa...
Wakuu,
Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhandisi Ali Suleiman Ali ameendelea kuchanja mbuga nyumba kwa nyumba mitaani...
Wakuu,
Ni mwendo wa kujisafisha sasa hivi na kujifanya mwema na mwenye huruma mpaka kieleweke.
=====
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa...
Wakuu,
CCM wameendelea kutoa tambo na confidence waliyonayo katika kushinda Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa.
Soma pia: Msimamizi wa Uchaguzi Njombe: Hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi
Kwenye kampeni za CCM za kuwanadi wagombea wote wa kijiji cha Tandala wilayani...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, amewataka wananchi wa mtaa wa Kampuni, kata ya Misunkumilo, Mpanda Mjini, kujitokeza kwa wingi na kufanya maamuzi sahihi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Soma pia: Mwenyekiti CHADEMA Katavi...
Wakuu,
Taarifa za kukamatwa na kisha kushikiliwa kwa Steven Membe ambaye pia ni mtia nia wa kuwania Ubunge wa jimbo la Mtama, Lindi kupitia CHADEMA katika uchaguzi mkuu ujao (2025) zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii hatua ambayo iliibua maswali na sintofahamu huku kukiwa na hisia...
Mimi nimtanganyika Zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila ninauliza
Huko Nako mpaka Kizimkazi Kuna uchaguzi wa Serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi?
Kupata taarifa zote za kimkoa kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala...
Wakuu,
Vuguvugu la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limeendelea kuwa kali.
Hivi karibuni Dotto Biteko ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya (CCM) Taifa ametoa tahadhari kuwa hata kama vyama vya upinzani vimeahidi kutojitoa kwenye Uchaguzi lakini bado vitapigwa tu.
Soma pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.