kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    LGE2024 Dar: RC Chalamila ashiriki zoezi la kura uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipiga kura ya kuwachagua viongozi wa Serikali ya Mtaa, katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masaki. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote...
  2. Cute Wife

    LGE2024 Arusha: Makonda apiga kura. Akataza kulinda kura, asema wasiingilie majukumu ya watu wengine, ni kazi ya mamlaka

    Wakuu, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameshiriki zoezi la upigaji kura leo Novemba 27 ,2024 mkoani Arusha ikiwa ni katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo amewataka wananchi kupiga kura na kuondoka eneo la vituo vya uchaguzi kwakuwa kazi ya kulinda kura tayari ipo kwa mawakala wa...
  3. Roving Journalist

    LGE2024 Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye Zoezi zima Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Wakati zoezi la kupiga kura linaendelea vitendo vya uchakachuaji na malalamiko ya kuonewa wakati wa uchaguzi huwa havikosekani. Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Uzi huu utakuwa maalum...
  4. Cute Wife

    LGE2024 Geita: Naibu Waziri Doto Biteko ajitokeza kupiga kura uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, "Uchaguzi huu tuufanye kwa amani na utulivu, aliyeshinda atangazwe na ambaye hajashinda asitangazwe. Niwaombe watu wote waliojiandikisha wasiache kuja kutumia haki yao ya kikatiba kuchagua kiongozi wanaemtaka ili tuweze kusukuma mbele maendeleo yetu. Kupata taarifa na matukio ya...
  5. Cute Wife

    LGE2024 Kigoma: Kamanda wa Polisi apiga kura, asema wananchi waachane na mambo ya kulinda kura, wawaamini mawakala

    Wakuu, Si ndio huko mpaka saivi mgombea kashashikwa na kura zilizopigwa, mnaambiwa muamini mawakala, watafanya kazi nzuri kama malaika!:KEKWlaugh::KEKWlaugh: Asema usipoelewa utaelimishwa, na ukielimishwa lakini bado hujaelewa utachukuliwa ukaelimishwe zaidi mbere kwa mbere :BearLaugh...
  6. Cute Wife

    LGE2024 Dar: Wananchi Mtaa wa Sinza B walalamika majina kutobandikwa kituoni

    Wakuu, Wananchi wa Mtaa Sinza B, Wilaya ya Ubungo Dar Es Salaam wamelalamikia kutokubandikwa kwa majina yao nje ya kituo cha kupiga kura cha Shule ya Sekondari Mashujaa jambo linalopekea wao kusumbuka mpaka kupata majina. Jambo TV imezungumza na baadhi ya wananchi waliofika kituoni hapo...
  7. Cute Wife

    LGE2024 Lindi: Nape ashiriki zoezi la kupiga kura Mtama

    Wakuu, Bwana Bumunda na wanchi mbalimbali wajitokeza kupiga kura uchaguzi wa serikali ya mtaa kama mnavyoona kwenye picha. Hivi ndio walisema saa nne matokeo yanakuwa tayari eeeh? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
  8. Cute Wife

    PreGE2025 Arusha: Gambo asaidia malazi kwa manusura wa ajali ya moto

    Wakuu, Unatoa msaada ukiwa umevaa shati ya mama mitano tena :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ===== Zaidi ya wananchi 15 katika Kata ya Unga Limited mkoani Arusha, wamelazimika kulala nje kwa zaidi ya siku 10 baada ya moto uliotajwa kusababishwa na shoti ya umeme kuteketeza...
  9. Cute Wife

    LGE2024 Kigoma: Mgombea adaiwa kukamatwa na kura feki

    Wakuu, Ingia hapa kupata matukio yote ya uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/special-thread-mijadala-ya-mikoa-yote-tanzania-bara-inayoshiriki-katika-uchaguzi-wa-serikali-za-mitaa-2024.2265632/ Anayedaiwa kuwa mgombea katika kitongoji cha Mgera B...
  10. Cute Wife

    LGE2024 Dodoma: Rais Samia apanga foleni ya kupiga kura uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, Tunasubiri igizo la kupanga foleni wakati kwenye misafara tunakaa masaa matatu kumpisha :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Kutoka Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma Leo Novemba 27, 2024 katika kituo cha kupiga kura za uchaguzi za Serikali za Mitaa baadhi ya wakazi wa eneo Hilo...
  11. Mtoa Taarifa

    LGE2024 Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura

    Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura...
  12. Suley2019

    LGE2024 Pwani: Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar ataka CCM wasiwachukie Wapinzani

    MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amewataka Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutowachukia wagombea wa vyama vingine waliojitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani wameshiriki kukamilisha Demokrasia. Makamu huyo wa Rais ameyasema hayo alipokuwa akifunga...
  13. Suley2019

    LGE2024 Amos Makalla: Mawakala wetu watalinda kura ipasavyo

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amesema kampeni za chama hicho zilizofanyika kwa siku sita katika majimbo nane ya mkoa wa Dar es Salaam zimeonesha dalili za ushindi mkubwa kwa CCM. Akizungumza kwenye mkutano wa kufunga...
  14. Suley2019

    LGE2024 Morogoro: CHADEMA yadai Mwenyekiti wao wa Kanda ya Kati ajeruhiwa wakigombea Uwanja na CCM

    Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zimehitimishwa rasmi hapo jana, Jumanne Novemba 26.2024 huku leo, Jumatano Novemba 27.2024 zoezi linalosubiriwa na wengi ni la upigaji wa kura, ambapo kufuatia sera za mbalimbali vya siasa wananchi wanayo nafasi sasa ya kuchagua viongozi wanaowataka Hata...
  15. Cute Wife

    LGE2024 Kigoma: Kura feki zakamatwa Mwandiga

    WAkuu, Kupitia ukurasa wa X wa ACT Wazalendo wameweka taarifa hii, mambo yameanza kunoga mapemaaa! Kupata matukio yanyojiri kimkoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
  16. Cute Wife

    LGE2024 Pwani: DC Nikki wa Pili na RC Kunnenge wapanga foleni kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Drama zinaendelea mpaka siku ya uchaguzi! Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kibaha na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Kunnenge wakiwa kwenye foleni ya kwenda kupiga...
  17. Suley2019

    LGE2024 Kigoma: Zitto Kabwe aonya wizi wa kura, atoa rai Wananchi kuzilinda

    Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, amewataka watendaji wa Manispaa ya Kigoma Ujiji kuacha kukikumbatia chama cha CCM kwani ni chama ambacho kimeshindwa kuwalinda watendaji wa manispaa na watendaji wa kata hivyo katika uchaguzi wa Novemba 27, wasiingize mguu wao uwanjani...
  18. Suley2019

    LGE2024 Abdallah Kambaya: CCM inahudumia Wananchi katika misingi ya sera

    Kada wa chama cha mapinduzi CCM Bwana Abdallah kambaya Amesema chama hicho kinajenga hoja kwa misingi ya Sera Katika kuwahudumia wananchi wake Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na wananchi wa kijiji cha mtumbikile kata ya kilangala huko manispaa ya Lindi wakati wa mkutano wa kufunga kampeni...
  19. Suley2019

    LGE2024 Mawakala wa CHADEMA Arusha ngoma nzito, wadai kukosa fomu za kiapo

    Mwenyekiti wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kanda ya kaskazini Godbless Lema pamoja na wanachama wa chama hicho wamefika katika ofisi za Halmashauri ya Jiji la Arusha baada ya mawakala wao kuapishwa na kuto kupewa Fomu licha ya kuwa siku ya uchaguzi ni kesho. Akizungumza wakati...
  20. Suley2019

    LGE2024 Kituko: Aliyepitishwa Kugombea CHADEMA ahamia CCM

    Aliyekuwa mgombea wa Mtaa wa Viwandani kata ya Unga LTD Jijini Arusha kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumatano Novemba 27, 2024, Julius Shedrack amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akieleza kuguswa na mwenendo wa...
Back
Top Bottom