"Umati huu wa watu ambao mmekusanyika leo(Novemba 29, 2024) uwanja huu wa Kawawa ni ishara dhahiri ya kwamba sisi ndio washindi katika uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa Vijiji na Vitongoji”
“Kama CCM wanaamini kuwa wao ndio washindi waje wathubutu kutujibu mkutano kama huu hapa Kawawa...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amedai katika uchaguzi uliofanyika wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji kulikuwa na kura nyingi za bandia katika maeneo mbalimbali nchini jambo ambalo lilikuwa dalili ya kufanyika kwa ubadhirifu katika chaguzi huo.
Zitto ameyasema hayo...
Wakuu,
Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?🤔🤔
====
Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
Chama cha Upinzani nchini Tanzania TLP kimesema...
Wakuu,
Tawi la CCM limeipongeza CCM kwa ushindi mnono😂😂
Chama cha Upinzani nchini Tanzania NLD kimetoa Pongezi kwa Chama tawala CCM kwa kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na kubainisha kuwa wamejifunza mambo mengi sana kutoka CCM katika uchaguzi huu wa serikali za...
Wakuu,
Inadaiwa kuwa Jeshi la Polisi mkoani Katavi kupitia kwa Mkuu wa Upelelezi mkoani humo limemuita kwa mahojiano Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Katavi Rhoda leo, Jumamosi Novemba 30.2024 asubuhi
Kwa mujibu wa Rhoda mwenyewe, amedai kuwa kupitia wito huo aliopatiwa Novemba 29.2024...
Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto ameongea mengi:
- Amewaonya CCM kuwa wanachofanya kwa sasa kitawageuka kama inavyotokea nchi nyingine.
- Ametolea mfano yanayoendelea Angola na Msumbiji kuwa Vyama tawala vilitegemea Vyombo vya Dola kubaki madarakani
-...
Wakuu,
Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa
Zitto amesema kuwa hakuna haja ya wananchi kuzipa imani...
Wakuu,
Kwenye mkutano na wananchi Kigoma Novemba 29, 2024 Zitto amesema, haya ndio maelekezo ya kamati ya jimbo kuwa;
"Mitaa yote 67 ambayo CCM wameipora tunakwenda mahakamani. Tunafungu akesi 67, tunamshtaki msimamizi uchaguzi wa manispaa, msimamizi msaidizi wa uchaguzi na aliyewatangaza...
Wakuu,
Huyu Zahoro Matelephone ni nani kiasi cha RC anakwenda kuzindua kiduka chake? Yaani ni kama Vile Chalamila ameenda kariakoo akazindua kaduka maeneo hayo akaenda na makamera kabisa kuonesha amefanya uzinguzi huo.
Huyu Zahoro ni nani? Ana nguvu sana huko SISIEMU? Au anawamwagia sana hela?
Wakuu,
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na kumhoji aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti katika mtaa wa Buswelu A kupitia CHADEMA, Pastory Apolinary Sililo anayedaiwa kuwa alitekwa na watu wasiojulikana.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mnano...
Wakuu,
https://www.youtube.com/live/y9aCDGcQnto?si=d5b_CohHLJqdeUuh
Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo Dorothy Semu anazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari leo katika ofisi kuu za chama hicho Magomeni jijini Dar es Salaam.
Katika mkutano huu anatarajiwa kuzungumzia mambo...
Wakuu,
Tumeona ni chama kimoja tu ndio kilikuwa na sintofahamu kidogo kutoka kwao, kwahiyo hapa alikuwa anamaanisha ushindani ulikuwa kwati ya wao na CHADEMA pekee?
====
Katika mkutano wake leo Novemba 29, 2024 Amos Makalla ametoa sababu mbalimbali zilizofanya CCM kupata ushindi mnono...
Wakuu,
Haya tuendelee na unafiki!
=====
Taasisi ya Focus on Tanzania (FOTO) imesema imeridhishwa na mchakato wote wa uchaguzi kwa namna ulivyoendesha kwa mujibu wa utafiti waliofanya na kuthibitisha kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka 2024 umekuwa wa huru na haki.
Kauli hiyo...
Wakuu,
Ngoja tuone hayo matamko ya CHADEMA na CCM yatakuja na kitu gani!
====
Rais na Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Sera za Kimataifa-Afrika (CIP-AFRICA), Mheshimiwa Balozi Omar Mjenga, amepongeza jinsi zoezi la uchaguzi mdogo limeendeshwa kwa utulivu na amani. Katika mazungumzo yake...
Wakuu,
Uzi huu ni maalum kwaajili ya maoni ya Waangalizi wa Uchaguzi pamoja ma Wananchi juu mwenendo mzima wa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya Matokeo kutangazwa.
Kupata taarifa zote za matukio ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
Wakuu,
Vibaraka wa kuonesha justification ya udhalimu umefanyika wanaendelea na kazi yao. Watu watatu chama kimoja wamepoteza maisha afu mnajifanya vipofu mambo yalikuwa shwari?
=====
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
Wakuu,
Matokeo ya jumla ya uchaguzi kutangazwa muda wowote kuanzia sasa.
Uandikishaji wa Wapiga Kura
Zoezi lolifanyika Octoba 11 mpaka 20, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura Milioni 31,282,331 walijiandikisha, baada ya mapingamizi wananchi waliojiandikisha walikuwa Milioni 31,255,303
Kupiga...
Wakuu,
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya mji Makambako ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi Keneth Haule, amewapongeza wagombea wote walioshiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa jana November 27, kwa kuonesha utulivu.
Haule ameeleza hayo leo November 28, mara akiwa katika zoezi la...
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kijitonyama katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Steven Jovin amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 ulikuwa huru na wa haki na hakukuwa na shida yoyote.
Akizungumza mara baada ya kuapishwa kwa wenyeviti wateule 106 wa Manispaa ya...
Wajumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Simiyu, wakiongozwa na Kaimu Shekh Issa Kwezi, wameeleza kuridhishwa na zoezi la upigaji kura lililofanyika jana Novemba 27, 2024.
Shekh Kwezi amesema kuwa ulinzi na usalama viliimarishwa, na wapiga kura walienda vituoni kupiga kura kwa utulivu bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.