kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    PreGE2025 Lissu komaa wewe ndiye mgombea Urais. Anza kufanya kazi ambazo mwenye wajibu na mfariji mkuu hazifanyi kwa kuanza na Muhimbili

    Mh. Lissu wewe mwenyewe unaelewa kuwa ukiwa mwenyekiti wa chama inakunyima nafasi ya kuwa mgombea nafasi ya Urais. Wafuasi wengi hawaelewi hilo. Ombi langu kwako, badili upepo wa kisiasa ndani ya chama na nje. Mkakati uwe ni kufanya mambo ya ustawi zaidi za jamii. Watanzania ni werevu sana na...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Makonda: Tangu nimepata uenezi sijawahi kuchukua hata sh 100 kwenye mshahara wangu, huwa natoa yote sadaka!

    Wakuu, Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni! Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo...
  3. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 UVCCM Mkoa wa Kagera Yazindua na Kukabidhi Nyumba ya Mama Asimwe

    📍Izigo_Muleba 🗓️Tarehe 07/12/2024 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, ameongoza uzinduzi na makabidhiano ya nyumba ya Mama Asimwe sambamba na chumba kimoja cha biashara. Tukio hilo limefanyika leo tarehe 07/12/2024 katika kata ya Izigo, wilaya ya Muleba...
  4. Cute Wife

    Muliro mkiendelea kushupaza shingo mjue tu hali itazidi kuwa mbaya, kwa akina Soka na Sativa mko kimya hadi leo halafu mnakuja na vitisho!

    Wakuu, Muliro umeuliza swali la rahisi tu mtu anaruhusiwa vipi kukamata mtu bila polisi? Unakimbilia kuanza kuuliza vifungu. Kwahiyo maafisa TRA waha haki ya kuarrest mtu? Na wakimkamata wanampeleka wapi? Wana selo kwenye ofisi zao? Wakuu naomba muongozo hapa maana sheria za TZ...
  5. J

    PreGE2025 Wanaopaswa kumjibu Jaji Warioba ni Chadema siyo CCM. Jaji amesema Hatua zisipochukuliwa sasa "Uchaguzi wa 2025 utakuwa kama wa 2024"

    Kama umemsikiliza vizuri Jaji Warioba utagundua hakuna sehemu yoyote amewatuhumu CCM kwa jambo lolote. Hoja za Jaji Warioba zimelenga Serikali na Upinzani ambako Chadema ndio Chama kikuu. Kuna sehemu Warioba anasema kabisa "Wanaowaingiza polisi kwenye Siasa ni Serikali siyo CCM" Hivyo kwa...
  6. Cute Wife

    LGE2024 Katibu Mkuu NRA: Sasa hivi yamekuwa maigizo kila mtu anasema katekwa, Uchaguzi ulikuwa wa Huru na Haki

    Wakuu, Mwakani kazi ipo, kama watu kama hawa ndio wanaongoza wengine kugombea nafasi mbalimbali za kuwakilisha wananchi! ==== Katibu Mkuu wa Chama cha NRA, Hassan Kisabya Almas amesema kuwa uongozi wa chama hicho umekaa, kujadili na kuona kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa ulikua huru...
  7. Suley2019

    SI KWELI Makomando wa Mbowe wakamatwa sakata la mauaji na Utekaji nchini

  8. Cute Wife

    LGE2024 Kigoma: Polisi kufanya uchunguzi wa tukio la mwenyekiti wa kitongoji cha Muyanga C kukutwa barabarani akiwa hajitambui

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linafanya uchunguzi wa tukio la Onesmo Simon, miaka 40, askari wa Kampuni binafsi ya ulinzi Kiwango Security na Mwenyekiti wa kitongoji cha Muyaga "C", Kata ya Kitahana, Wilaya ya Kibondo kukutwa akiwa hajitambui amelala kando ya barabara...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 CCM Ikungi: Lissu epuka aibu nyingine 2025, usigombee Ubunge Ikungi

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi mkoani Singida kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutogombea ubunge 2025 katika jimbo la Ikungi Mashariki ili kuepuka kupata aibu kama ilivyojitokeza katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024. Katibu wa...
  10. Thabit Madai

    PreGE2025 LGE2024 Mitazamo chanya ya wanaume juu ya wanawake kushika nafasi za uongozi

    Na Thabit Madai, Zanzibar Zanzibar ya sasa inashuhudia mabadiliko makubwa katika ushiriki wa wanawake katika uongozi, ikilinganishwa na enzi za zamani. Kwa mara ya kwanza tangu mapinduzi ya 1964, wanawake wanashikilia nafasi muhimu, ikiwa ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi na Naibu Spika wa...
  11. Suley2019

    PreGE2025 LGE2024 Arusha: Viongozi wa Dini waipongeza INEC kwa Elimu Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura

    VIONGOZI wa dini mkoani Arusha,wameridhishwa namna Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini(INEC),inavyoshirikisha makundi mbalimbali kwa kuyaelimisha na kupokea maoni ya uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura awamu ya kwanza zoezi litakaloanza Disemba 11 hadi 17 mwaka huu. Hayo yamesemwa...
  12. Suley2019

    LGE2024 Mchambuzi wa Siasa: Uchaguzi umeisha tujadili maendeleo

    Mkurugenzi wa Shirika la Bridge for Change, Ocheki Msuva ambaye ni mtaalamu wa siasa na utawala anayejihusisha na masuala ya vijana katika eneo la ushiriki na ushirikishwaji amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa umeisha, hivyo ni muhimu kujikita katika mazungumzo na majadiliano yenye kujenga...
  13. P

    PreGE2025 ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Isihaka Mchinjita amesema kuwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho Abdul Nondo amepigwa sana na kuumizwa sana pia kwa hali aliyonayo hawezi kuzungumza vizuri. Mchinjita ameyasema hayo usiku huu (2:15 Disemba 02, 2024) baada ya kufika katika...
  14. Mindyou

    Mke wa mgombea wa CHADEMA Manyoni : Nilimwambia Polisi naomba usimuue mume wangu lakini alimpiga risasi nne

    Wakuu, Nimekutana na video ya mke wa Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed akielezea namna ambavyo polisi walimkamata na kumuua mume wake kwa kumpiga risasi nne. Mama huyu anasema kuwa aliwaomba polisi wasimuue mumewe...
  15. Cute Wife

    PreGE2025 Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo

    Wakuu, KUTEKWA KWA MWENYEKITI WA NGOME YA VIJANA NDUGU ADBUL NONDO Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Ndugu Abdul Omar Nondoametekwa asubuhi hii na watu wasiojulikana akitokea mkoani Kigoma alikokuwa sehemu ya viongozi wa kitaifa walioongoza kampeni kwenye mikoa ya magharibi mwa...
  16. Cute Wife

    PreGE2025 Wenye ulemavu walia na mauaji nyakati za uchaguzi, hofu yaongezeka kuelekea 2025

    Wakuu, Watu wenye ulemavu kutoka mkoa wa Tabora wameeleza wasiwasi wao kuhusu mauaji yanayowakumba wenzao wenye ulemavu wa ngozi (Albino), wakisema kwamba baadhi ya watu bado wanashikilia imani potofu kuwa viungo vya Albino vinaweza kufanikisha mambo yao, hasa wakati wa chaguzi. Hofu hii...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Njombe: Maombi ya Viongozi wa Dini yatajwa kuchagiza Amani wakati wa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Hii kali! Kuna uchawa afu kuna hii! ==== Maombi ya viongozi wa dini mkoani Njombe yaliyofanywa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Hapo Novemba 27 Mwaka huu yametajwa kusaidia zoezi hilo kufanyika kwa salama bila kuripotiwa kwa matukio ya mauaji wala vurugu. Wakizungumza ofisi kwa...
  18. Cute Wife

    LGE2024 Chama cha MAKINI kimeipongeza TAMISEMI kwa kusimamia vizuri Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Hivi vyama vingine ndio navisikia leo. CCM E imewahi kujitokeza isije kukosa mgao wao! Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Chama cha MAKINI ambacho...
  19. Cute Wife

    LGE2024 Mbeya: CHAUMMA wafanya pati ya Ubwabwa baada ya Ushindi wa kiti 1 cha Uenyekiti wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, CCM C imejirusha huko baada ya ushindi wao wa kiti 1. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Mbeya na Wananchi wa mtaa wa Soko kata ya Ruanda jijini Mbeya wamefanya sherehe ya kumpongeza mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Brian Mwakalukwa akiwa ni...
  20. Cute Wife

    LGE2024 Viongozi wa Dini na Siasa Tanga waridhishwa na Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kuna kitu, hii siyo bure! Hiki kilichotembea iwe ni kifinyo au kibunda itakuwa ni cha maana! ===== Viongozi wa dini na siasa Mkoani Tanga wametoa pongezi na shukrani kwa juhudi za viongozi wa Serikali wa mkoa wa Tanga pamoja na wananchi katika kuhakikisha uchaguzi wa Serikali za...
Back
Top Bottom