Wakuu,
Wananchi tuna amani, muda wote ni mwendo wa kububujikwa machozi ya furaha kwa nzuri anayofanya kipenzi chetu Mama Dokta (zitamke mara 9 sikumbuki namba yote) Kipenzi cha Wote Jemedari Amiri Jeshi Mkuu mwenye anaupiga mwingi Samia Suluhu Hassani, au nasema uongo ndugu zangu? :BearLaugh...
Piga kura Yako .
Je unakubali Twende na mama TU mpaka 2030 and may be possible up to 2035.
Au wewe unapendekeza ccm I practice democracy kwa kugawa Forms kwa wagombea yeyote CCM mwenye sifa ya kuiongoza Tanzania .
Wenu katika ujenzi wa Taifa hili changa
Wakuu,
Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚
===
Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa ameahidi kuchangia Milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Studio ya Muziki kwa ajili ya...
Wakuu,
Kwa press hii ya Lissu si siri tena kuwa CHADEMA kuna mtufuano wa maana. Yaani Lissu kaamua kuchomoa berti. Kwa hatua hii msituambie kuwa hapa wamapenga, ndani hakuna shida, kwa hizi spana za leo Lissu kaamua liwalo na liwe.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Mtasubiri sana...
Mwanachama wa CHADEMA au Mtu mwingine yoyote anayeona ajabu, au anayechukizwa au kukwazwa na nia yangu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Chama chetu atakuwa ama hajui au amesahau au hataki kuenzi na kuendeleza urithi tulioachiwa na Wazee wetu Edwin Mtei na Bob Makani wa kuachiana madaraka ya...
Wakuu,
Siku ya leo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa ananguruma wakati anazungumza na vyombo vya habari
Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo.
Katika mkutano huo uliofanyika Mlimani City, Tundu Lissu amedokeza kuwa anagombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA...
Wakuu,
1. MBUNGE WA BUKOMBE - Dotto Biteko
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Ubunge: Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Bukombe mkoani Geita mwaka 2015 na alishinda kwa kura 71,640 dhidi ya 11,433 za mpinzani wake.
Wadhifa wa Kiserikali: Aliteuliwa kuwa Waziri wa Madini mwaka 2019 na alihudumu hadi...
Wakuu,
Hii hapa ni orodha ya CV za wabunge kutokana na Mkoa husika wa anapotokea Mbunge. Hapo utapata taariza zake kwa ufupi kuhusu wasifu wao kwa ujumla na mambo mbalimbali waliyofanya kwenye uwanda wa siasa na hata nje ya hapo.
Kuelekea 2025 - Arusha: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge...
Wakuu,
1. Francis Kumba Ndulane - Mbunge wa Kilwa Kaskazini
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 20,501, akimshinda Ngombale Vedasto Edgar wa CUF aliyejikusanyia kura 8,513.
Elimu:
Elimu ya Msingi: Alianza masomo yake katika Uwanjani...
Wakuu,
1. MBUNGE WA BAHI - Kenneth Ernest Ollo
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 40,628 dhidi ya Godfrey Job (CUF) aliyepata kura 1,756.
Michango Bungeni: Alitoa michango 21 na kuuliza maswali 36 kati ya mwaka 2021 hadi 2023.
Elimu:
Shule ya Msingi...
1. Mbunda Jonas William - MBUNGE WA MBINGA MJINI
Chama: Chama cha Mapinduzi (CCM)
Kura: 26698 (2020)
Elimu na Taaluma Yake
Strathclyde University, UK: Master of Science in Finance (2005–2006) Shahada ya Uzamili (Masters Degree)
Cooperative College - Moshi: Advanced Diploma in Accounting...
1. Kundo Andrea Mathew - Mbunge wa Bariadi
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 92488 dhidi ya Maendeleo Bernard Makoye (CHADEMA) aliyepata kura 33339
Elimu Yake
Open University of Tanzania: Masters Degree in Project Monitoring and Evaluation (2015–2017)...
Wakuu,
1. Boniface Mwita Getere - Mbunge wa Bunda
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Aliibuka mshindi kwa kupata kura 50,780, akimshinda Kissama Samwel Ndaro kutoka CHADEMA aliyejikusanyia kura 5,596.
Elimu:
Elimu ya Msingi: Iramba Primary School (1974 -...
Wakuu,
1. Jumanne Kibera Kishimba - Mbunge wa Kahama Mjini
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 35,709, akimshinda Sonia Jumaa Magogo wa CHADEMA aliyejikusanyia kura 10,740.
Elimu:
Elimu ya Msingi: Alianza masomo yake katika Shule ya...
Wakuu,
1. George Ranwell Mwenisongole - Mbunge wa Songwe
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Aliibuka mshindi kwa kura 40,834, akimshinda mpinzani wake Pascal Yohana Haonga kutoka CHADEMA, aliyejikusanyia kura 18,054.
Elimu na Taaluma:
Elimu ya Msingi...
Wakuu,
1. Kwagilwa Reuben Nhamanilo – Mbunge wa Handeni Mjini
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alipata kura 15,241, akimshinda Thadeo Joachim Assechekamwati kutoka CUF ambaye alipata kura 6,713.
Kazi Bungeni: Tangu mwaka 2021, amekuwa katika Kamati ya...
Wakuu,
1. Philip Isdor Mpango – (Mbunge wa Buhigwe) Makamu wa Rais wa Tanzania
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kuwa mbunge wa Buhigwe.
Elimu
Alisoma katika shule za msingi na sekondari huko Kigoma na alihitimu kutoka Ihungo High School...
Wakuu,
1. Samweli Xaday Hhayuma – Mbunge wa Hanang
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Samweli alipata kura 14,203, akimshinda Kiza Hussein Mayeye kutoka CHADEMA ambaye alipata kura 20,342.
Michango Bungeni: Samweli ameleta michango 34 na kuuliza maswali 68...
1. Mbarouk Juma Khatib - MBUNGE WA BUMBWINI
Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 11240
Historia ya Elimu
Makoba Primary School: CPEE, 1975 - 1982
Uzoefu wa Kisiasa
Chama Cha Mapinduzi: Mjumbe wa Mkutano Mkuu Wilaya ya Kaskazini B Unguja: 2016 - Hadi sasa
Parliament of Tanzania...
1. Salim Mussa Omar - MBUNGE WA GANDO
Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 3390
Historia ya Elimu
Diploma University of Dar-es-Salaam Computing Center 2011 - 2013
Certificate University of Dar-es-salaam Compuntig Center 2009 - 2010
Gando Secondary School: 2002 - 2006
Gando Primary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.