kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    PreGE2025 Mjadala: Demokrasia Yetu, Viongozi Wetu

    Wakuu, Tunapoukaribia Uchaguzi Mkuu 2025, ni muhimu kutathmini changamoto za chaguzi zilizopita (2015 na 2020) na kushirikiana katika kutafuta suluhisho Jiunge nasi kwenye mjadala maalum kupitia X Spaces ya JamiiForums tarehe 30 Januari 2025, kuanzia saa 12:00 jioni hadi 2:00 usiku. Shiriki...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Asenga apendekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, vyombo vyote virushe

    Wakuu Mbunge wa Kilombero, Abubakari Asenga amependekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, na vyombo vyote nchini virushe. Hiki kituko ni cha mwaka kwa kweli, kwani hao TBC si waandae na kurusha wenyewe na usikilize kupitia kituo chao?
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Oscar Oscar: Tunao muda wakupata Sheria mpya za Uchaguzi kabla ya Oktoba, upelekwe mswada wa dharula

    Wakuu Wimbo wanaoimba CHADEMA hivi sasa ni "No Reform, No Election", wakishinikiza mabadiliko ya Katiba pamoja na Sheria za Uchaguzi kabla ya Oktoba 2025, hoja ambayo CCM wanaipiga dana dana. Soma: Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Lissu: Dkt. Slaa ni tishio kiasi gani kama sio ukandamizaji, tunahitaji kutengeneza nchi mpya kukomesha uonevu

    Mwenyekiti wa Chadema na Wakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Tundu Lissu amesikitishwa kushikiliwa kwa muda mrefu mteja wake huyo ambaye ana umri wa miaka 76 bila kupewa dhamana huku akieleza kuwa ni uonevu. "Hivi inawezekanaje kwa serikali hii, na mapolisi wake na waendesha mashtaka wake kumweka...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Mahakama Kuu yaagiza dhamana ya Dkt. Slaa ishughulikiwe haraka

    Mahakama Kuu ya Tanzania, masijala kuu jijini Dar Es Salaam imegiza shauri la mwanasiasa Mkongwe Nchini Dkt. Wilbroad Slaa lirejeshwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake. Dkt. Slaa na jopo la mawakili wake walifungua shauri la mapitio la kesi yake...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Kamba: CHADEMA inapandikiza chuki kwa vijana na wazee kwa maslai yao binafsi

    Mjumbe Wa Mkutano Mkuu Wa Wazazi CCM Taifa Ndugu Mrisho Kamba amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kinajaribu kueneza na kupandikiza chuki kati ya vijana na wazee kwa maslahi yao binafsi. “CCM ni chama kinachoamini katika mshikamano wa vizazi vyote”- Mrisho Kamba amesema maneno...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Lindi: Viongozi, Wananchi wajiandikisha daftari la mpiga kura, wahamasisha wananchi kujitokeza

    Wapiga kura wapya 102,668 wanatarajiwa kuandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Manispaa ya Lindi kupitia zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa taarifa za wapiga kura lililoanza Januari 29 hadi Februari 3,2025 Mkoani Lindi. Uandikishaji huo kwa upande wa Manispaa ya Lindi ni kwa...
  8. W

    PreGE2025 Wassira: Wanaosema CCm imekaa sana walikuwa wapi wakati tunadai uhuru

    "Ndani ya nchi yetu kuna vibaraka ambao wanasema CCM imekaa muda mrefu sana, na mimi nawauliza walikuwa wapi wakati tunadai uhuru, nawauliza tulipokabidhiwa uhuru tulipatana nao tutakaa kwa muda gani? Kama wana huo mkataba wauoneshe" Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Mapinduzi...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Abood ashiriki kuchimba barabara na Wananchi kwa majembe ya mkono

    Wakuu Hivi huwa wanakuwa wapi kipindi kabla ya uchaguzi?, kura zinatafutwa nyie!! Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood akihiriki kurekebisha barabara pamoja na wananchi wa Kata ya Bigwa mtaa wa Mwanzomgumu. Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Luhaga Mpina: Baadhi ya Viongozi wa Serikali wanahusika kutorosha fedha

    Kivumbi tu! Kutoka kwa Mpina, anaendelea kutapika nyongo haswa Ila huyu jamaa ni tofauti sana na wanaCCM wengine yani aogopi kupiga panapo stahili ================ Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amesema Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya utakatishaji wa fedha haramu, hali...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Kilimanjaro: Waziri Ndumbaro aja na 'Gusa, Achia Twende na Samia Legal Aid' pamoja na 'Ubaya Ubwela' kwa wanaokiuka sheria!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, mwishowe waje na kauli mbiu yenye matusi mradi tu kampeni zifanyike😂:BearLaugh::BearLaugh: ====== Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni utekelezaji wa Rais Samia Suluhu Hassan ya...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira: Hatukatai mazungumzo, lakini hatuwezi kuamrishwa, asisitiza sera ya Samia ya 4R

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema chama hicho ni chama kiongozi cha ukombozi na hakikatai mazungumzo na kitafanya na mtu au taasisi yoyote, si vyama vya siasa pekee. Wasira amesema kuna watu wanazungumza kwa kusema "No reform, no election,"...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Musukuma amjia juu John Heche kwa kumsema Wasira ni mzee

    Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma, amejibu hoja ya CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, kuhusu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM kuzeeka, akisema wamuache mzee wao kwa sababu bado wapo naye na yeye ni chuma cha CCM. Soma: Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Heche amchana RC Chalamila, kisa kauli ya mjamzito anayegoma kununua gloves, adai wamejisahu kwasababu ya shibe ya kijinga

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara), John Heche amlipua RC Chalamila kwa kauli yake iliyozua gumzo kuhusu Mama Mjamzito aliyempigia simu na kumweleza changamoto ya ukosefu wa Gloves hospitali. Soma, Pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Heche: Hatutatoa nafasi kwa kuangalia uchawa

    Makamu Mwenyekiti wa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema chama hicho kitashirikiana na kila mwanachama na yeyote mwenye nia ya kufanya nacho kazi bila kuangalia aliwaunga mkono yeye au Mwenyekiti wa sasa Tundu Lissu katika kipindi uchaguzi. Akizungumza leo...
  16. T

    PreGE2025 Majukumu ya nyumbani kikwazo kwa wanawake kuingia katika uongozi Zanzibar

    Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar. Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022 inaonesha Zanzibar ina watu 1,889,773 kati ya hao wanaume ni 915 ,492 huku wanawake ni 974 ,281 hii ikimanisha wanawake ni wengi. Kwa wingi wote huo nafasi ya za kuongozi kwa wanawake bado hajakidhi malengo Kutokana na...
  17. J

    PreGE2025 Rushwa na Uchaguzi: Ni kwa kiasi gani Vijana wanashindwa kugombea nafasi za Uongozi kutokana na Rushwa?

    Rushwa imekuwa kikwazo kikubwa katika mchakato wa uchaguzi, hasa ndani ya vyama vya siasa. Hii si tu inavuruga mchakato wa Kidemokrasia, bali pia inazima ndoto na juhudi za Vijana ambao wangependa kuona mabadiliko chanya katika uongozi wa Vyama na taifa kwa ujumla Katika Mjadala kuhusu Rushwa...
  18. K

    PreGE2025 Lissu asema tofauti ya mabango Kenya na Tanzania ni kubwa, akidai Tanzania matangazo yote ni ya Mama, hakuna biashara ya kiuchumi

    Tundu Lissu akizungumza na BBC Swahili kuelekea Uchaguzi wa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa uliofanyika Januari 21, kuhusu mabango na tofauti ya Kenya na Tanzania! ukweli mtupu akidai, "Somo kubwa la Kenya ni wamefikaje hapo walipo, ukisafiri kutoka Nairobi kuja Arusha...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wajasiriamali zaidi ya 200 mkoa wa Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi kutoka kwa Rais Samia

    Wajasiriamali zaidi ya 200 wanaouza Chakula katika Soko la Mandela Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi yatakayowawezesha kufanya shughuli zao kwa urahisi. Majiko hayo yamekabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Nyakia Ally kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 Mkutano wa CHADEMA Mikocheni umezuiliwa ila chawa wamekata keki feri karibu kabisa na Ikulu, hii tunaiitaje?

    Wakuu, Polisi walivamia ofisi za CHADEMA mapema leo asubuhi na kuzuia mkutano huo kufanyika wakisema wataleta usumbufu wakati mkutano wa nishati unaendelea, na kwamba wanatakiwa kughairisha. Mkutano ambao ungekuwa na waandishi wa habari tu kurusha tukio hilo, tena mbali kabisa na Posta ambako...
Back
Top Bottom