kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA chini ya Lissu haiwezi ishi bila ruzuku kwa miaka mitano itakufa jeuri waliyonayo sasa ni ya ruzuku inayoishia June 2025

    Ruzuku ya CHADEMA itaisha June mwaka huu 2025 bunge baada ya kuvunjwa Wamesusa uchaguzi hivyo kwa miaka mitano ijayo CHADEMA haitakuwa na pesa za ruzuku hata shilingi 100 Maana yake kwa miaka mitano ijayo CHADEMA haitakuwa na pesa kabisa za kuendesha ofisi zao za makao makuu na kanda na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia na serikali yake watakula za uso waraka wa pasaka. Kumkamata Lisu Samia kafanya kosa la kiufundi

    Nyaraka za pasaka toka makanisa tofauti zitajaa masimango, vijembe na ukosoaji wa serikali ya rais Samia. Hii inatarajiwa kutokea kufuataia makosa ya kubambikiwa aliyopewa Lisu na kupelekea kukamatwa kwake. Kukamatwa kwa Lisu kutaifanya serikali ya Samia kuchukiwa zaidi na wananchi na hatimaye...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Chadema mliojiandikisha muda ukifika chagueni CCM

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM, Amos Makalla wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi katika Uwanja wa Maulid ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa ya Lindi na Mtwara, amesema; "Mko tayari kwa uchaguzi...Niwaombe muda utakapofika mkiunge mkono...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape: Wapinzani wanapinga lakini wanapanga foleni kuchukua pembejeo za bure

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi mwenye usikivu mkubwa kwa wakulima wa korosho, akisisitiza kuwa pembejeo za bure alizotoa kupitia serikali yake ni uthibitisho wa dhamira ya kweli ya kuwawezesha wakulima nchini. Akizungumza Aprili 12, 2025...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kusaini maadili na kanuni zake. ACT Wazalendo watoa Mlio, kanuni zina mapungufu

    Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii? === "Tumefanya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, na tumeona mapungufu makubwa. Kwa mfano, Kanuni za Maadili zinawalazimisha vyama kusaini makubaliano yanayokiuka Katiba, na kuwanyima haki ya kushiriki uchaguzi. Hili...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Zanzibar yatoa onyo kwa watia nia kabla ya muda

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimesema hakitamvumilia mwanachama yeyote ambaye ataanza kujipitisha majimboni na kuanza kupiga kampeni kabla ya wakati. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohammed Said Dimwa ametoa kauli hiyo Aprili 12, 2025 wakati akizungumza na kamati za siasa za...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema kutoshiriki Uchaguzi, hasara kwa CCM, Tume na jamii hizi hapa

    Na:Mathias Byabato Binafsi uwa siandiki sana kuhusu mambo ya siasa. Leo nimeona nisaidie muktadha kadri ya uelewa wangu. Kwa watu wanaojua mantiki na umuhimu demokrasia katika taifa lolote wanajua hasara kadhaa zitazojitokeza iwapo itasalia hivi hivi Kwa chadema kutoshiriki uchaguzi wowote 2025...
  8. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni fursa nzuri kwa Mbowe na Wanachadema wenye ndoto za ubunge kuhamia CCM kwa sababu Chadema imeondolewa

    Nimesoma kule Al jazira kwamba Chadema imepoteza sifa za kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 Hii ni fursa kwa wanachadema wenye taranta za uongozi kuhamia ccm na kugombea ubunge na udiwani Nawatakia SB ya Mitende yenye Baraka
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani CCM ataka Viongozi Wazee kuwapisha Vijana waongoze Taifa, sio mpaka wafie madarakani

    Diwani wa kata ya Kitandililo Halmashauri ya mji Makambako Imani Fute, ameomba viongozi wazee na waliokaa kwenye nafasi za uongozi kwa muda mrefu wawapishe vijana ili nao waoneshe uwezo wao katika kuwaongoza wananchi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ulinzi uongezwe kwa Heche na wanasaikolojia wawe karibu naye

    Katika mwendelezo wa kampeni ya No reform no election kwa siku ya jana nilimsikiliza Mh Heche kwa dk20 nimeona ongea yake inatofauti na kabla Mh Lissu hajakamatwa. Jana amezungumza akionesha anahasira kubwa ambayo ni ujasiri wa kiume tu ulimfanya asidondoshe chozi.Athari yake asipotuliza...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu, harakati za ukombozi; CHADEMA kuweni macho na mamluki, "katika viwalavyo, na nguoni mwenu, vimo!"

    Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu: Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote: "ama?!" Kwa hakika jopo la utetezi, mipango na mikakati nyeti ya mapambano haiwezi kuwa bwerere kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Magufuli alidili na wapinzani mchana kweupe, ila kwa sasa wanashughulika nao gizani

    Kitu kimoja kutoka kwa Magufuri hakuwa mnafiki, alidiali na Upinzania mchana kweupe kabisa, hakudanganya kwamba ni mwana Democrasia hapana alikuwa wazi kabisa na alitanka wazi wazi kudili na Wapinzani wake. Kwa sasa ni full unafiki na uswahili sana, Mchana wanahubiri zile 4R zake ikifika usiku...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 SI KWELI Maria Sarungi amesema CHADEMA kutokusaini fomu ya maadili ndiyo anguko lao rasmi

  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania, Haki haiombwi kwa kunyamaza – No Reforms, No Election! Hatutakubali tena kuishi kwa hofu, kukosoa siyo Uasi, ni Uzalendo wa kweli!"

    Katika kila kona ya nchi yetu—kutoka mijini hadi vijijini, kutoka kwa masikini hadi matajiri—Watanzania tumekuwa tukilalamika, tukilia kimya kimya, tukibeba maumivu ya mfumo kandamizi usiowajali wananchi. Mfumo huu hauwaheshimu wapiga kura, hauzingatii Katiba, na huwahukumu wanaodai mabadiliko...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatutakubali Tena Kuishi kwa Hofu – Kukosoa Siyo Uasi, Ni Uzalendo wa Kweli!

    Tunaomba Nini? Si Miujiza – Ni Mambo ya Msingi: 1. Katiba Mpya – Ili tuwe na msingi wa haki kwa wote, si kwa wachache. 2. Tume Huru ya Uchaguzi – Ili kura iwe na maana, na si maigizo ya ushindi wa lazima. 3. Uhuru wa Kujieleza na Kushiriki Kisiasa – Ili kila sauti ihesabiwe, si kuzimwa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema ni chama kinachoongozwa kutajwa midomoni mwa watu. Ni kweli kumbe ni chama kikuu

    Humu JF hakuna Chama kinatajwa kwa siku kama Chadema. Yaani kuna watu mpaka kwa siku wanaanzisha nyuzi 5 hadi 10 kuhusu Chadema na Lissu. Kisha anafuatiwa kutajwa Mbowe. Namba 1. Chadema 2. Lissu 3. Mbowe Hii inaonesha ukubwa na ugumu wa hiki chama kufa. Maana kutajwa tajwa huko ndo uhai...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Wetu ni Umungu/Ushetani? Anayekinukisha kuuzuia Uchaguzi wa Kimungu ni Shetani, ila Kama ni wa Kishetani, anayeuzuia Afanya Kazi ya Mungu au?

    Wanabodi Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani Mimi ni Mkristu Mkatoliki,kwa kawaida huwa nasali misa ya kwanza,ila kwa vile leo ni sikukuu ya Jumapili ya Matawi,mwanzo wa Juma Takatifu,Mwokozi wetu Bwana wetu Yesu...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuto saini kwa Chadema kanuni za Uchaguzi: Tafakuri ya Kisiasa, Mgogoro wa ndani na hatari kwa Taifa!

    Mwandishi: Elly Maduhu Nkonya Katika hatua ya kushangaza lakini yenye ujumbe mzito, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekataa kusaini kanuni mpya za uchaguzi zilizotolewa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Uamuzi huu umeibua mjadala mpana miongoni mwa wachambuzi wa siasa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema kutoingia kwenye Uchaguzi basi kama taifa tukaze mikanda

    Jambo kubwa lipo nyuma ya Taifa baada ya ccm chama tawala kuingia kwenye msuguano mkali wa no reform no election. Upo msemo unasema ogopa akili ya mwanadam. Mwisho wakunukuu. Soku zote ktk dunia ilio staarabika kila kitu kinaendeshwa kwa siri na kwa akili.. Yes.... Urusi aliingia vitani...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kosa kubwa la CHADEMA: wanadhani bila wao hakuna upinzani

    Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao. Tayari wamegawana mbao,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…