Shaha Nurdin Mussa, mkazi wa Kitongoji cha Mkuti B, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, ameeleza kwa msisitizo kuwa wananchi wa Masasi wameshikilia msimamo thabiti wa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Kwa mujibu wa Shaha, hata ndani ya chama cha CHADEMA, kuna wanachama ambao...
Kumewahi kuwa na mapambano ya kambi 2 tofauti ndani ya vyama vya upinzani toka mwaka 1995
CUF ya Maalim Seif Vs CUF ya Prof Lipumba
KNCCR ya Agustine Mrema Vs NCCR ya Masumbuko Lamwai
NCCR ya James MBATIA Vs NCCR ya Joseph Selasini
Sasa ni
CHADEMA ya Tundu Lissu Vs CHADEMA ya Freeman Mbowe...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mheshimiwa Jesca Kishoa, ameonesha kuguswa na changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Kata ya Mwanga, Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida, kufuatia ziara yake ya kuwatembelea na kusikiliza matatizo yao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Kumekua na Mkakati wa Vyama 7 kuungana na kumsimamisha Mgombea Urais uchaguzi mkuu wa October
Duru za Ndani zinasema Vyama Hivyo Tayari wapo kwenye hatua za mwisho kutangaza kumuunga mkono Mgombea atakayependekezwa.
Za ndani zaidi zinadai Vyama Hivyo Vinamvizia Luhaga Mpina kuwa mgombea wao...
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.
Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe...
Baadhi ya Viongozi wa CCM wa Kata Matawi, pamoja na Wilaya wanadaiwa kugomea kushiriki maadhimisho ya Wiki ya Jumuia ya Wazazi ya Chama hicho, Jimbo la Musoma Mjini, kutokana na joto la kisiasa linalofukuta ndani ya chama hicho baina ya watia nia wa Ubunge pamoja na Mbunge aliyepo Madarakani...
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Geita, Gabriel Nyasiru amewacharukia baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Chama hicho kuacha tabia ya kulibeza kundi la Vijana kwa madai ya kutaka kuchukua Fomu za kugombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 huku wakidai baadhi yao...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amefichua kuwepo kwa tuhuma za mtu mmoja anayehusishwa na kugawa fedha kwa wajumbe wote wa CCM Wilaya ya Ilala kiasi cha shilingi laki moja kwa kila mwezi, kwa lengo la kujitengenezea mazingira ya jina lake kupitishwa katika...
Chama Cha ACT Wazalendo leo Jumapili Aprili 06, 2025 kimetoa msimamo wake kikitaja uchaguzi wa serikali za Mitaa uliofanyika Mwezi Novemba 2024, ufutwe na ufanyike upya sanjari na uchaguzi wa kuwachagua madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo Oktoba mwaka 2025.
Katika...
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora na Kanda ya Magharibi, wakiwemo watia nia wa ubunge katika majimbo mbalimbali, wamejitokeza hadharani kulaani vikali kundi la G-55 lililoibuka ndani ya chama hicho, wakilituhumu kukiuka misimamo halali na maazimio...
Mbunge huyo ambaye hakufahamika Jina lake, Anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa kwenye ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Mbunge huyo anayetajwa kama Kigogo wa Serikali, leo Amepewa za Uso nyumbani kwake kutokana na namna Wagombea wa Upinzani walivyoteswa kwenye...
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi...
Kiufupi namuonea Sana huruma simuoni akitoboa na kuendelea kuwa Rais .
Hoja za Lissu ya kuwa "huruma sio malezi" inaenda kumuharibia nafasi ya yeye kuchaguliwa Kama Rais wa Tanzania.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko.
Kupata matukio na...
Mtia saini namba 55 katika waraka wa watia nia wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 2025, maarufu kama G55 James Kabepele, amekana kuhusika katika waraka huo akiwataja wahusika kuwa ni wasaliti wa Chama.
Kabepele ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora...
Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu, Eva Michael Degeleki amezindua zoezi la ugawaji wa kadi za kielektroniki mkoani humo.
Uzinduzi huo umefanyika leo April 6,2025 katika,Tawi la Old Maswa lililopo katika Kata ya Nyakabindi,Wilaya ya Bariadi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Tundu Lissu apokelewa kwa furaha Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA? Hakika CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani.
CHADEMA wanaendelea kutoa elimu ya No reforms no Election kanda ya kusini.
CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu,
1. No reforms, no election bado haijaeleweka.
2. G55 wanataka kukipasua chama
3. COVID-19 wanataka kurudi
4. Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura!
5. Mfumo nao bado unawawinda
Hii ndio maana halisi ya tunachokiona sasa na tafsiri kwa nini chama hiki kazi yake ni kuzua taharuki badala ya kufanya siasa safi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe.George Mkuchika amekabihi pikipiki Saba zenye Thamani ya Shilingi Mil.22 kwa kikundi cha waendesha pikipiki (bodaboda) Itumbiko kilichopo Wilayani Kakonko ikiwa ni Fedha za mkopo Asilimia Kumi unaotolewa na Halmashauri kwa Wanawake, Vijana...