kueleka 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Anthony Mavunde: Nitaendelea kutoa kwa jamii kwa upendo na sio kutafuta ubunge kama watu wengine wasemavyo

    Mbunge wa Dodoma mjini na waziri wa Madini Mhe. Anthony peter Mavunde ameendelea kuigusa jamii kwa njia nyingi ambapo leo machi 19 , 2025 amesema ataendelea kufanya hivyo ikiwa ni upendo kwa jamii na sio kutafuta ubunge kama watu wengine wasemavyo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dc Bomboko: Miaka 4 ya rais Samia hana deni na watu wa Hai kwenye maji

    Mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Hassan Bomboko ameeleza kuwa huduma ya upatikanaji wa maji safi na salama katika wilaya hiyo imeaimarika kwakiasi kikubwa katika kipindi cha miaka mine ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwani Zaidi ya Shilingi bilioni 10 zimepelekwa wilayani humo...
  3. Pfizer

    PreGE2025 Kigoma: Ujenzi wa barabara ya Kasulu - Kabingo yenye urefu wa Kilometa 260, wafikia 83%

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) leo Machi 18, 2025, imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara ya Kasulu - Kabingo yenye urefu wa Kilometa 260, inayotekelezwa kwa awamu nne (Lot 1 - Lot 4) kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM kuandaa Kongamano Kuu kueleza Mafanikio ya Rais Samia

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo vikuu unatarajia kufanya kongamano kubwa litakaloshirikisha vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni katika kuelezea mambo mbalimbali yaliyofanywa na rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne ya...
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia

    Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Ibelamafipa iliyopo Kijiji cha Ilunde Halmashauri ya Mlele mkoani Katavi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Sekondari mpya Majengo ya mil. 584 kuwa ya mfano Korogwe mji

    Halmashauri ya Mji Korogwe, Mkoani Tanga imedhamiria kuifanya shule Mpya ya Sekondari iyogharimu Milioni 584, 280,029 iliyopo kata ya Majengo kuwa ya Mfano kwa kuhakikisha Wanafunzi shuleni hapo wanaongoza kwa matokeo ya Ufaulu wa Mitihani pamoja na ubora wa Majengo ya Madarasa, Utawala, Tehama...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Fredrick Lowassa: Serikali ya Rais Samia imetoa takribani shilingi Bilioni 37 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji wilayani Monduli

    Mbunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha Mhe. Fredrick Lowassa amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa takribani shilingi Bilioni 37 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji wilayani Monduli na hivyo kuwaondoa wananchi wengi kwenye adha ya kusafiri umbali mrefu na kutumia muda mrefu...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mavunde: Achangia milioni 5 kwa ajili ya kununua miamvuli 100 kwa wafanyabiashara wa Majengo sokoni

    Mbunge wa Dodoma mjini na waziri wa Madini Mhe. Anthony amechangia kiasi cha pesa shilling milioni 5 za kitanzania kwa ajili ya kununua miamvuli 100 ambayo itawasaidia wafanyabiashara kutoka Majengo sokoni mkoani Dodoma kuepukana na changamoto ya jua sokoni hapo. Kupata matukio na taarifa zote...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rais Samia atoa bajaj mpya yenye thamani ya Shilingi milioni 10.5 Kwa Baraza la Wanawake wa Kiislamu Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Bajaji mpya yenye thamani ya Shilingi milioni 10.5 Kwa Baraza la Wanawake wa Kiislamu Tanzania, Wilaya ya Iringa lengo ni kuunga Mkono Juhudi za Wanawake wa Kiislamu Wilayani humo ikiwa ni sehemu ya utaratibu wake...
  10. Nicolas J Clinton Gabone

    PreGE2025 Bunge lirefushe madaraka ya Rais Samia ili kupisha Mageuzi ya kisheria na kikatiba

    Ni miaka zaidi ya 30 sasa imepita pale ambapo wanasiasa, wadau wa Demokrasia na wanaharakati walitaka kutokee kwa Mageuzi ya sheria za uchaguzi na Katiba ambayo yanahakisi mabadiliko ya kurejea kwa mfumo wa vyama vingi Nchini chini ya NCCR-Mageuzi, lengo la vuguvugu hili mpaka kinabadilishwa na...
  11. Egnecious

    PreGE2025 Ofisi ya Mbunge jimbo la Temeke linawakumbusha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Maboresho la Mpiga kura

    Mnakumbushwa Ndugu Wananchi wenye vigezo kujiandisha isije fika October mnaanza kelele kura zenu zimeibiwa kumbe hamkujiandikisha
  12. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Waziri Mavunde agawa mitungi ya gesi kwa Mama lishe Zahanati na Hospitali Jijini Dodoma

    ▪️Ni sehenu ya utekekezaji wa Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde leo amegawa Mitungi ya Gesi kwa Mamalishe, Zahanati na Hospitali Jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya utekelezqji wa Mkakati wa Matumizi ya Nishati Safi...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu, nilijifunza kushona viatu VETA

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) amesema yeye baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza ya...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Stephen Wasira: Rais Samia amefanya makubwa hata wanaume walikuwa hawaaamini kama angeweza kuyafanya

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Stephen Wasira amesema uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umefanya mambo makubwa ambayo watu wengi hasa wanaume walikuwa hawaaamini kama angeweza kuyafanya kutokana na jinsia. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Jumuiya ya Wazazi CCM Jimbo la Mchinga yadaiwa kumchangia laki moja ya kuchuka fomu Mama Salma Kikwete kugombea Ubunge

    Jumuiya ya wazazi ya chama cha mapinduzi CCM Jimbo la Mchinga imemuunga mkono Mbunge wa Jimbo hilo mama Salma Rashid Kikwete kwa kumchangia Fedha kiasi cha shilingi laki moja zitakazomsaidia kwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge muda utakapofika. Makabidhiano hayo yamefanyika Katika ofisi ya...
  16. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Vijana Zaidi ya 30 wa Kikundi cha Urithi Wetu waanza safari kutoka Kigoma hadi Kizimkazi, Zanzibar, kuhamasisha upandaji miti

    Vijana zaidi ya 30 wa kikundi cha Urithi Wetu PTP2 wameanza safari ya kipekee kutoka Kigoma hadi Kizimkazi, Zanzibar, kwa lengo la kuhamasisha upandaji miti na kudumisha urithi wa kipekee wa Tanzania. Wakiwa chini ya uongozi wa Mwalimu Philip John Ally, Mkurugenzi wa shirika la kijamii APHI...
  17. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA yafikisha No Reform No Election kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Francis Mutungi

    Habari kutoka CHADEMA zinaeleza kwamba Mkakati wa No Reform No Election utamfikia kila mlengwa kabla ya hatua ngumu zaidi huko mbele, lengo la kumfikishia kila Mhusika jambo hili ni kujiepusha na lawama iwapo yatatokea mambo manene huko mbele, hakuna yeyote atayesema hakuambiwa. Kupata matukio...
  18. W

    PreGE2025 Mohammed Kawaida: Upinzani haujajipanga kwa uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amesema kuwa vyama vya upinzani havina maandalizi wala ushawishi wa kushindana na wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu wa 2025, akidai kuwa vinatafuta sababu za kujiondoa kwenye mchakato huo...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Vyombo vya Habari vya ahaidi kuripoti kwa haki Uchaguzi Mkuu

    Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania Misa Tan, imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau wa habari katika kuhakisha vyombo vya habari, vinafanya kazi wa weledi katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ambapo wamewasisitiza, waandishi wa habari kuripoti katika njia ya...
  20. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi asikiliza na kutatua kero kwa wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro Mwajuma Nasombe leo Machi 15, 2025 amewatembelea wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni ili kusikiliza na kutatua kero zao. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Back
Top Bottom