kudhibiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kiroho yaanze mfumo wa kuhakiki sadaka na matumizi yake kudhibiti wahubiri matapeli

    Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!)...
  2. JamiiForums Tanzania Mama Mariam Mwinyi kuja na mkakakti wa kuisaidia serikali kudhibiti maradhi ya kuambukiza kwa wanawake

    MKe wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi amesema Zanzibar inaendelea kuchukua juhudi maaluum za kudhibiti maradhi ya kuambukiza yanayowapata kinamama kipindi cha ujauzito. Amesema, juhudi...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania na Saudi Arabia kushirikiana kudhibiti Uhalifu Mtandaoni

    TANZANIA NA SAUDIA ZAINGIA MAKUBALIANO KUDHIBITI UHALIFU Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati ya makubaliano na Serikali ya Saudi Arabia makubaliano ambayo yanaenda kugusa sekta mbili muhimu za usalama ikiwemo udhibiti wa makosa mbalimbali ya uhalifu kwa kutumia utaalamu na...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini maeneo mengi ya biashara ya chakula huwa wanishindwa kudhibiti nzi?

    Kwenye maeneo mengi ya biashara za vyakula hasa migahawa ya ukubwa wa kati na midogo pamoja na sehemu nyingi za nyama huwa kunakuwa na nzi wengi sana waliojaa kila mahali. Yani mtu unakula chakula na mkono mmoja huku mwingine una kazi ya kufukuza nzi! Kama wewe sio mvivu na hupendi nzi, kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Afya waingia mtaani kufanya jitihada za kudhibiti magonjwa ya kuhara Mkoani Simiyu

    Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji wa Elimu Wilayani Itilima Mkoani Simiyu. Taarifa ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu imesema Elimu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Njia ya kudhibiti kunguru wananirudisha nyuma

    Mm nimfugaji wa kuku na Bata ila napata changamoto ya kunguru kula vifaranga na mayai bandani wakimuona kuku katoka kutaga wao wanaingia yani ni mwendo wa kuviziana tu niwahi mm Yai au kunguru nimejaribu kuwa winda na manati nimefeli nimeweka sumu kwenye mayai niliyoyatoboa lakini bado wanadunda...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera sana Jeshi letu imara sana la Polisi

    hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla. teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu...
  8. JamiiForums Tanzania Kupaka rangi za bendera inaweza kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya magari ya serikali

    Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?
  9. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dunia inapoeleka na matumizi ya mitandao Tanzania ichukue hatua ni muda sasa kuwa na tume ya kudhibiti uhalifu mitandaoni

    Matumizi ya mitandao ya kijamii sasa yanaongezeka kwa kasi Duniani na kufanya kila mtu kuwa rahisi kuwasilina na kujua vitu vinavyoendelea Duniani. Takwimu zinaonesha kuwa watu bilioni 4.7 kote ulimwenguni wanatumia mitandao ya kijamii ambapo ni sawa na asilimia 59 ya watumiaji. Kwa mujibu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali wa namna ya kudhibiti ukwepaji kodi bila kutumia mabavu.

    Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali. Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu. Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki. Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iasisi chombo cha kudhibiti na kudurusu bei za mazao ya kilimo na pia ikiwezekana bidhaa za uvuvi

    Mfumo wa soko la ndani wa mazao na bidhaa za kilimo (na uvuvi) kwa kiasi kikubwa unaendeleza dhulma na unyonyaji kwa wazalishaji mali hizo. Ijapokuwa zipo jitihada za serikali zenye kukusudia kuleta ustawi wa sekta ya kilimo na uvuvi nchini, pia hapana budi hatua za haraka kuchukuliwa za...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wananchi kufunga Vifaa vya Kudhibiti Umeme (Circuit Breaker) majumbani

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuchukua hatua za kufunga vifaa vya kuzuia athari za umeme kwenye nyumba (circuit breaker) ili kujilinda na majanga yanayoweza kutokea pale umeme unapokuwa mwingi au kupungua. Kapinga amesema hayo leo Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wananchi kufunga Vifaa vya Kudhibiti Umeme (Circuit Breaker) majumbani

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuchukua hatua za kufunga vifaa vya kuzuia athari za umeme kwenye nyumba (circuit breaker) ili kujilinda na majanga yanayoweza kutokea pale umeme unapokuwa mwingi au kupungua. Kapinga amesema hayo leo Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani wazazi wanaweza kudhibiti matumizi ya simu kwa watoto wao ambao ni wanafunzi

    Wazazi wengi wamekuwa wakiwapatia simu watoto wao kwa lengo zuri tu la kufanya mawasiliano na familia na marafiki zao pamoja na wanafunzi wenzao pia, wakati mwingine kwa ajili ya kujifurahisha kwa kucheza michezo mbalimbali iliyomo kwenye simu pamoja na kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii...
  15. JamiiForums Tanzania Kwenye safari ya mafanikio ukishajua nyota yako inaandamwa jitahidi sana kudhibiti mhemko (emotion)

    Huu ndio hasa ushauri wangu kwa kaka yangu mkuu wa mkoa wa Arusha. Inaonesha wazi nyota yake ya mafanikio ni kali sana na inaandamwa na kila mwenye nia njema na nia mbaya. Kwa wasomaji wa biblia wataungana nami kwa kurejea matukio mbalimbali ya kuandamwa kwa watu wenye nyota za mafanikio...
  16. JamiiForums Tanzania Zambia: Wananchi wapinga Serikali kuanzisha Sheria ya Kudhibiti Vyombo vya Habari vya Mitandaoni

    Tangazo la Serikali kuitaka Mamlaka Huru ya Utangazaji (IBA) kuongeza Kanuni mpya zitakazodhibiti Uendeshaji wa Vyombo vya Habari vya Mitandaoni limeibua malalamiko ya Wananchi wanaodai zinalenga kuminya Uhuru wa Habari na Kujieleza Baadhi ya Wanahabari na Wanaharakati wamesema "Kuna haja...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna ya kudhibiti matumizi holela ya dawa za binadamu mtaani

    Dhana ya kufanya biashara kwenye maduka ya dawa Muhimu (DLDM) inahatarisha maisha ya wananchi wanao kimbilia kupata huduma kwenye maduka haya .Maduka ya dawa yamerahisisha huduma ya upatikanaji wa dawa za binadamu wakati huohuo yameongeza hatari ya kupata madhara yatokanayo na dawa hizo.Hii...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Tufanye nini ili kudhibiti vitendo vya unyanyasaji wa kingono katika jamii?

    Unyanyasaji wa kingono hii ni aina ya unyanyasaji, unaohusisha matumizi ya matamshi ya ngono ya wazi ama ya siri, ikiwa ni pamoja na ahadi zisizohitajika na zisizofaa za zawadi kwa kubadilishana na faida za ngono. Wakati mwingine unyanyasaji huu muathirika, anaweza kutendewa kutokana na hali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    UFAFANUZI WA KINA NA MBINU ZA KUACHA UVUTAJI WA SIGARA Mbinu Za Kuacha Uvutaji Wa Sigara Miongoni mwa mambo magumu kabisa katika ufanikishaji wake ni mtu kuachana na uvutaji wa sigara. Watu wengi wamekuwa wakionywa kuachana na uvutaji wa sigara kwa sababu ya madhara yake, lakini wamekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa usalama barabarani uboreshwe ili kudhibiti foleni, ajali na rushwa. Jina la mfumo: Intelligent Road Traffic Monitoring System (IRT-MS)

    Utangulizi Dunia ya sasa teknolojia haikwepeki. Afrika ina watu wengi ila wenye weledi ni wachache, tuna watu wanaojiibia wenyewe kitu kinachopelekea sekta nyingi kuwa shagala bagala sababu ya utendaji mbovu. Ni ngumu sana kupambana na rushwa kwa askari wa usalama barabarani kwa kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…