Guys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa,
Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni mengi hadi natetemeka lakini haya yote yanaletwa na wanaume wapumbavu wanaoangalia mwili wa mwanamke...