kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Sababu kubwa ya wanaume kukosa nguvu za kiume hii hapa

    Anagalia vizuri hii picha, kisha useme kama inawezekana kwa mwanaume kuvumilia hiyo hali. Kama rangi ndiyo hiyo, harufu je? Kama kwa nje Pako hivo kwa ndani je? Hakuna haja ya kula ulojo, supu ya pweza, kutafuna karanga ama mihogo, tafuteni pisi safi na zilizojitunza utanishukuru.
  2. Asilimia kubwa ya Watoto wa 2000 ni matokeo ya wazazi wa Miaka ya 75' Hadi 85'

    habari za ujenzi wa taifa? Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo (80' 90')sijawahi sikia kizazi fulani kikibezwa kwa namna yoyote tofauti na kuchukuliana lakini...
  3. Ushuhuda; Kutokana na wimbi kubwa la Pisi Kali nimejikuta naukata mzizi wa Ubahiri bila Shuruti

    Shalom, Acha ukweli usemwe na pia acha ushuhuda uwekwe bayana. Binafsi kwa muda mrefu sana nimekuwa bahili hatari na nusu, ila uoto asili uliopo maeneo mbalimbali ya Tanzania umepindua meza ya ubahili. Pasipo shuruti nimejikuta napata upako wa kutoa pesa maana si kwa utitiri wa pisi kali za...
  4. Aibu kubwa: Mkuu wa nchi yupo Morogoro yenye shida ya maji kila kona. Lakini hajatamka neno moja juu ya mradi wa Kidunda

    Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita. Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi...
  5. Tafadhali mlio nje ya Tanzania mtatumia Mbinu gani kuangalia katika Simu haya Matukio ya tarehe 3, 4 na lile Kubwa la 'Kufa Jitu' la tarehe 8?

    Ni matukio ambayo GENTAMYCINE sitaki kabisa kuyakosa hasa hasa lile la tarehe 8 August, 2024 litakalokufa Jitu huko.
  6. Kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kuwa na mke mmoja

    Hakika fahari ya mwanaume ni kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ambao wana mpenda yeye na kumuheshimu.Ile feeling ni kubwa na nzuri sanaa kiasi kuwa wanao ipata ni wachache sana kwenye hii Dunia. Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ambao mnapendana wote bila shida kuna mfanya mwanaume kuwa mpambanaji...
  7. Neno “Asante” ni dogo sana lakini lina maana kubwa sana

    Kiukweli kabisa kuna watu hawajui kusema Asante Jamani! Sijui ni kutokuridhika na hata kitu kidogo. Usiposema asante huwezi pata zaidi hata siku moja zaidi ya kupoteza. Mimi binafsi kuna nimempatia vitu vingi lakini ni kama anataka zaidi yani anaonyesha kuna kitu bado sijampa. Hiki kitu...
  8. Kama Mifumo ya Miundombinu ya Treni katika nchi Kubwa na Tajiri 'imehujumiwa' sijui ya kule kwa wale Masikini wamejiandaa vipi kwa 'hujuma' za mbeleni

    Hata hivyo yawezekana kule wa Mataifa Masikini kabla ya Safari zao kuanza kulifanyika Matambiko makubwa sana tu.
  9. Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  10. Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  11. Msigwa kaenda CCM kuwa sehemu ya akili ndogo au kuifanya CCM akili kubwa?

    Alipokuwa bungeni kwa tiketi ya CHADEMA, Mch. Msigwa alishawahi kukituhumu CCM kwa kusema kuwa akili ndogo (CCM) inaiongoza akili kubwa. Kwa yeye kutimkia CCM, ameamua kuwa akili ndogo ili awaongoze akili kubwa au anataka kuifanya CCM akili kubwa? Pia soma:CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?
  12. W

    Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  13. Uharibifu wa mazingira ni janga kubwa sana, shule na vyuo vitumike kusaidia kupambana na janga hili

    Hakuna shaka kuwa janga la uharibifu wa mazingira ni tatizo la Dunia nzima, athari za janga hili ni kubwa sana, Tanzania kama sehemu ya Dunia tumeanza/tunaendelea kupitia maafa ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mvua, kupungua kwa vyanzo vya maji, mafuriko, kukauka kwa mabwawa etc ambavyo vyote hivi...
  14. Hiki walichofanya Sandaland ni marketing failure kubwa sana, waprinti jezi nyingine tu upya

    SANDALAND waprinti tu jezi mpya kama wanataka kufupisha jina la kampuni yao waziandike (SaLa), kama walishazalisha jezi nyingi itabidi waingie hasara tu kwana zitakuwa vigumu sana kuuzika. Hawa Sandaland hawakuweza kujifunza kutokana na mjadala wa kukataliwa balozi mteule wa Zambia nchini...
  15. January Makamba usirudi nyuma una hazina kubwa ndani yako

    Kwenye nchi masikini watu smart huwa hawapewei nafasi ya Ku-shine hata siku moja. That is way umeondolewa kisa una wa-out smart viongozi. You deserve to be PRESIDENT At ur Age 49 bado naamini utalisaidia TAIFA letu. Watanzania wakijua umewazidi AKILI watakuponda sana Bora uwazidi PESA na mali .
  16. Ni aibu kwa taasisi kubwa kama Yanga kuidharau na kuidhihaki Mahakama ya Tanzania kiasi hiki

    Sitawapotezea muda wenu kuwaelezea umuhimu wa taasisi ya Mahakama katika jamii na nchi yoyote ile. Hii taasisi ina heshma yake ambayo haitakiwi mtu au taasisi yoyote kuichezea, kuidhihaki, kuidharau wala kuitukana. Kwa hiki kinachoendelea siku hizi mbili na kauli za viongozi wa Yanga akiwemo...
  17. DODOMA: Natafuta Godown kubwa lenye ukubwa wa kuanzia Square Metres 800 mpaka 1000

    Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza sana. Mwenye Offer nzuri basi aje PM tuongee Biashara. Namba zangu 0710 782874 na 0693 784003 NB...
  18. Hii ni Aibu Kubwa sana kwa Wanaume wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Hofu imetanda kwa baadhi ya wazazi kuhusu usalama na ustawi wa watoto wao kufuatia matukio ya ukatili yanayowatokea watoto ambapo kwa mujibu ripoti ya polisi kwa mwaka 2023 imeonyesha matukio 30 hutokea dhidi ya watoto kila siku. Hatua hiyo imewafanya wazazi wa Mtaa wa Kibonde maji Mbagala, Dar...
  19. A

    DOKEZO Serikali iajiri Wakufunzi MUHAS, Kitengo cha Sayansi ya Tiba kuna changamoto kubwa

    Sisi Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Tiba kwa njia ya Vitendo hapa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tunaomba Serikali au Wizara husika iajiri Wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina Wakufunzi walioajiriwa. Wanaotufundisha wanajitolea kutoka...
  20. Tanzania japo kuwa na mito, maziwa na sehemu kubwa ya bahari lakini samaki wajawai kuwa kitoweo kikubwa

    Kuna mda inabidi ujiulize sana ili swali sababu ni nchi yangu imepewa kila kitu lakini na hakuna kitu kama tunavoona geita na dhahabu. Kuna nchi wale wasanii waliokwenda kule kutuletea ajenda yao wakitaka bima ya afya zao na mwenyekiti wao utazani samaki mkavu chuchungi. wajajifunza korea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…