Akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa uluiondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud, amesema Katiba ya sasa ndiyo inahatarisha Muungano wa Tanganyika Zanzibar.
Nukuu ya Maandishi...