kuboresha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    SoC04 Jitihada ziongezeke katika kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania

    Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu aweze kutunza afya yake Vyakula vyenye afya vinaweza kusaidia kuboresha afya yako. Kula matunda na...
  2. I

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Kuboresha Huduma za Afya kwa kutumia Vitengo vya Afya Vinavyotembea (Mobile Health Units)

    Utangulizi Katika kuiona Tanzania ya baadae yenye wananchi wenye nguvu na afya ni lazima tuweke kipaumbele cha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wote. Wazo moja la kiubunifu ambalo linaweza kuboresha kwa kiasi kikubwa huduma za afya, hasa katika maeneo yasiyo na huduma za kutosha...
  3. T

    SoC04 Jinsi ya kuboresha mifumo ya kielektroniki katika manunuzi ya serikali ili kuondoa rushwa na ubadhirifu

    Kuboresha na kuimarisha mifumo ya kieletroniki ya manunuzi ya serikali ya Tanzania ni hatua muhimu katika kupambana na rushwa na ubadhirifu. Hapa nimeeleza baadhi ya njia za kufanya: Uwazi na Uwajibikaji Kuongeza uwazi kwa kutoa taarifa za manunuzi hadharani kupitia mifumo ya kieletroniki...
  4. U

    Idara maalumu za Serikali zishirikishwe kuboresha mfumo utoaji maoni yanayowasilishwa na wasomaji hapa JF

    Wadau hamjamboni nyote? Haya ni maoni yangu binafsi kabisa lengo ni kuweka utaratibu ulio bora zaidi wa utoaji maoni kulingana na mada mbalimbali zinazowasilishwa jukwaani Idara maalumu za Serikali yetu zina uzoefu na weledi mkubwa hivyo naomba zitumiwe kikamilifu kutathimi kwa njia ya...
  5. 7

    SoC04 Tanzania nimiongoni mwa nchi zinazo endelea kukua kwa kasi sana ili iweze kufikia lengo kati ya miaka 5 mpaka 25 ijayo inatakiwa kuboresha sekta mbali

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali. Elimu ni nyanja muhimu sana katika taifa letu. Ili kufikia lengo, inatakiwa mitaala yetu ya elimu iboreshwe ili kumuandaa kijana wa kesho...
  6. S

    SoC04 Nini tufanye ili kuboresha sekta ya afya miaka kumi ijayo

    Afya ndiyo mtaji wa maisha ya binaadamu,bila kuwa na afya bora huwezi kufanya shughuli za uzalishaji mali na badala yake ni kupoteza kile ulichokuwa ukikifanya kama chanzo cha mapato, sababu hiyo pia hupelekea umaskini. Kumbe basi Serikali ni watu ili nchi iwe katika hali nzuri ya kiuchumi Afya...
  7. E

    SoC04 Mbinu kwa ajili ya kuboresha sekta ya ufugaji, kilimo, na uvuvi

    Hii ni sekta ya muhimu katika uchumi wetu. Ikiwa usimamizi wa sekta hii utaendelea kusimamiwa vizuri uchumi wetu utapanda kwa miaka mitano (5),kumi (10) na kuendelea.katika sekta hii tunapata malighafi mbalimbali kwa ajili ya viwanda mbalimbali mfano, alizeti kwa ajili ya kutengeneza mafuta...
  8. A

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Mipango Ya Kipekee Ya Kuboresha Elimu

    Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vizazi vijavyo kwa mafanikio na ustawi wa taifa. Hapa, tunaangazia mawazo bunifu yanayoweza kutekelezwa katika kipindi cha miaka 5-25 ijayo, kwa kuzingatia mifano dhahiri ya nchi zilizofanikiwa...
  9. H

    SoC04 Kuwekeza kwenye matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia pamoja na kuboresha matumizi ya (internet) mtandao kwa kuweka gharama nafuu kwa wananchi

    Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao. Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita. Uwekezaji katika matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia utaleta matokeo chanya kwani dunia...
  10. SoC04 Kuboresha mifumo ya upatikanaji wa taarifa za wagonjwa nchini

    Kupitia ukuaji wa Teknolojia ya mawasiliano na Habari, Tanzania imeweza kuunda mifumo ya usimamizi wa Taarifa za wagonjwa. Mifumo hii iliyoundwa bado kwa sasa imekuwa ina changamoto kubwa ambayo ni kuwa haisomani na kupelekea kutokuwa na Tija. Mgonjwa anaenda hospitali ambapo tayari ashawahi...
  11. E

    SoC04 Mbinu kwa ajili ya kuboresha Sekta ya Uchukuzi

    Moja - Itengwe bajeti ya kutosha katika sekta hii; zitolewe fedha ambazo zitakidhi mahitaji ya sekta ya (UCHUKUZI), hata kama sio kwa asiilimia mia moja. Hii itasaidia miradi mfano reli,barabara,maji n.k kukamilika tena kwa wakati na uchumi wa watu na taifa utakuwa. Mbili - Kuwapa kazi ya...
  12. SoC04 Mambo ya kuboresha katika Jiji la Dodoma ili kuleta taswira ya makao makuu ya nchi

    UTANGULIZI. Dodoma ulitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania na mwasisi wa taifa hili mwalimu JK Nyerere mwaka 1973 na Rais JP Magufuli alitoa amri ya serikali kuhamia Dodoma mwezi Julai 2016 wakati alipopewa wadhifa wa mwenyekiti wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi/CCM. Rais John Pombe Joseph...
  13. H

    SoC04 Tufanye haya kuboresha ajira kwa vijana wa taifa

    Ajira ni tatizo sugu duniani kote hasa Kwa vijana walio wengi.ila tunaweza kujitafuta wenyewe kama taifa Kwa miaka mitano mpka kumi kujikwamua na janga la ukosefu wa ajira Kwa vijana waliopo mavyuoni na mitaani. Tuboreshe mambo muhimu yenye kubeba ajira nyingi Kwa miaka mingi huko mbele...
  14. V

    SoC04 Wazo la kuboresha usimamizi wa rasilimali za uvuvi nchini Tanzania

    Wazo moja la kuboresha usimamizi wa rasilimali za uvuvi nchini Tanzania ni utekelezaji wa programu za usimamizi shirikishi za kijamii. Mbinu hii inahusisha kushirikisha jamii za wenyeji katika usimamizi wa rasilimali za uvuvi kwa kuwapa ushiriki katika mchakato wa kufanya maamuzi na utekelezaji...
  15. M

    SoC04 DIRA 2050: Umuhimu wa kuboresha mfumo wa uchaguzi na uteuzi wa viongozi wetu ni hitaji la lazima

    Dira ya taifa kuelekea mwaka 2050 ni hatua muhimu sana itakayotoa taswira na muelekeo wa taifa kwa miaka takriban 25 ijayo. Umuhimu wa kuwa na malengo ya muda mrefu ya kitaifa ni nafasi nzuri ya kuiandaa kesho ya taifa kwenye nyanja tofauti ikiwemo kiuchumi, kielimu na hata kimaadili na...
  16. O

    SoC04 Namna ya kuboresha elimu Tanzania

    Kumekuwa na mikakati kabambe ya kuboresha elimu nchini Tanzania. Ata hivyo njia hizo bado zinazalisha wahitimu tegemezi kwa serekali katika masuala ya ajira. Hii imepelekea wahitimu wengi kukosa ajira na kuiona elimu kama haina maana. Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili kuboresha elimu kwa...
  17. Mradi wa Machinjio ambao hautumiki, DC wa Uyui asema wametenga Tsh. 14m hadi 24m kuuboresha

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuulizia juu ya Mradi wa Machinjio uliopo Goweko akidai umekwama kuendelezwa licha ya fedha za walipa kodi tarkibani Shilingi Milioni 25 kutumika, Mkuu wa Wilaya ameelezea Sakata hilo. Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansansu amesema: Hayo Machinjio yana...
  18. SoC04 Mbinu za kuboresha sekta ya utalii katika Tanzania tuitakayo

    Huwezi zungumzia sekta zenye mchango mkubwa katika uchumi wa nchi yetu bila kuitaja sekta ya utalii. Imekua ikichangia pato la taifa na ajira kiujumla. Licha ya uwepo na utajiri wa maliasili na vivutio vya utalii sekta hii imekua ikikabiliwa na changamoto mbalimbali zinazozuia ukuaji wake wa...
  19. CRDB Insurance na ACRE Africa Washirikiana Kuboresha Bima ya Mifugo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CRDB Insurance, Wilson Mnzava akibadilishana hati ya makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya ACRE Africa, Ewan Wheeler, katika hafla ya kusaini makubaliano ya kutoa huduma ya bima ya kilimo na mifugo, ambapo kwa kuanzia watanaanza na bima ya mifugo kwa...
  20. A

    SoC04 Fikra bunifu kuboresha Sekta ya Afya kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    Zifuatazo ni changamoto kuu zinazopaswa kushughulikiwa ndani ya kipindi Cha miaka 5-25: 1. Upungufu wa watumishi wa Afya Changamoto: Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari,wauuguzi,na wataalamu wa Afya kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa na idadi ndogo ya wahudumu Mikakati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…