kubeti

  1. Hii sijaisoma kabisa akili za kubeti na...

    Maisha yanamambo sana..hii kwa moarange ni neno maarufu sana nini maana yake. Kubeti. Usimba na uyanga. Chips. Vinaeleweka. Kwa mparange ni nini?
  2. Kubeti ni kama kudanga tu!

    Sijaona maendeleo yoyote tangu nianze kubeti miaka 3 iliyopita. Wenzangu na mimi hali ikoje? Naweza kupata maujuzi zaidi ama niachane na kudanga huku? Tena madanga yangu km ya wanawake wa Buza, leo nimepata buku siku mbili sipati kitu. Nikipata elfu kumi inapita wiki mbili cjapata chochote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…