kubakwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UN imeshuhudia Wayazidi 10,000 wakiuawa, 7,000 wakitekwa nyara na kubakwa huku 500,000 wakikimbia makazi yao. UN is comprised!

    Kila wakati trump anaipiga chini sana UN kutokana na unafiki wao, hadi akaamua kujitoa katika baadhi plans ambazo amekuwamo miaka mingi. Ni nani anae control UN? UN imegeuka chombo cha kulaani na kutoa matamko kwa watu wengine ila kama jambo linahusu itikadi ya mrengo wa kulia, israel na US...
  2. Rais Samia: Poleni mliofiwa na ndugu zenu. Msiba huu ni wetu sote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapa pole wale waliofiwa na ndugu zao katika maandamano ya Oktoba 29, ingawa yeye ameeleza kuwa maandamano hayo yalijumuisha vurugu. Rais Samia Suluhu Hassan aliyasema haya wakati akizungumza katika mkutano maalum...
  3. N

    Mke wangu aliwahi kubakwa akiwa binti Leo ananieleza hajawahi kuwa na hisia ya mapenzi maisha yake Yote naombeni ushauri

    Habari Wana JamiiForums. Mimi ni kijana mwenye miaka 30 kuna mambo ya kimahusiano yanayonisibu Kwa sasa nadhani yapo nje ya uwezo wangu kama sitapata mshauri mzuri ninaweza nikaenda mlama kama meli. Twende Kwa mada,kuna binti mmoja miaka mitatu iliyopita tulijikuta kwenye mahusiano ya...
  4. Kubakwa na kuteswa kwa Muchwezi Agather Atuahire, Je Bahima Empire/Wachwezi kulipa kisasi?

    Baada ya tuhuma nzito za Mwanaharakati wa Uganda Agather Atuahire kubakwa na kuteswa na vyombo vya Ulinzi vya Tanzania, Je tutarajie nini kinachofuata? Ikumbukwe Jamii ya Wachwezi ambayo inaunda Bahima Empire ina imani kama za watoto wa Ibrahim(Wana Israel) kuwa ukimfanyia mmoja wetu hivi basi...
  5. Manyara: Mwanafunzi auawa kwa kubakwa, atobolewa macho, mwili wake watupwa shambani

    Wakazi wa Kata ya Galapo, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wamegubikwa na huzuni, kufuatia taarifa za kubakwa na kuuawa kikatili kwa Suzana Samweli (13), mwanafunzi wa darasa la sita ambapo wananchi wamelaani vikali na kuitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka dhidi ya wahusika wa tukio...
  6. S

    Ushawi kubaka au kubakwa ?

    Nauliza tu ili nizidishe elimu ya duniani.
  7. Wanawake huko GOMA, washindwa kurejea makwao wakihofia kubakwa

    Baada ya mji wa Goma,mashariki mwa Jamhuri ya kidemokalasia ya Congo, wakimbizi waliokuwa katika maeneo ya jirani na Goma, walihamasishwa kurudi majumbani kwao, na kuhakikishiwa usalama wao. Waliotoa taarifa, wamesema mpaka sasa wana usalama wa kutosha,japo hawana imani kama hali hiyo...
  8. Tetesi: Wanafunzi wa kike shule ya sekondari Thaqaafa Mwanza wanusurika Kubakwa

    Wanafunzi wakike shule ya Sekondari Thaqaafa iliyoko mkoa wa Mwanza , wilaya ya Nyamagana wamenusurika kubakwa baada ya vibaka watatu kuingia ndani ya bweni saa nane usiku. Wakiwa katika harakati za kumziba mdomo mmoja wa wanafunzi ili asipige kelele waanze kumbaka, ghafla mwanafunzi mwenzake...
  9. Wakili Mwabukusi: Aliyesababisha Binti wa Yombo Kubakwa na Kulawitiwa naye Afikishwe Mahakamani

    https://youtu.be/m9WGFYVzCvU Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi. Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao...
  10. Chombo Huru kichunguze tukio la Binti kubakwa na kulawitiwa, Kauli za Polisi zinatia shaka kupatikana Haki yake

    Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka kuhusu haki ya huyo binti. Baadhi ya Askari wamekuwa wakitoa kauli zinazoonesha wazi kumkandamiza...
  11. Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza

    Wakuu, Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule binti alikuwa kahaba! Mpaka utambulisho wa moja wao umebainika halafu leo maneno yanageuzwa hivi...
  12. Wakala wa Wachezaji Jasmine Razaq: Kumtetea Kwangu Fei Toto kulisababisha nitishiwe kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa

    "Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu...
  13. Mwanafunzi aliyepotea kwa siku 35 adai aliondoka Shuleni baada ya kubakwa na Mwalimu

    Mwanafunzi kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Panda hill, Esther Noah (18) amesema chanzo cha kutoroka shuleni ni kunyanyaswa kingono na mwalimu wa shule hiyo anayejulikana kwa jina la mwalimu Jimmy.
  14. D

    Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Yule binti mwanafunzi aliyepotea! Alipatikana akiwa amewekwa kimada na muuza mkaa! Anasimulia binti huyo alifikia uamuzi huo baada ya kunyanyaswa shule na mwalimu Jimmy! Binti anazidi kusimulia ilikuwa majira ya chakula alichelewa kufuata chakula, akiwa bwenini alikuja mwalimu akawafurusha...
  15. A

    DOKEZO Mwanafunzi wa darasa la 6 adaiwa kubakwa na watu watatu; abeba mimba. Polisi wadaiwa kuhaha kuficha ukweli

    Nianze kwa kukupa ‘intro’ ya stori kabla sijakushushia mkeka kamili, ipo hivi hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa kike wa Shule ya Msingi Barracks, Dar es Salaam, amefanyiwa ukatili kwa kubakwa na watu watatu katika nyakati tatu tofauti. Hapa ninavyoandika mistari hii huyo binti haendi shule tena...
  16. Mkoa wa Iringa wageuka Kuzimu kwa matukio ya Watoto kubakwa na kulawitiwa

    Ripoti kutoka kwa Mganda Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Alfred Mwakalebela imeeleza kuwa idadi hiyo ni wastani wa Watoto 2 hadi 3 kwa wiki ambao hufanyiwa ukatili wa Kubakwa na Kulawitiwa. Mwenyekiti wa Mtaa wa Kihesa Kilolo, Omary Juma, amesema Watoto 30 walibakwa na Kesi ziko...
  17. Geita: Wanawake wadai kubakwa na mwanaume usiku kishirikina

    Wananchi wa Kijiji cha Bugando, Kata ya Nzera, wilayani Geita mkoani humo, wameiomba serikali ichunguze na kumtafuta mtu anayewaingilia usiku wananchi kwenye nyumba zao na kuwabaka hali inayopelekea kuishi kwa mashaka na kuhataraisha afya zao. Waathirika wa tukio hilo wanasema mtu huyo amekuwa...
  18. Mtoto akiri Mahakamani kubakwa na baba yake ambaye ni Mchungaji wa Kanisa

    Nurdin Abdallah Shahidi namba moja ambaye ni mtoto wa miaka 6 anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi Mchungaji Nurdin Abdallah (54) na Muinjilisti wa kanisa la waadventista wasabato Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, amekiri mbele ya Mahakama kufanyiwa kitendo hicho kwa nyakati tofauti na baba...
  19. Iringa: Adaiwa kumbaka mjamzito na kumsababishia umauti

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa linamshikilia Mohamed Mwanjali mkazi wa Mtaa wa Kitanzini kwa tuhuma za kumbaka Mama mjamzito na kumsababishia umauti. Mwenyekiti wa Mtaa wa Maweni Kata ya Kitanzini Yassin Kisogole amesema Mwanamke huyo alitendewa ukatili huo usiku wa kuamkia September 25,2022...
  20. Billionaire Shillah anusurika kubakwa

    Hello Wadau!! Billionaire Shillah hivi karibuni amepost akishuhudia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii akimshukuru Mungu kuikimbia zinaa. Wana JF wenzangu nadhani mna la kujifunza.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…