kuanzisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vijana, Figo zinaua, jilindeni na haya Mapombe…Ushauri tu!

    Nusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa. Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa. Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida. Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia. Hatimaye...
  2. Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Shule ya Msingi na Secondari

    Bright and Genius Editors wanatayarisha mpango wa biashara (Business Plan) wa kitaalamu kwa ajili ya kuanzisha na kuendesha Shule za Msingi na Sekondari. Kupitia mpango huu, utapata nyenzo kamili ya: 1. Kuwasilisha kwa taasisi za kifedha ili kupata mkopo au ufadhili. 2. Kuvutia wawekezaji na...
  3. Utaratibu wa kuanzisha kiwanda upoje, je ni sahihi mtu kuweka kiwanda katikati ya makazi ya watu ambacho kinazalisha environmental pollution?

    Leo , nipo kawe katika Siasa . Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution. Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
  4. Mambo 10 ya Kuzingatia Ukiamua Kuanzisha Ghetto Lako 🏠🔥

    Kuanzisha ghetto si tu suala la kupata chumba cha kupanga, bali ni hatua ya kuanza maisha mapya kwa heshima na mpangilio. Ili kuepuka kuishi hovyo na kukosa misingi ya starehe na usafi, zingatia haya mambo muhimu: 1. Tathmini Kipato Chako Kabla ya kuchukua chumba, jiulize kipato chako...
  5. Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki

    Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na blogu + ujuzi wa IT, nitakusaidia kusajili jina la blogu Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k. nicheki WhatsApp/sms/call +255 0756704145
  6. GE2025 Je, vyombo vya habari vinapotumika kwenye matangazo ya vyama fulani, ni njia ya kuathiri demokrasia na uchaguzi huru?

    Wakuu! Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari vimeanza kutangaza kauli mbiu za vyama vya siasa. Hali hii inanitia wasiwasi kuhusu uadilifu na mustakabali wa demokrasia yetu kipindi cha uchaguzi. Swali: Je, hili si mwanzo wa kampeni kabla ya muda wake? Na je, taarifa hizi kwa wapiga kura...
  7. Biashara unazoweza kuanzisha ukiwa na milioni moja ( Tsh 1,000,000)

    Hamjambo! Leo sitakuwa na maneno mengi. Ukiwa na milioni Moja hizi ni biashara unazoweza kuzifanya; 1. Fundi Nguo! Chukua sherehani tatu za 250,000/= inayobakia tafuta Frem ya elfu 50. Nunua vifaa kisha anza kupiga kazi. Cherehani zingine mbili tafuta mafundi, piga kazi. 2. Saluni ya kiume...
  8. Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  9. SADC na Marekani kuanzisha jukwaa la majadiliano

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Serikali ya Marekani...
  10. Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)

    Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)? Yaani: Business Plan for Establishing a CNG Refueling Station Biashara ya kuanzisha kituo cha kujaza gesi asilia (CNG) nchini Tanzania ni fursa kubwa na ya kipekee, hasa kutokana na mabadiliko ya dunia kuelekea...
  11. M

    Je, Kuna kabila lolote Tanzania lililowahi kubuni mfumo wake wa maandishi

    Katika makabila zaidi ya 120 Tanzania, lipo hata moja lililowahi kupata akili ya kugundua maanishi yanaweza kutumika kama njia mbadala ya kuongea maneno kwa mdomo ? Ni lugha ya maandishi, Sio kuchora au kuchonga vinyago
  12. Waziri Kombo apokea na kuanzisha Kifimbo cha Mbio za Mfalme wa Uingereza

    Waziri Kombo apokea na kuanzisha Kifimbo cha Mbio za Mfalme wa Uingereza Katika Viwanja vya Michezo vya Jakaya Mrisho Kikwete, Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amepokea Kifimbo cha...
  13. Air bnb,ni nini?,nawezaje kuanzisha biashara hii,inayoshika kasi kwa nyakati hizi.

    Wenye uelewa watujuze hii kitu,inafanywaje?,mazingira gani mazuri kwa biashara hii?, vyumba vya aina hufaa kwa biashara hii?je banda zuri la manyasi linafaa kwa biashara hii?vibali vyake vinapatikanaje?,jinsi gani utafawafanyia wateja bookings kutoka nje ya nchi,na mengineyo, Kwani,MH.Rais wetu...
  14. R

    Tanzania na Abbott wasaini Makubaliano ya kuanzisha Uzalishaji wa Vipimo vya haraka vya Magonjwa

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya imesaini makubaliano ya ushirikiano (MoU) na kampuni ya kimataifa ya huduma za afya Abbott, kwa lengo la kuchunguza uwezekano wa kuanzisha uzalishaji wa vipimo vya haraka vya magonjwa mbalimbali hapa nchini. Makubaliano hayo...
  15. Ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Young Africans SC (Yanga) Kuanzisha Tiketi za Kidigitali

    Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia Tiketi za Kidigitali (Digital Support Tickets). Maelezo ya Wazo: Katika siku maalum kama vile Yanga...
  16. Je umri wa miaka 32 ni umri sahihi wa kuoa na kuanzisha Maisha ya kifamilia?

    Wakuu , Kutokana na Changamoto za Maisha nimefikiria kusogeza siku mbele hasa kuhusu kuoa. Je umri wa miaka 32 ni rafiki na unafaa MTU kuanzisha familia au MTU anakuwa amechelewa? Ahsante.
  17. K

    Kuna haja ya serikali, kuanzisha chombo kitakachodhibiti suala la mavazi vyuoni

    Muonekano na tabia ya mtu daima hupambwa na mavazi. mavazi hubeba dhima kuu za tabia ya mwanadamu kisaikolojia . Na ndio, maana hata tapeli, nyakati nyingine, akitaka kumkwida mtu huangazia kwanza muonekano wa mtu, uliobebwa na mavazi . kifupi yako mavazi ukivaa hata kama moyoni unajiona...
  18. O

    Kitendo cha mahakama kuifungia CHADEMA kufanya siasa wakati huu, imethibitisha wazi ulaghai uliofanywa na Nyerere na CCM katika kuruhusu vyama vingi

    WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii! Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja! Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani! Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
  19. Utaratibu wa kuanzisha makanisa ,misikiti na NGOs utazamwe upya

    Kwa sasa imekuwa jambo rahisi sana katika kuanzisha hizi taasisi kupitia mifumo ya kieletroniki . Ni vyema Regulatory authorities kujitathmini na kufanya mapitio ya kina namna mtu au taasisi anavyoweza kuanzisha taasisi yake. Uwepo wa mifumo ya kieletroniki usitafsiriwe kuwa ni rahisi tu...
  20. Natafuta mchumba wa kuanzisha naye familia

    Jamani ni me natafuta mwanamke wa kuanzisha naye maisha na familia pia.umri wangu ni miaka 29 kazi yangu ni mfanya biashara mdogo,location nipo mbeya kama uko tayari nichek pm
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…