kuanza

The Cuanza Norte Province (Umbundu: Konano Kwanza Volupale) is province of Angola. N'dalatando is the capital and the province has an area of 24,110 km² and a population of 443,386. Manuel Pedro Pacavira was born here and is a former provincial governor. The 1,400 meter long Capanda Dam is located in this province. Cuanza Norte lies on the northern bank of the Cuanza River. It had been a territory of Ngola Kingdom. In 1914, Norton de Matos created District of Cuanza which was divided into Cuanza Norte and Cuanza Sul Provinces in 1917.

It was badly affected during the Angolan Civil War. It has many mines left over from the Civil War and contracts to clear them were given to several organisations. During the civil war, the insurgents made the province part of the central zone. On 5 April 2001, National Union for the Total Independence of Angola members attacked Samba Caju and killed 120 FAA members. The province's military commander, General Recordacao was also killed in the attack.The most spoken languages are Kimbundu. Mbundu people inhabit the province. Sugarcane and coffee are the most important agricultural crops. Their production is favoured by the tropical humid climate of the province.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Visiwani kuanza uchimbaji gesi kabla ya LNG ya Lindi?

    Inawezekana Visiwani wakaanza mradi mkubwa wa uchimbaji gesi kabla ya mradi wa uchimbaji gesi ya LNG Lindi? Naona upande mmoja umekuwa kimya sana ilhali upande mwingine mambo yameshika kasi...... Pia Soma: Mradi wa gesi-Lindi LNG Wa Thamani ya Trilioni 105 Hatihati Kukwamishwa na Michakato...
  2. F

    Nimeshituka baada ya watu kuanza kuniamkia na kuniita mbaba

    Aisee hamna kitu kinachoninyima usingizi kama watu mtaani kuanza kuniamkia na kuanza kuniita mbaba sasa najiuliza kwanini waniita mbaba na kuanza kuniamkia ila nahisi miahafikia umri wa utu uzima natakiwa kuacha kufikiria kuhusu maisha maana sio kwa kasi hii ni maisha na utu uzima kiukweli...
  3. M

    KWELI Elia Mpanzu kuanza kucheza hatua za Makundi inategemea na kufunguliwa kwa dirisha la usajili na ratiba ya kuanza makundi

    Kuna hili suala la Kuwa Mpanzu amesajaliwa Simba tayari japo bado haijaw wazi ila jambo linalonipa utata ni tarifa z kuwa atacheza kuanzia hatua ya makundi kwa kuwa dirisha dogo litakuwa limeshafunguliwa huku wengine wakisema haruhusiwi kucheza hatua ya makundi. Msaada wenu wakuu mtupe ukweli wake
  4. Serikali Kuanza Ujenzi wa Songea ByPass, Kuondoa Msongamano wa Maloli Songea Mjini

    SERIKALI KUANZA UJENZI WA SONGEA BYPASS, KUONDOA MSONGAMANO WA MALOLI SONGEA MJINI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imedhamiria kuondoa msongamano wa magari makubwa katikati ya Mji wa Songea kwa kujenga barabara ya mchepuo (Songea Bypass) yenye urefu wa kilometa 16...
  5. Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

    Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa. Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1. Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege. ====== Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa...
  6. N

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman: Mtanzania yeyote mwenye akili hakuna atakayelalamika namna Muungano unavyoendeshwa

    Akizindua maonesho ya biashara ya Miaka 60 ya Muungano, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amesema wananchi wanatakiwa kuendelea kutambua umuhimu na tija za Muungano, ambapo amewahasa wanaofahamu vyema manufuaa yaliyopo kuendelea kuwaelimisha wengine hususani vijana ili waweze...
  7. K

    Tunasubiri viongozi wa CHADEMA kuanza kushikwa! wekeni kamera tuwaone hao watekaji

    Sio punde tutaona badala ya Polisi kutafuta wauaji wataanza kuwafuata viongozi wa Chadema majumbani kwao na kuwateka ili tu wasiende kwenye maandamano. Kwasababu wanajua hilo ni wakati wa kuweka kamera na kuwaita waandishi wa habari msije kutekwa kwa namna hiyo. Huu ni ushauri tu
  8. I

    Mpango wa Korea Kaskazini kuendelea kutumia na kukuza silaha za nyuklia umekuwa suala lenye mvutano mkubwa kimataifa

    Mpango wa Korea Kaskazini kuendelea kutumia na kukuza silaha za nyuklia umekuwa suala lenye mvutano mkubwa kimataifa kwa zaidi ya miongo miwili. Nchi hiyo, chini ya uongozi wa Kim Jong-un na baba yake kabla yake, Kim Jong-il, imekuwa ikipuuza vikwazo vya kimataifa na kukataa juhudi za...
  9. F

    Natarajia kuanza kuvuna pilipili Novemba wanunuzi jitokezeni

    Sijui soko la Sasa la pilipili like ila ningependa kujua ili nilinganishe na wakati huo pilipili ikishakuwa tayari Hivyo naombeni kujuzwa soko lake likoje yaani pilipili inauzwaje kuanzia kipimo cha chini hadi gunia na aliye tayari afanye booking ili tuje kufanya biashara
  10. J

    PreGE2025 Upendo Peneza: Hata sasa kupitia Nafasi niliyonayo ndani ya CHADEMA naahidi kuwatumikia!

    Mbunge mstaafu Upendo Peneza amesema kupitia Nafasi aliyonayo huko CHADEMA ataendelea kuwatumikia. Pia soma: Alipanda mpaka mnara lakini wapi! Unafikiri anaandaliwa kwa cheo kingine au ndiyo imetoka hiyo? Kwa sasa Upendo Peneza Msuya ni Mwanachama wa CCM pamoja na Mchungaji Msigwa.
  11. M

    Digital content creators kuanza kulipa kodi

    Mabadiliko ya muswada mpya wa sheria ya kodi umefanyika na sasa digital content creator watakua wanalipa kodi
  12. Watumishi wa Korea Kusini kuanza majaribio ya kufanya kazi kwa Siku 4 kwa Wiki badala ya SIku 5

    Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Yonhap, Watumishi wa zaidi ya Taasisi 50 katika Jimbo la Gyeonggi wataanza jaribio hilo badala ya Siku 5 au 6 za sasa. - Majaribio hayo yanayotarajiwa kuanza mwaka 2025 yatatoa Uhuru kwa Watumishi kuchagua kati ya kufanya kazi siku 4 au kupunguza zaidi Saa za...
  13. MWENDOKASI Kuanza natumizi ya kadi kwa abiria hivi karibuni,je itakuwa kama mwanzo

    Nafikiri anytime soon matumizi ya kadi yataanza ktk vituo vya mwendokasi,je elimu imetolewa? Huduma si mpya japo kutakuwa na maboresho kadha wa kadha. Nasikia kadi itakuwa inauzwa 5k iyo ni bado hujajaza nauli, je ufanisi wa mashine kuscan upoje ili kutosababisha msongamano wa watu kituoni...
  14. Hatua Za Kuchukua Pale Unapojiona Umechelewa Kuanza Uwekezaji.

    Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa uhakika. Kauli mbiu yetu kwenye NGUVU YA BUKU, ambayo pia ndiyo imani yetu ni KILA MTU ANAWEZA KUWA...
  15. Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini. Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio maana waswahili wanamsemo wao unaosema "tembea uyaone". Hii haimaanishi kwamba utembee uyaone...
  16. G

    West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  17. Mkuu wa Wilaya agoma kuingia kikaoni baada ya Wimbo wa Taifa kuanza akiwa nje

    Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia. Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni...
  18. Serikali kuanza kutumia ‘drone’ kwenye uchimbaji wa madini Kijiji cha Lemishuku

    WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amefanya ziara kukagua shughuli za uchimbaji madini na kusikiliza changamoto za wachimbaji wadogo katika eneo la Lemishuku,Wilayani Simanjiro eneo ambalo ni maarufu kwa uchimbaji wa madini vito ya Green Garnet Waziri Mavunde amepata nafasi ya kukagua uwekezaji...
  19. Nataka kuanza mazoezi! Niambie Chochote kuhusu mazoezi

    Wakuu nina passion na mazoezi.
  20. Kuanza Upya si Ujinga

    Nakumbuka niliwahi kuwa na kaduka kule barabara za namba Tanga mjini🤣🤦‍♀️ Mwanzoni kalinipa heshima kidogo angalau pesa ya mboga nyumbani haikukosekana, angalau kipindi mambo ya mishahara yanasumbua basi kifaida kikawa kinakidhi mahitaji. Likaja wazo la ushauri mbalimbali la kuikopea biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…