Hello wadau.
Fulsa imetolewa bure ya kuandika kwenye website. Website hii ni engineering blog, wadau wote wenye interest ya kuandika na kutaka ku share mambo mbali mbali ya kitaaluma wanaweza kufanya hivyo.
Wahandisi, wanafunzi wahandisi, na wengine wote wanaoweza kuandika maada yoyote...