Siku baada ya siku sioni dalili ya kutoboa kupitia haya maisha ya kuajiriwa mambo yanazidi kuwa tough familia inaanza kukua kwa mshahara huu wa single digit sina hakika kama kuna kutoboa bila kuchukua action sasa
Kinachouma zaidi kuna watu huo mshahara wako ni per diem ya siku mbili tu aisee...
Tusipende kuchukulia poa maisha tena maisha haya yakibongo kisa tu mshangazi wako au sponsor wako umekula hela zake wee sasa umejipatia platform na mic ya kuzungumza ndio uanze kuropoka ropoka.
Tusipende kuona kwamba kujiajiri ni kitu ambacho sio process, sio gharama na sio kigumu.
Orodha kamili ya taaluma za afya na aina ya biashara mtu anazoweza kumiliki/kujiajiri bila mtaji mkubwa—mfumo wa “Skill → Business” (Taaluma - Biashara).
📌 ORODHA YA TAALUMA ZA AFYA NA BIASHARA ZAKE ZA KUJIAJIRI
1. Pharmacist (Mfamasia)
Huyu ni mtu aliyesomea kuhusu Dawa za magonjwa ya...
Hatuwazungumzii wafanyabiashara wenye helikopta zao hao ni level nyingine, tunajizungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara ambao maisha yetu yamekuwa ni pirika pirika. kuna muda unaweza piga mshindo ila kuna muda soko likikugeukia utaimba,
Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off...
Kumekuwa na utaratibu kwamba wanufaika wa mikopo wanapoajiriwa katika sekta ua umma hawakatwi mshahara Kwa ajiri ya malipo ya HESLB Hadi baada ya mwaka mmoja kazini
Hali hii ni tofauti Kwa sekta binafsi ambapo baada tu ya kuajiriwa HR wanadai wameambiwa na bodi wapeleke majina ya wanufaika wote...
Leo sitaki kugusia matendo ya uzinzi yanayofanywa na wake wa watu wakiwa kwenye safari za kikazi au wakiwa kazini. Ninataka nigusie zaidi suala la uwajibikaji ambao mwanamke anapaswa kuwa nao kwa mume wake.
Msije mkasema siijui Biblia — nimesoma vyuo vya Biblia takribani vitatu, vikiwemo...
Kama umehitimu chuo kikuu au una certificate kutoka chuo au taasisi yoyote ya elimu ya juu, huu ni wakati wako wa kuchukua hatua ya kujiingizia kipato kupitia kazi za kuajiriwa mtandaoni.
Kazi zipi unaweza kufanya
2. Mahali pa kuzipata
3. Jinsi ya kujiandaa
4. Na mbinu za kushinda ushindani...
Ukiwa na mke ambae ameajiriwa au amejiajiri utapata faida kama kusaidiana kweny gharama za maisha mfano ujenzi, ada za watoto na mambo mengine mengi.
Mke kama anaingiza kipato kimsingi maisha yanakua ganda la ndizi kimtimdo flani hivi, yaaan unateleza tu shwaaaaaa.
Lakini ni ukweli kwamba...
Ninawajua watu kama kadhaa walioenda kusoma nje ya nchi miaka ya 2012 hadi 2015, Wamesumbuka sana kwenye soko la ajira imewabidi tu wakubaliane na matokeo kwa kujiendeleza na shughuli nyinginezo
Kwenye ajira degree huwa ina uzito sana hivyo inabidi uwe makini kwenye uchaguzi wa vyuo, Masters...
Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha,
Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote, anaweza kukupa mtaji mrefu bila kujiuliza mara mbili, uende kuhangaika kwenye ajira za mshahara wa milioni...
niamatumian yangu wote wazima nami namshukuru MUNGU kwa yote
ndugu zangu kwa majina naitwa yusuph wambura. napatikana dar
kilicho nisukuma mimi mpaka kufikia hatua ya kuvunja ukimya wangu n matatizo yalionipata mimi na kuamua ni kheri nitumie njia hii kuwafikia watu pengine naweza nikapata...
My Friends, ladies and gentlemen,
Heri ya mwaka mpya 2025.
Kama hoja ilivyo wazi hapo mezani,
nini mawaidha yako mwaka huu mpya wa 2025, kwa vijana graduates wa kike na wa kiume wa umri ambao nimeuanisha hapo juu, ambao bado wanaishi kwa wazazi wao, hawajaoa wala hajaolewa?
Kumbuka pia kijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.