kuachana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Nanauka awasihi vijana kuacha kukaa vijiweni na kupiga soga, watumie kikamilifu fursa za Serikali na za wadau

    Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana, kuwaongoza na kuwawezesha kufikia nchi ya ahadi ya asali na Maziwa. Inawezekana...
  2. S

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hatuna mpango wa kuachana na programu ya nyuklia, hatutishiki

    ''Iran imelipa gharama kubwa kwenye programu ya amani ya nyuklia na urutubishaji wa uranium.-Abbas Araghchi - Kwanini tunasisitiza sana kwenye urutubishaji wa uranium na hatuna mpango wa kuachana na programu hii hata kama vita vikiletwa kwetu ?Ni kwasababu hakuna nchi ambayo inaweza kuamuru...
  3. Njia gani ni nzuri ya kuachana na Mpenzi au Rafiki?

    Unatumia njia gani kuachana na mpenzi wako au rafiki yako kama imefikia hatua unaona hamuendani au unaona kabisa huyo mtu huwezi kutoboa naye mbele ya safari?
  4. Baada ya kuachana na ex wako ulifanya nini ili kulipiza kisasi 🤔

    Ulifanya nini ili kulipiza kisasi baada ya kuachana na ex wako 🤔
  5. Tundu Lissu akataa kuuza utu wake kwa hongo. Majaji hawataki kuingia kwenye rekodi mbaya. Samia akosa namna sahihi ya kuachana na kesi ya mtu huyu..!

    Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu.. Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
  6. Bila kuachana na imani za kishirikina itakuwa ngumu kwa Watanzania wengi kupiga hatua za kimaendeleo

    Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au kumpa mtu nguo zako. Kwa madai yake ya kishirikina ni kuwa ukifanya hivyo utapatwa na majanga mabaya...
  7. Natamani kuachana na huyu mama watoto wangu lakini amekataa

    Ameniahidi hata nimpige nimuue haondoki hata nifanyeje Sababu za kumuacha ni upendo umepungua kwetu sote. Hivo ndani kila siku ni fujo tu nikatafuta wa nje nikazaa nae ila yeye wala hawazi ameniambia tu niwe natumia kinga. Sasa nishamfanyia visanga kibao tu ila hata ameniambia nikihama niende...
  8. Wanawake wa kimarekani wengi ni kisanga aaah, natamani kuachana nae ila nahofia divorce itanifilisi

    Wakuu haya mambo yasikie kwa wenzenu tu aisee hawa wanawake wa huku abroad ni kisanga jamani aaaah hii 50/50 mtihani jamni unaweza kukufilihisi hivi hivi na wanawake wa huku majuu wapo na wewe kwa ajili ya mali tu hasa wakijua ni mwafrika na kama mwafrika umeendelea na umetajirika kwahiyo...
  9. GE2025 Kama Jessica Magufuli anakubalika hivi, kwanini hakugombea jimbo na kuachana na ubunge wa viti maalum?

    Nimesoma kichwa cha habari kwenye gazeti la Mwananchi japo linamilkiwa na wageni kiasi cha kukosa maana yake kuwa Jesca Magufuli alivyogeuka turufu kwa CCM Kanda ya Ziwa. Kama siyo uchawa na kutaka kuuhadaa umma, kama anakubalika kiasi. hiki, kwanini ameishia kwenye ubunge maalumu wakati ana...
  10. GE2025 Vitali Maembe aachana na siasa

    TAARIFA YA KUJIUZULU KUTOKA SIASA ZA VYAMA Tarehe 20 Julai 2025, nilimuandikia barua Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ndugu Ado Shaibu, nikieleza rasmi uamuzi wangu wa kujiuzulu siasa za vyama, nafasi yangu ya Uenyekiti wa Jimbo, na uanachama wangu wa chama. Katika barua hiyo nilitoa pia sababu...
  11. Kulikoni hii trend ya X ya watu kutoka uarabuni kupinga kikundi cha Muslim Brotherhood

    Muslim brotherhood ni kikundi kinachojificha katika kivuri cha msimamo wa kiislam lakini kiuahalisia kinafadhiri machafuko ulimwenguni kwa jina la uislam.
  12. Wewe unayehonga, mara ya mwisho kula kuku mzima aliyechomwa ilikuwa lini?

    Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini? Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada. Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
  13. Unataka kuachana na uzinzi? Soma hapa

    Watu uliofanya nao uzinzi, nafsi zao hubakia ndani yako kwa kazi maalum. Soma hii: Ili kututesa. Kuja katika ndoto, na kushiriki uzinzi na sisi. Kutuzuia tusioe au kuolewa. Kutuvurugia amani na upendo kwenye mahusiano mengine au ndoa. Kujichua kupitia nafsi zao. Kutufanya tuwe makahaba kwa...
  14. Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  15. Nifanye nini niepuke kivuli cha ex husband asiyekubali kuachana?

    Salaam WanaJF, Miaka ya nyuma niliwahi kuleta hapa tatizo kubwa lililokuwa linanikabili. Kwanza kabisa, naomba niwapongeze sana — mliniinua. Nilikuwa nimekata tamaa ya kuishi, nilihisi sina tena thamani. Lakini kupitia uzi mmoja tu nilioweka hapa, maisha yangu yalibadilika kabisa. Niliweza...
  16. Sijawahi kuachana na mtu kwa vita au ugomvi, mliachanaje na ex wako wa mwisho?

    Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu. Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa. Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi...
  17. N

    Peer Pressure: Uliwezaje kuachana na marafiki waliokuzunguka walevi ama kuishi nao bila kutumia vilevi

    Vilevi nikimaanisha pombe, bangi, sigara, nk Mfano unakuta mpo out, mnapiga story au mpo nyumbani Wao wanakunywa na kuvuta
  18. Kwanini mwanaume anapofumania mwenza wake anatakiwa kuachana naye?

    (Sababu 7 za msingi zinazomlinda mwanaume kiheshima, kiafya, kiakili na kifedha) Katika dunia ya sasa ambapo maadili yanazidi kuyumba, kuna wanaume wengi wanaojikuta wanasamehe usaliti mkubwa wa wake zao kwa kisingizio cha watoto, familia au dini. Lakini ukweli mchungu ni huu: ukimvumilia mke...
  19. Tangu Mdude Nyagali aamue kuachana na siasa, kuna akaunti za JF zilizokuwa zinatukana matusi hazionekani tena

    Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
  20. Nafikiria kuachana na mke wangu

    Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja. Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…