kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

    TRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi wanavyojisikia wao☺️🤣, nyie bwana... Bt Guys please aim ya kuandika hii sio Promo wala kutafuta mtu ni...
  2. JamiiForums Tanzania Ninawasihi wafanyabiashara wenzangu kuacha kuwaongelea vibaya wafanyakazi wanapoacha kazi

    Mtu mmoja ambaye ni family friend na Koffi Olomide aliniambia kuwa Mzee Koffi kwenye mkataba wake wa kazi kaweka kipengele cha kutoongeleana vibaya baada ya mkataba kufikia tamati au kuvunjwa. Hii ilitokana na tukio la mwishoni mwa miaka ya 90 pale wanamuziki wake wote walivyomtoroka kabla ya...
  3. JamiiForums Tanzania Alidhani anapiga na kuacha lakini saaa ni mke wake wa ndoa

    Kati ya jambo baya mwanaume unaweza fanya mi kutangaza habari za mwanamke ulisex nae au ulinae kwenye mahusiano hata kama unadhani ni wakupita tu au kukuondolea hisia na kuachana nae. Jamaa alikua anatuhadithia mambo wanavyofanya kwenye 6*6, mengine si mazuri. Yeye alidhani ni chapa ilale...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Pesa inayofaa kuacha kwa matumizi ya familia yenye watoto wawili wasiozidi miaka 5

    Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo: Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la dini ni waumini wake kujikita kwenye mambo mepesi na kuacha mazito yanayogusa binadamu wenzao

    Ukifuatilia waumini wa dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu utagundua huwa wanajikita au wanajielekeza katika mambo mepesi zaidi huku wakiwa hawatilii mkazo yale mazito ambayo yangeboresha maisha ya watu wanaowazunguka. Mfano katika dini ya Ukristo kuna kitu kinaitwa Golden rule/ sheria ya...
  6. JamiiForums Tanzania WhatsApp kuacha kufanya kazi simu za zamani Jan 1

    Meta wameamua kuacha kussuport simu zenye Android KitKat (4.4) kwenda chini kuanzia Jan 1 2025. Baadhi ya simu maarufu ambazo zitaacha kufanya kazi ni Samsung: Galaxy S3, Galaxy Note 2, Galaxy Ace 3, Galaxy S4 Mini Motorola: Moto G (1st Gen), Razr HD, Moto E 2014 HTC: One X, One X+, Desire 500...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school

    Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school, sasa kabla mwaka wa masomo haujaanza aliumia mgongo na akatakiwa avae plaster cast(piopi zile wanazovaa waliovunjika), akafungwa plaster cast iliyozunguka sehemu ya juu ya mwili wake...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi za Kiislamu Zinazotoa Hukumu ya Kifo kwa Kuacha Uislamu

    Katika baadhi ya nchi za Kiislamu, sheria za kidini (Sharia) zinaweza kumhukumu mtu anayekataa au kuacha imani ya Uislamu kwa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na hukumu ya kifo. Hii ni kutokana na tafsiri za sheria za Kiislamu kuhusu “kufuru” au “apostasy” (kuasi dini). Ingawa si nchi zote za...
  9. JamiiForums Tanzania Kongole Chadema! Kiongozi ni yule anayejua njia, anaonyesha njia, kutengeneza njia pale hakuna njia!

    Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu. Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mbinu ya kijasusi - kutengeneza chuki dhidi ya Serikali ili kuacha ombwe la kiuongozi!

    Tunaposheherekea miaka 63 ya Uhuru ni vyema kama Taifa kutafakari katika maeneo kadhaa ambayo ni muhimu. 1-Tanganyika ilipata uhuru bila kumwaga damu yaani vita. 2-Kupitia Waasisi wetu hususani Mwalimu Nyerere tuliona njia bora ni kudai Uhuru wetu kwa njia ya kidiplomasia. 3-Hata baada ya kupata...
  11. JamiiForums Tanzania Geita: Wazee wa mkoa wawataka vijana kuchangamka na kuacha kuilaumu serikali

    Ikiwa leo Tanzania Bara inaadhimisha miaka 63 ya Uhuru wazee waliozaliwa kabla ya uhuru mkoani Geita wamewataka vijana kuacha kuilalamikia serikali kwamba haileti maendeleo kwenye jamii zao Badala yake waiunge mkono izidi kuleta maendeleo kwani mpaka sasa Tanzania imepiga hatua kubwa ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  13. JamiiForums Tanzania TAMISEMI ili la kuacha Halmashauri ziwapangie Ajira Mpya vituo vya kazi, limezalisha Rushwa ,hususan Rushwa ya Ngono !!

    Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia. Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?. Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa anipangie Kituo kilicho Maeneo ya Mjini. Mdogo wangu anaenda mbali anadai, Kuna Rafiki yake katembea na...
  14. G

    JamiiForums Tanzania CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  15. B

    JamiiForums Tanzania UTATA: Kazi ya kampuni mkataba miaka miwili 50 milioni versus laki 7 serikalini mkataba wa kudumu

    Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu Najiamini naweza kufanya biashara. Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini. 👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa...
  16. JamiiForums Tanzania Dawa ya kuacha punyeto hii hapa

    Dawa ya kuacha punyeto hii hapa Nenda kwenye duka za asili nunua unga wa kibiriti upelele changanya na mafuta ya mizeituni, nunua chumvi ya mawe walau nusu. Weka chumvi ya mawe kwenye maji usiku jitahidi usiogee bafuni, jitamwagie hayo maji yaenee mwilini pote...ukimaliza jifute Na taulo safi...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo la laini kuacha kusoma nikiwa naperuzi intaneti au nafanya matumizi mengine ya simu

    Habari wana JF, Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo. Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza gem afu ghafla tu laini inaacha kusoma naambiwa no simcard na laini imo afu kusoma tena mpaka mda...
  18. JamiiForums Tanzania Laini kuacha kusoma ghafula tu nikiwa katikati ya kuperuzi intaneti au hata matumizi mengine

    Habari wana JF, Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo. Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza gem afu ghafla tu laini inaacha kusoma naambiwa no simcard na laini imo afu kusoma tena mpaka mda...
  19. JamiiForums Tanzania Resilience ya 4R za Samia Put 2Test: Kuacha Waandamane, She Has Everything 2Gain & Nothing 2Lose, Kuwazuia, She has Everything 2Lose, Nothing 2Gain!

    Wanabodi, Asubuhi hii nimeguswa na bandiko la mwana jf huyu, Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani Naunga mkono hoja, Hata mimi, kwanza nimeyaunga mkono haya maandamano Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kuacha watu wengi kufuatilia Siasa na Uongozi wa Nchi! Wazindike kwa burudani kama Mipira n.k

    Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti. Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri! Kenya kwenye burudani kama mpira na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…