Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

mjizu123

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
349
368
Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puli au punyeto sounds manly) siyo kwa wanaume tu bali hata wanawake tunafanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable” kulizungumzia au kukili kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia. Wakati mwingine mtu unashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mapaka upige moja ndio nguvu zinakuja, hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.

Kujichua au kujichezea ni njia pekee ya kujifunza kufika kileleni, kuujua na kuuelewa mwili wako na kujua utamu wa ngono ukoje(incase hujui utamu huo ukoje). Kwa kujichua utajua jinsi kutoa na kupokea raha ya kufanya mapenzi na mpenzi wako, utasaidia ngozi yako kuwa nzuri na laini (mambo ya Urembo hayo) na vilevile utajua jinsi ya kuzuia (kuchelewa kwa makusudi kufikia mshindo) au kumsubiri mwenzio ili mfike pamoja, hakuna raha ya kufanya mapenzi kama kufika kwa wakati mmoja.

Faida za kujichua/chezea:-

1) Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)
2) Kuongezeka kwa hamu ya kufanyamapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
3) Kujua “vipele vyako viliko”.
4) Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
5) Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.

*Kama kuna faida nyingine unaijua basi si mbaya kama utachangia hapa.

Madhara ya kujichua/chezea:-

1) Uchovu wakati wote / Fatigue. Feeling tired all the time.
2) Kujichua kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos ni kusamburuka kwa nyama za nyeti zako (inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea “dubwana” hizo, kifo kutokana na “shock” ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha “dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo” kuingia.
3) Maumivu ya nyonga / Lower back pain.
4) Kusinyaa kwa Nywele / Nywele kunyonyoka / Thinning hair / Hair Loss
5) Maumivu ya kiuno

MIMI ZAIDI YA MIAKA 15 NAJICHUA, WEWE JE?
 
Back
Top Bottom