Nimekuja direct kwenu wana jf kuna story yangu nataka kushare nanyi, iko hivi;
Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza nilipata mpenzi tumwite (Grace) siyo jina halisi. Grace alikuwa mwaka wa pili, katika uhusiano wetu nikiwa mwaka wa pili, nikagundua kaanza mahusiano na mtu mwingine tumwite Juma...