kosa la jinai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Tundu Lissu amjibu Biswalo Mganga kuhusu madai yake kuwa ni kosa la jinai kuongeza maneno kwenye Wimbo wa Taifa

    Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote. Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo? Chanzo...
  2. Katiba Mpya: Rais akifanya kosa la jinai ofisini ashitakiwe, Trump ni mfano mzuri

    Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka za serikali kijinai) , Trump inawezekan akashitakiwa mahakamani. Nchi yetu Tanzania vivyo. Katika...
  3. UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai

    Je, umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini? Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi. UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au kimwili. UZEMBE ni hali ya mtu...
  4. UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai

    UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai. Je umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini? Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili kufahamu zaidi. UVIVU ni hali ya mtu kutotaka kufanya kazi kiakili au...
  5. Uchawi ni kosa la jinai, Mahakama ikikukuta na hatia unafungwa jela

    Kwa mujibu wa Sheria, mtu yeyote kwa kauli au matendo yake akitambulika kuwa ni mchawi au akitengeneza, kutumia au akimiliki zana za kichawi au akimpagtia mtu mwingine zana za uchawi au akimshauri mtu kutumia uchawi au zana za kichawi au akitishia kuloga au kutumia uchawi au zana za kichawi...
  6. Kuifanya bangi kuwa kosa la jinai naona kama siyo move nzuri

    Serikali imeamua kubana zaidi matumizi ya bangi. Nchi nyingi zimegundua vita dhidi ya dawa za kulevya ni futile hivyo zimeamua kudecriminalize matumizi ya madawa ya kulevya. Kutumia madawa kwa baadhi ya nchi siyo kosa la kufungwa. Nasikia nchi kama Ureno zimefanya hivyo, na matokeo yamekuwa...
  7. Zijue nchi ambazo kubusiana hadharani ni kosa la jinai

    Wakati kwenye maeneo mengine kubusu au kukumbatiana kati ya mwanamke na mwanaume ni jambo la kawaida, kwenye maeneo mengine ni kosa kubwa. Baadhi ya nchi za kimagharibi zimewapa raia wake uhuru kiasi cha kuweza hata kufanya matendo ya faragha hadharani. Lakini baadi ya nchi, hasa zile zenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…