KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.
Nina tamani nifungue mashitaka dhidi ya Mungu anae POKEA maombi ya mtu kama huyu Alie mfunga Tundu Lissu kwa kesi ya uhaini Ili Hali sio muhaini.
Je nisubilie nife, nizikwe nikakutane nae uko Mbinguni? Najiuliza hivi kweli huyu nae alifunga Nini? Anamwomba Mungu ampe uhai? Je ampe mume...
Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa sehemu, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi RIA Novosti.
Mamlaka ya mji mkuu Baku...
Kwanza nianze kwakusema hakuna anayefurahia mauaji yanayotokea kwa raia wasio na hatia pande zote mbili Iran na Israel,kwakuwa wao ni victim tu au wahanga tu
Twende kazi.....
Mzee wa hovyo Trump alidhani kwamba kutokana na uzoefu ambao unafahamika siku zote,kwamba ukimuondoa kiongozi...
Vihusishi 'na' na 'kwa' vinakosewa sana katika matumizi kiasi cha kuleta mkanganyiko katika mawasiliano ya kila siku.
Kwa mfano, mtu anasema "Nilisafiri na gari", badala ya "Nilisafiri kwa gari". Ukisema nisafiri na gari unamaanisha wewe unatembea mwenyewe na gari linatembea mwenyewe, Wala...
Kuombaomba kumeridhiwa rasmi kuwa ni kosa la jinai katika United Arab Emirates, huku mamlaka zikionya kuwa atakayepatikana na hatia anaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi mitatu jela na faini ya dirham 5,000 (AED 5,000).
Tangazo hilo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kudhibiti mwenendo...
Kume kuwa na kauli mbali mbali zanazotolewa na wana siasa hususan wa chichiemu ambazo zina chochea uvunjifu wa Amani na ni kinyume cha sheria, lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi. Yao, lakini ikiwa kauli inayo karibia na hiyo na haipo kinyume cha sheria, lakini nguvu za dola, magazeti...
Hiii KESI ya banjo, imenikumbusha KESI ya zenji, yule sheikh kakaaa NDANI wakaja wageni, wakapiga NAE stori, BADAE wakasepa NAE KAWAIDA TU BILA SHIDA, mfanya KAZI WA NDANI hakuona dalili yoyote mbaya Yani friendly,
Mara kapotea hakurudi, BADAE kaokotwa daraja la bububuu kauliwa, upelelezi...
Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa?
Kuna upumbavu mwingi sana kwenye jeshi la polisi lazima wahusika wa upumbavu huu watawajibishwa. kijana ameshinikizwa na polisi kuja kuongea vitu asivyo...
Hata DC naye ukimkosoa, Anakutumia Watu wasojulikana, Wanakuteka, Wanakuua, unabaki Stori, Alafu DC kesho yake anatumbuliwa Tayari keshakuua
Haya ni Matokeo ya kua na Rais Haramu, alojiweka hapo juu kwa Uharamu, Utekaji, mauaji na Kila aina ya baya.
Sasa huyo ni DC, anamteka mtu...
Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa.
Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru...
Mwabukusi sijakuelewa. Unataka viongozi wasiongelee yaliyotokea Oktoba 29?
Au ninyi mumeelewa vipi?
Kutoneshana kunatoka wapi?
Watu wameuliwa majumbani kwao sababu tu watu wasalie madarakani.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa chama hicho aliyeko gerezani kwa tuhuma za uhaini, Tundu Lissu.
Kwa mujibu wa...
Naamini Jamii Forums ni kisima cha Maarifa ni kwamba huwa kuna Mkataba kati ya Airtel na Mteja hizi Agreement mara nyingi huwa ni ndefu na zimeandikwa kwa maandishi madogo lakini pia zinatumia Lugha za Kisheria ambapo watu wengi wanapuzia kuzisoma na ukikaa ukisoma kwa makini hizi agreement huwa...
Wanabodi,
Hii ni moja ya mada zangu za the voices from within ambazo ni abstract, za kufikirika tuu, sio lazima zitokee au vitokee!.
Mada ya leo ni kuhusu mambo ya karma ya kila mtu kulipwa kwa matendo yake.
Kuna hii hoja ya kufanya kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa!, kama tulifanya kosa...
Niaje Wakuu? Natumai mko poa, kwa mwenye changamoto kwakuwa bado una pumua mambo yatakuwa shkopa.
Hebu leo tuzungumzie uzoefu wa kimaisha, tunajua maisha hayakosi changamoto, kupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwa mwanadamu.
Je ma brother zetu wa 35+ ni kosa gani uli wahi kulifanya, ambalo...
Kuwa advocate wa haki na kuwa na soft tone with the mass kua mkali na mapolisi na utendaji wao wa kazi usiozingatia PGO imemponza. Alionesha kuwa na mrengo wa kulia wa sympathy with people. Hiyo haitakiwi. Uwe katili!
Chawene ni kuwa na msimamo wa kuwadhibiti polisi na ukatili! Soft tone ya...
Wakuu,
Heri ya mwaka mpya. Kwa ufupi nime experience jambo hili kwa familia chache lakini nimetafiti hata kwenye imani hizi kubwa na za asili. Usifanye kosa la kuji disconnect na ardhi ya kwenu kwa baba na babu zako.
Wapo watu bila sababu za msingi wameuza hadi ardhi za urithi na kutoweka...
Kusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia.
Nitatolea mfano wa airport ili muelewe.
Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama tren ya kukufisha sehemu,barabara maalumu za juu ambazo zitakufikisha eneo ambalo gumu kufikika...
Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani.
Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa na kufanyiwa operation na Dr ambaye amefeli mitihani yote na kutegemea utakuwa salama! Tukubali tu...
Linapokuja suala la kuoa au ku-settle na mwanamke, preferences za wanaume huwa zinawachukiza/zinawakasilisha wanawake. Jamii ya wanawake wa kisasa wametenengeza narrative preferences za mwanaume zionekane ni makosa, na wapo masimp na wanaume wasiojua thamani zao wamechotwa akili.
Mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.