korogwe

Korogwe is a town in Tanzania, with a population of 56,282 in 2012. It is the main centre of Korogwe District, which is within the Tanga Region.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nampa maua yake DTO wa Korogwe ila Kampuni ya BM ijitafakari kuhusu huduma zao

    Basi tulilolitumia ambalo lilikwama njiani tukasaidiwa na RTO (Regional Traffic Officers) Nikiwa mmoja wa Wasafiri katika Basi la BM, tukitoka Dar kuelekea Arusha, ambapo liliondoka Dara majira ya Saa Nane Mchana jana Mei 19, 2024, tulikutana na changamoto ya kiufundi njiani. Picha linaanza...
  2. JamiiForums Tanzania Tanga: Hospitali ya Mji Korogwe (Magunga) yabainika kuhifadhi Damu kwenye Mafriji ya Nyumbani

    Mwezi mmoja baada ya kubainika jokofu la matumizi ya nyumbani kuhifadhia damu katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, hilo limebainika tena mkoani Tanga. Kwa mujibu wa taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali (Tamisemi), Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Ustawi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujua baadhi ya vitu kuhusu wilaya ya Korogwe Tanga

    Habari wakuu? Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo. 1. Hali ya hewa 2. Mazao yanayolimwa sana. 3. Hali ya kibiashara na uchumi hapo mjini? 4. Upatikanaji wa vyumba vya kupanga na mashamba. Lakini vipi pia...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Barabara inayoelekea Hospitali ya Magunga Korogwe ina shimo ambalo linazidi kuongezeka kila leo, mamlaka shughulikieni hili

    Moja kwa moja kwenye mada. Viongozi wa Mji wa Korogwe hamuoni ile barabara ya kuelekea Hospitali ya Magunga? Barabara mpya ambayo inaonganisha mtaa wa Mountain view na Kanisa la Roma imeanza kuleta shida. Shimo ambalo limeanza kuonekana litaweza kusababisha ajali usiku na pia uharibifu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

    Basi la Kampuni ya Sai Baba linalofanya Safari kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Arusha limeteketezwa kwa Moto mara baada ya kusababisha Ajali kwa kumgonga Dereva wa Bodaboda na kudaiwa kusababisha kifo kwa dereva huyo wa Bodaboda katika eneo la Msambiazi wilayani Korogwe mkoani Tanga leo...
  6. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo kituo cha Mwendokasi Kimara Korogwe, wengine waghairi na kutoka nje ya kituo

    Mvua zinazoendelea kunyesha zimeendelea kudhihirisha kuwa usafiri wa Mwendokasi bado hauwezi kutatua changamoto za usafiri jijini Dar! Leo asubuhi tangu saa moja kasoro mpaka sasa saa 3 mamia ya raia wanaendelea kusota kituoni huku wengine wakiamua kughairi na kutoka nje ya kituo kutafuta...
  7. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galax A23

    Habari nauza simu aina tajwa hapo juu. ipo kwa good condition , clean and kila accessory ipo pamoja including charge , air phone and mawasiliano ni. 0756294771....
  8. JamiiForums Tanzania Hali ya barabara ya Dumila - Handeni - Korogwe, Je ni barabara ya lami au vumbi?

    Habari wakuu, Mwezi wa kumi na moja nina safari ya kwenda Lushoto kwa kutumia usafiri binafsi. Kiufupi mimi ni mgeni katika mkoa wa Tanga na sijui hali ya barabara mkoani humo. Ninaishi kwenye moja ya mikoa ya kanda ya magharibi mwa Tanzania. Barabara ninayotaka kutumia ni ile ya kutoka...
  9. JamiiForums Tanzania Kiwanja robo Heka kinauzwa korogwe mjini

    Ni hatua chache kutoka magunga hospitali Kuna umeme na maji, kipo flat Bei Haipungui Tsh 2,500,000 tu Nipigie 0746 266 267
  10. J

    JamiiForums Tanzania DC Jokate awataka wafanyabiashara wanaoficha mafuta kuacha mara moja

    DC JOKATE AWATAKA WAFANYABIASHARA WANAOFICHA MAFUTA KUACHA MARA MOJA - KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Jokate Mwegelo amewataka Wafanyabiashara wanaoficha mafuta Wilayani Korogwe wakisubiria mabadiliko ya bei ili wauze kwa bei kubwa kuacha mara moja kwakuwa wanahujumu uchumi na...
  11. JamiiForums Tanzania DC wa Korogwe Jokate punguza Sifa na Kiherehere zitakuja Kukuponza

    Umeona wapi duniani kote kunaandaliwa Mbio za Mita ndefu na fupi za Wamama Wajawazito kama ambayo umeyaandaa Wewe na nashangaa Serikali ( hasa Wizara husika ya Afya ) kulikalia hili Kimya. Leo umekuja na huu Upuuzi wako juu ya Wamama Wajawazito ila nionavyo kuna Siku utakuja na Mbio za Mita...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Jokate ameandaa mbio za Wajawazito Korogwe

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo ameandaa mbio za Mama Wajawazito wilayani Korogwe zilizopewa jina “#MAMATHON’. Mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika Jumapili ya Mei 28 mwaka huu lengo ni kutoa elimu na kuhamasisha wajawazito kufuatilia afya na lishe bora kwa mama na mtoto. Wanawake...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar to Korogwe

    Habari wakuu, Nina dharura nahitajika Korogwe, upi ni usafiri mzuri Dar to Korogwe iwe asubuhi au mchana usafiri mzuri tu wa basi? Asanteni
  14. JamiiForums Tanzania DC Mwegelo akabidhi Baiskeli 200 kwa Watoto wa Kike shule 10 Korogwe

    MHE. JOKATE MWEGELO AKABIDHI BAISKELI 200 KWA WATOTO WA KIKE SHULE 10 KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate Mwegelo amekabidhi baiskeli 200 kwa Wanafunzi wa kike kwa Shule 10 za Sekondari Wilayani humo ambapo amesema zitawasaidia Vijana wa kike kufika Shuleni kwa wakati na kuondokana na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Aweso afanya mabadiliko Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Korogwe, asisitiza utatuzi wa changamoto ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo kwa Ziara ya kikazi akiwa na lengo la kutatua changamoto mbalimbali na kufuatilia hali ya Utekelezaji wa Miradi ya Maji na hali ya utoaji wa huduma ya Maji eneo...
  16. JamiiForums Tanzania Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

    Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa, kufuatia ajali iliyotokea maeneo ya Mbezi Luguluni, ikihusisha Basi la kampuni ya Burudani, lililokuwa likitokeaa mkoani Tanga kuelekea Dar es Salaam, ambapo basi hilo linadaiwa kuwa lilikuwa kwenye mwendokasi, hivyo wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Juhudi za Alfred Kimea Zimeleta Mahindi Bora na ya Bei Nafuu kwa Wakazi wa Korogwe Mjini

    JUHUDI ZA DKT. ALFRED KIMEA ZIMELETA MAHINDI BORA NA YA BEI RAFIKI KWA WAKAZI WA KOROGWE MJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, PhD wakati wa ziara yake jimboni alielezwa na wananchi juu ya changamoto ya ukosefu wa vyakula muhimu ikiwemo uhaba wa Mahindi na bei kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Timotheo Mnzava Ajikita Kutatua Kero za Wananchi Korogwe Vijijini

    MBUNGE MHE. TIMOTHEO MNZAVA AJIKITA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WA KOROGWE VIJIJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Timotheo Mnzava ameendelea na ziara yake ya kimkakati katika jimbo lake huku akijikita katika kuzungumza na...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Mhe. Dkt. Alfred Kimea Aahidi Kuwawezesha Vijana Wajasiliamali Korogwe Mjini

    MBUNGE MHE. DKT. ALFRED KIMEA AAHIDI KUWAWEZESHA VIJANA WAJASILIMALI KOROGWE MJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, katika ziara yake aliyofanya jimboni amekutana na kufanya mazungumzo na vijana wajasiliamali wanaozalisha Kokoto, katika Kata ya Mtonga Mtaa wa Msambiazi...
  20. JamiiForums Tanzania Jokote Mwegelo: Msipandishe bei ya Vyakula

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Jokate Mwegelo amewataka Wafanyabiashara Wilayani humo kutopandisha bei ya vyakula kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. DC Jokate ameyasema hayo tarehe 23 Machi, 2023 akiwa Ofisini kwake baada ya kumaliza kikao na Uongozi wa Chemba ya Biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…