DC wa Korogwe Jokate punguza Sifa na Kiherehere zitakuja Kukuponza

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Umeona wapi duniani kote kunaandaliwa Mbio za Mita ndefu na fupi za Wamama Wajawazito kama ambayo umeyaandaa Wewe na nashangaa Serikali ( hasa Wizara husika ya Afya ) kulikalia hili Kimya.

Leo umekuja na huu Upuuzi wako juu ya Wamama Wajawazito ila nionavyo kuna Siku utakuja na Mbio za Mita fupi na ndefu za Wanawake walioko Hedhini ( Period ) na waliovaa Sodo ( Pedi )

Mbona hukuja na huu Upuuzi wako Tukuka Kipindi kile nawe una Kibendi ( Mimba ) ili uanze kwa kutuonyeshea Mfano kwa Kukimbia ili uzalie Mtoto katikati ya hizo Mbio na uone madhara yake Kiafya?

Acheni kulazimisha tuwadharau Ok?
 
Lakini huyu ndiye DC anaye shine kila wilaya anayopangiwa. Naona unamtolea povu jingi na kali. Huenda hizi mbio zitaingiza fedha nyingi kuweza kutimiza lengo lake. Mbona kuna wanawake ambao wana nguvu nyingi kufanya kazi ngumu mpaka tarehe ya kujifungua, kuna wengine hukimbia huku wakiwa na mimba zao kiasi cha kuwaonea huruma wasisumbue kiumbe kilichopo tumboni. Anyway, huyu ndiye dc mbunifu kuliko ma dc wote
 
20230523_112627.jpg
 
Acheni makasiriko wandugu.
Ya NAPPE NNAUYE kukanyaga migongo ya wakosa akili hujayaona.

Wamlete kwetu Tabora Mjini tunahitaji huyo DC.

Hayo mashindano ni hiali na sio lazima.Halafu hiyo pia ni mazoezi kea kina mama.

Usimruhusu mkeo uone Kama DC atakukamata.

Ana akili Sana huyo Dada.
Punguza hasira,yasiyokuhusu angalia pembeni.

Wewe ndo mtu mbaya,mpaka maswala ya Period inakujaje.

UMKOME MBUZI WEWE,SIO SAIZI YAKO.
 
Kidogo zitakuja mbio za wenye makalio A.K.A WOWOWO MARATHON we tusubiri tu, theme: ''Punguza maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa kusema naye.''
Sponsor: Dume condom, etc
Hamasa: Clouds, ZaiiD, Mashalove na wenzake plus kiongozi mmoja atakayelaumiwa JF 😂😂

Iyo siku tutaangalia wowowo mpaka tukome 😂😂😂
Hapa nyumbani raha sana.
 
Umeona wapi duniani kote kunaandaliwa Mbio za Mita ndefu na fupi za Wamama Wajawazito kama ambayo umeyaandaa Wewe na nashangaa Serikali ( hasa Wizara husika ya Afya ) kulikalia hili Kimya.

Leo umekuja na huu Upuuzi wako juu ya Wamama Wajawazito ila nionavyo kuna Siku utakuja na Mbio za Mita fupi na ndefu za Wanawake walioko Hedhini ( Period ) na waliovaa Sodo ( Pedi )

Mbona hukuja na huu Upuuzi wako Tukuka Kipindi kile nawe una Kibendi ( Mimba ) ili uanze kwa kutuonyeshea Mfano kwa Kukimbia ili uzalie Mtoto katikati ya hizo Mbio na uone madhara yake Kiafya?

Acheni kulazimisha tuwadharau Ok?
Popoma huyo huwezani naye. Licha ya kupata A ya English O & A level pia ni Tiss na ni wale wachache waliojua kifo cha marehemu Jiwe kabla hakijatangazwa.

Wewe vizia tu ubwabwa na kukusanya umbea hapo msibani kwa mkono.

Mbwiga ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom