kompyuta

  1. youngkato

    Mwongozo Kamili wa CapCut kwa Kompyuta na Simu (Kwa Wanaoanza Kabisa)

    CapCut ni nini? CapCut ni programu ya kuhariri video (video editor) inayotumiwa sana duniani kutengeneza video za: TikTok YouTube Instagram Reels Matangazo ya biashara Video za elimu Ni maarufu kwa sababu: Ni rahisi kutumia hata bila uzoefu Ina effects nyingi tayari (ready-made) Unaweza...
  2. M

    Je, ni sahihi vijana kutumia simu na kompyuta kujisomea kuliko kutumia vitabu?

    Vijana wa siku hizi hawasomi vitabu kabisa. Unakuta kijana iwe chuoni au sekondari anatumia simu kutafuta material na anaona sawa. Vijana wengi wananiambia wanajisomea nyumbani kwa kutumia simu. Wanagugo ili kupata material wanayotaka. Je, simu na kompyuta zinadumaza akili?
  3. President of China

    PostGE2025 Mavunde agawa Kompyuta Mpakato 110 jimboni kwake

    Mbunge wa Jimbo la Mtumba mkoani Dodoma Mhe Anthony Mavunde leo ametimiza ahadi yake ya kugawa Photocopy Machines 20 kila kata,Kompyuta Mpakato (𝙇𝙖𝙥𝙩𝙤𝙥𝙨) 110 kwa Maafisa Elimu Kata,Walimu wakuu na Wakuu wa Shule zote za Msingi na Sekondari za Jimbo la Mtumba. Mhe Mavunde amesema dhamira kuu ya...
  4. I

    Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo)

    Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo) Kama wewe ni mfanyabiashara mdogo au mwanafunzi, unatumia kompyuta kila siku lakini unakutana na changamoto ndogo ndogo ambazo hujui pa kuanzia. Na mbaya zaidi, huwezi kuuliza kwa...
  5. I

    Usipuuze Sauti Hizi 6 Kutoka Kwenye Kompyuta Yako — Ni Dalili Kubwa ya Hatari

    Kompyuta yako si kifaa kinachofanya kazi kimya kabisa. Ndani yake kuna fans, diski zinazozunguka, na sehemu za kielektroniki ambazo kwa kawaida hutoa sauti ndogo. Lakini pale sauti zinapobadilika ghafla kuwa kubwa zaidi, za ajabu, au zisizo za kawaida, hapo ndipo tatizo linaanza. Leo tutaeleza...
  6. McLaren

    GE2025 Luhende: Tutaweka kompyuta kila shule ili watoto wetu wajifunze

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Luhende, ameahidi kuhakikisha anaboresha sekta muhimu za maendeleo ikiwemo barabara, afya, elimu, kilimo na upatikanaji wa umeme endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wa jimbo hilo katika uchaguzi...
  7. I

    Jinsi Nilivyogeuza Kompyuta Yangu Kuwa Ngome ya Faragha (Privacy Fortress)

    Jinsi Nilivyogeuza Kompyuta Yangu Kuwa Ngome ya Faragha (Privacy Fortress) Kama wewe ni kama mimi, unaitumia kompyuta kila siku. Lakini kila mara nilikua nahisi kama kuna "jicho la siri" linaangalia nyuma yangu hata kama hakuna mtu Kwanguu au Ofisini Ukweli ni kwamba ? Hiyo si paranoia. Ni...
  8. Tech Max

    Unahitaji Programu ya kompyuta ya kutunza kumbukumbu

    Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu, hakuna malipo baada ya hapo. Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  9. Tech Max

    Programu ya kompyuta ya kutunza kumbukumbu za wateja, bidhaa na n.k.

    Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu, hakuna malipo baada ya hapo. Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  10. Just Pray

    Mwanafunzi wa Makerere aliyetekwa nyara akisubiri hukumu dhidi ya matumizi mabaya ya kompyuta

    Mtayarishaji wa maudhui wa TikTok na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere, Elson Tumwine, anasubiri kusomewa hukumu baada ya kukiri kosa la kuhariri taarifa inayodaiwa kuwa ya Spika wa Bunge, Anita Among, kuhusu msamaha wa hivi karibuni wa Rais Yoweri Museveni kwa Buganda. Upande wa mashtaka...
  11. Tech Max

    Unahitaji huduma za Kompyuta kama programu, windows 10,11 na n.k

    Kama unahitaji huduma za Kompyuta kama windows 10,11, programu na n.k Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  12. Tech Max

    Kama unahitaji huduma za Kompyuta programu na n.k

    Kama unahitaji huduma za Kompyuta programu na n.k (Microsoft Office Pro 2019) Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  13. I

    Kompyuta ya AI ni Nini, na Inatofautianaje na Kompyuta ya Kawaida?

    Kompyuta ya AI ni Nini, na Inatofautianaje na Kompyuta ya Kawaida? Na ITS MALEKOGJ Katika zama hizi za maendeleo ya kasi ya teknolojia, kila siku tunasikia maneno mapya. Mojawapo ni “AI PC” — au kwa tafsiri rahisi, Kompyuta ya Akili Bandia. ➤Inaonekana kama uvumbuzi mkubwa wa kisasa. Lakini...
  14. S

    Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver

    Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver, Bei 30,000 Tsh. Programu ya data saver itakusaidia kuepusha Windows OS kujiupdati na kuzuia background usage la bando lako. Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  15. S

    Changamoto gani ya software unayo kwenye kompyuta Yako?

    Changamoto gani ya software unayo kwenye kompyuta Yako? Nikusaidie Napatikana mkoa wa dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  16. S

    Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe?

    Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe (Windows OS peke yake) Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145 Kwa mahitaji ya kuweka Windows 10 OS Genuine gharama yake ni 20,000 Tsh
  17. Mkalukungone Mwamba

    Waraka wa Idd Adh-Haa: Rais awawajibishe viongozi wa vyombo vya usalama kwa kushindwa kuzuia matukio ya kutekwa na kuuliwa raia

    Tunato wito kwa Bunge lijadili maombi ya kuundwa Tume ya Bunge ya kuchunguza utekaji na mauaji ya mamia ya raia yaliyotolewa na taasisi za kijamii, viongozi na yale yaliyo wasilishwa rasmi na wabunge bungeni. Rais awawajibishe viongozi wa vyombo vya usalama kwa kushindwa kuzuia matukio ya...
  18. jamaikatz

    Jinsi ya kufungua simu uliyosahau password

    SOMO LA LEO ♌️: JINSI YA KUFUNGUA SIMU ULIYOSAHAU PASSWORD KWA KUTUMIA KOMPYUTA 💻📱 Kama umesahau password yako (Pattern, PIN, Fingerprint) usikimbilie Kariakoo unaweza kuweka sawa mwenyewe kwa kutumia kompyuta 🧰 VIFAA VINAVYOHITAJIKA 1📍Kompyuta yenye internet 2📍USB cable 3📍Simu iliyo-lock...
  19. S

    Unahitaji kupunguza matumizi ya kifurushi Cha Intaneti kwenye PC kompyuta Yako?

    Unahitaji kupunguza matumizi ya kifurushi Cha Intaneti kwenye PC kompyuta Yako? Jipatie Data saver programu. Utaokoa matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti Eneo: Dar es salaam, Mbezi Gharama: 10,000 Tshs Mawasiliano: 0756704145
  20. S

    Naweka windows OS 10 Genuine kwenye kompyuta

    Naweka windows OS 10 Genuine kwenye kompyuta Eneo la kufanyia kazi: Mlimani City
Back
Top Bottom