kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Hoja kuwa Yanga hawawezi mechi za kimataifa imekufa kifo che mende, wamebaki na kauli ya Yanga kucheza kombe la loser!

    Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu. Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Shirikisho, hoja yao kubwa imekuwa hilo ni kombe la loser kanakwamba hiyo sio...
  2. S

    Ni kujidanganya kwa mashabiki wa Yanga na Simba kuwaza kuchukua kombe la Club Bingwa badala ya kombe la Shirikisho

    Sisemi mengi: Kwa uwekezaji tunaofanya kwa vilabu vyetu vya Yanga na Simba kulinganisha na miamba ya soka Afrika kwa upande wa vilabu, ni kujidanganga kuwaza kuchukua kombe la club bingwa barani Afrika badala ya kuwaza kwanza kuchukua kombe la shirikisho. Hata kuvuka hatua ya robo fainali kwa...
  3. TFF wametumia vigezo gani kupanga timu mwenyeji katika kombe la Azam federation Cup robo fainali

    Habarini wana michezo. Moja KWA Moja naomba kupata ufafanuzi juu ya upangwaji wa Timu mwenyeji katika mashindano ya Azam Confederation cup hatua ya robo fainali na hatua za nyuma yake kama hatua ya 16 na 32 bora. Maana nimefatilia naona kama hizi timu kubwa zinapewa kipaumbele kuchezea viwanja...
  4. Utashangaa baada ya Afrika sasa Kuingiza Timu 10 Kombe la Dunia 2026 kwa Kulaanika Kwetu bado tutatoka Kapa tu

    Nawalaumu mno FIFA kwa Kuamua hivi kwani kwa Waafrika tunavyojijua na tunavyojuana pamoja na Kuingiza Timu (Nchi) Kumi (10) kutoka Bara la Afrika bado tutatoka tu Kapa / Peupe. Kwangu Mimi GENTAMYCINE naona ni Kheri (Bora) hawa FIFA wangeongeza idadi ya Timu / Nchi kwa Mabara yaliyo Serious...
  5. Morocco kuomba kuandaa Kombe la Dunia 2030

    Morocco ikifanikiwa katika mchakato huo wa Kombe la Dunia 2030 itakuwa Nchi ya pili kwa Afrika kuandaa michuano hiyo baada ya Afrika Kusini Mwaka 2010. Hiyo ni mara ya 6 kwa Morocco kuomba kuwa mwenyeji wa michuano hiyo lakini safari hii wanatarajiwa kuomba waandae kwa ushirikiano na Hispania...
  6. Tanganyika stars baada ya kuchukua kombe la challenge

    Timu ya Taifa baada ya kuchukua kombe la Challenge, Syllersaid Salimin Kahema Kangero MZIRAY aka Super Coach akiwa Kocha. ilikuwa 1994 sina hakika na mwaka. Rest in Peace SillaMziray, toto la Kipare lilisakata Kabumbu si hawa akina Fei mnawapa airtime tu. PICHANI Sylversaid Marehemu REGINALD...
  7. Je, una utaratibu wa kupongeza rafiki zako? Messi amewazawadia timu ya Argentina iphone 14 za dhahabu kila mmoja kwa kutwaa World Cup 2022

    Messi amenunua simu 35 aina ya iPhone14 za dhahabu na kuwazawadia kikosi cha Timu yake ya Taifa ya Argentina kwa kutwaa Ubingwa wa FIFAWorldCup2022 Inaelezwa kuwa Nyota huyo wa PSG ametumia takriban Tsh. Milioni 409.5 kununua simu hizo, huku 1 ikikadiriwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 14...
  8. J

    Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

    Itaidhamini katika mashindano ya kombe la shirikisho ambayo klabu ya yanga inashiiriki Mkataba huo wenye thamani ya shilingi bilioni moja na millioni Mia tano utaisaidia yanga katika mashindano hayo Jezi za yanga za shirikisho zenye nembo ya haier zitauzwa sh 50,000
  9. Nakazia: Kombe hili mshindi atakuwa Simba, Yanga atapoteza mechi 2 na Simba atashinda zote zilizobaki

    Mechi 2 za mwisho atazocheza Yanga kule Mbeya dhidi ya Prisons na Mbeya city kuna moja ataangusha points zote. Siku ya Derby kuna maajabu yake, Believe that!!
  10. Usiku wa kisasi wa Arsenal na Hatua moja kuchukua kombe ligi kuu

    Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
  11. Chelsea leo wanaanza ligi baada ya Kombe la Dunia, Fulham atakufa nyingi

    Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia. Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea. Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3. Wale mashabiki wa timu nyingine...
  12. Tanzania iwe na ligi moja, Kombe la Mapinduzi ni mzigo kwa timu

    Tanzania tunatafuta vitu vya kusaidia kudumisha muungano wetu kila siku. Hakuna haja Wala faida ya muungano kwa Tanganyika na Zanzibar kuwa na ligi mbili tofauti. Hata kule Spain Barcelona ni timu ya visiwani lakini Iko kwenye ligi ya Spain. Mashindano ya mapinduzi cup Yana lengo la kudumisha...
  13. Yanga wanarudi lini na kombe la mapinduzi?

    Asanteni wana yanga Kwa Dua zenu mrudi na kombe lenu hio kesho, yanga Mbele Daima nyuma tuwaachie Singida BS.
  14. Walichokifanya Simba Sc kwenye Mechi ya Mlandege ni wazi wameamua kulipuuza Kombe la Mapinduzi na kuamua kujitoa kimkakati

    Habari wanajukwaa wa JF, Naamini mwaendelea vyema kabisa huko bongo. Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu ambao nimepumzika hapa na mchepuko wangu wa kizungu (maana mkewangu kaja huko Tanzania kusalimia wazee) nimeona nishee jambo kidogo kuhusu mambo ya...
  15. Kwaheri Pele: Kumbukumbu Yangu ya Kombe la Dunia 1966

    KWAHERI PELE: KUMBUKUMBU YANGU KOMBE LA DUNIA 1966 Kombe la Dunia mwaka wa 1966 nilikiuwa na miaka 14 kwa umri huu niliweza kutambua kuwa kulikuwa na mashindano makubwa Uingereza. Hivi ndivyo nilivyokuja kumjua Pele. Mwalimu Mkuu wa Kinondoni Primary School Mr. Reveta alikuwa akija darasani...
  16. Kwa mujibu wa kura za BBC, kombe la dunia 2022 ndio kombe lenye mvuto zaidi

  17. Je, CHRISTIANO RONALDO ananafasi ya kuchukua KOMBE LA DUNIA kupitia kwa mtoto wake CRISTIANO RONALDO JR?

    Baada ya kumalizika kwa Kombe la dunia nchini Quatar 2022, Baadhi ya mashabiki wa Christiano Ronaldo wamevunjika moyo sana nakuona kama ndoto za mchezaji huyo maarufu Duniani wa Ureno za kutwaa kombe la dunia zimeishia hapo kwani kwasasa anaumri wa miaka 37 hivyo itamuwiya vigumu kushiriki kombe...
  18. FIFA kuchunguza kitendo cha mpishi Salt Bae kushika Kombe la Dunia

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limefikia maamuzi hayo baada ya mpishi huyo maarufu wa nyama kuingia uwanjani baada ya mchezo wa fainali kujumuika na wachezaji wa Argentina kushangilia ushindi na kulishika kombe kwenye Uwanja wa Lusail, Desemba 18, 2022. Sheria za FIFA zinatamka kuwa...
  19. Picha ya Messi akibeba Kombe la Dunia 2022 yaweka rekodi kwenye Social Media zote

    Picha hiyo ya Lionel Messi aliyoposti kwenye ukurasa wake wa Instagram saa kadhaa baada ya timu yake ya Argentina kutwaa taji hilo, imeweka rekodi ya kuwa picha yenye ‘likes’ nyingi katika mitandao ya kijamii yote kwa jumla kuwahi kutokea. Picha hiyo ina likes milioni 67.5 imeivunja rekodi ya...
  20. Tulioangalia Kombe la Dunia mwaka 1986 nyumbani kwa Sheikh Yahya Magomeni tukutane hapa

    Huu uzi kuna watu watapita kama hawaoni maana wengi mwaka huo walikuwa viunoni mwa wazazi wao, wengine mlikuwa Sitimbi huko hamjui hata video ni mdudu gani. Mwaka 1986 kulikuwa na fainali za Kombe la Dunia nchini Mexico, Germany Magharibi anapigwa 3-2 na Argentina, Argentina anachukua ubingwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…