komando

Comandău (Hungarian: Komandó, Hungarian pronunciation: [ˈkommɒndoː]) is a commune in Covasna County, Transylvania, Romania. It is composed of a single village, Comandău.
It formed part of the Székely Land region of the historical Transylvania province.
It served as a filming location for season three of the comedy spy-thriller Killing Eve.'

View More On Wikipedia.org
  1. Titicomb

    CCM na wakata vichwa wanaotaka vita na kanisa Katoliki mmewasahau akina Komando Padre Dr. Henry Rimisho askari na majasusi wa kanisa?

    Kuna Padre Askari Komando, Architect, muhadhiri wa chuo kikuu alipata umaarufu sana kwenye vyombo vya habari miaka minne iliyopita. Anaitwa Dr. Henry Rimisho. Jamaa ukisikiliza wasifu wake wa elimu na mengineyo unaweza kuwaogopa sana kanisa Katoliki. Jamaa Askari wa jeshi na alikuwa vitani...
  2. Sigonella Island

    Russia yapeleka Komando Burkina Faso

    Russia imepeleka Special Forces Burkina Faso kwa ajili ya kuongeza ulinzi na mafunzo maalum. Unakuja baada Ufaransa kuonyesha tamaa ya kutaka kutawala Nchi za kiafrika na kuendelea kuzinyonya kadri wanavyo hitaji BREAKING Russia has reportedly sent special forces trained with unique skills to...
  3. Camilo Cienfuegos

    Kabendera: Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuawa kwa amri ya Magufuli

    Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President. Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere. Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza...
  4. ESCORT 1

    Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

    Wakuu… Naombeni mnifahamishe huyu Mkuu wa Kamandi ya Wana Maji, Meja Jenerali Ameir Hassan ni Komando? Nimeona ana bawa katika gwanda lake?
  5. K

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
  6. Webabu

    Houth ilivyobadili mbinu kupambana na US,UK na France na huku Hamas wakiua komando mkubwa wa Israel

    Kuanzia majuzi wanamgambo wa Houth wameanza kuzipa onyo meli zinazokatiza maeneo yao kabla ya kuzirushia makomboa. Wakitumia meli yao ya wanamaji wiki iliyopita walimuonya kapteni wa meli ya True Confidence kwamba alikuwa akikatisha njia ambayo si salama kwake. Kwa mara nyengine akaelekezwa...
  7. Mohamed Said

    Shajara Yangu Mpambano wa Maalim na Komando Uchaguzi Mkuu Zanzibar 1995

    SHAJARA YANGU UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR MPAMBANO WA MAALIM NA KOMANDO 1995 Miaka 29 sasa imetimu toka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya mapinduzi na muungano mwaka wa 1964. Niko Zanzibar na fikra zangu zimerejea nyuma juma la mwisho mwezi October 1995 kuelekea siku ya kupiga...
  8. Mjanja M1

    Komando na Manati

    Kwenye uwanja wa vita kuna mambo mengi sana, nilikuwa sijui kwamba Makomandoo huwa wanatumia manati wakiwa kwenye ulingo wa Vita. ANGALIA HAPA JINSI KOMANDO ALIVYOBEBA MANATI
  9. Mto Songwe

    Komando Jide kwenye hili goma la wanok nok alipiga bonge la chorus

    Kwenye hili collabo la watu wazima Mandojo & Domokaya "Wanok nok" walilo mshirikisha komando Jide. Komando alikinukisha upande wa chorus vibaya sana. "Wanafki nafki watu wa kupakazia Yasowahusu wao kuingilia Maneno yao ni kama ya simba Ukiyasikiliza lazima utaaminia Wanok nok watu wa kusingizia...
  10. Mbute na chai

    Ukisikia komando unafikiri ni mwanajeshi wa namna gani!?

    Habari wanajamii. Nimeona ni shiriki pamoja nanyi kuhusu maana halisi ya neno komando (Commando) na namna linavyotumika jeshini.. Neno komando lilitumika na utawala wa kiholanzi (dutch cape colony) katika nchi ambayo sasa huitwa Afrika ya Kusini. Kulianzishwa vikundi vya kaburu (boers) ambavyo...
  11. B

    Kesi ya Mbowe: Commando Mhina, Shahidi Mwaminifu na Rafiki wa Kweli

    Komando Mhina popote pale alipo na apokee salamu za kheri kutoka kwetu tunaoyaishi machungu yao. Akiwa mtu huru, Commando Mhina alifika mahakamani kufanya sehemu yake ya kuuanika ukweli. "Kwani nani anapenda kufika kwa ridhaa yake polisi au katika mahakama zinazosifika kwa dhuluma?" "Kwa...
  12. Poppy Hatonn

    Mlinzi wa Hayati Rais Moi alikuwa Commando. Je, Tanzania mlinzi anamchunga au anamlinda Rais?

    Mlinzi wa Moi alikuwa commando. Yule mtu aliyekuwa anaongoza ulinzi wa hayati Moi alikuwa ni Commando aliyepata mafunzo Israel. Anaeleza alivyopata mafunzo halafu akarudi Kenya kufanya kazi ya kumchunga Rais. Yule anasema alikuwa anafanya kazi ya "kumchunga" Rais. Ndiyo swali ambalo najiuliza...
  13. T

    Mapenzi hayana komando

    Kweli mapenzi hayana komando nimeamini. Yaani mtoto wa 2000, tena ni mchepuko tuu ananipiga kofi kisa nimemuacha sehemu kumuwahi kumpokea wife, kwani alikua safarini. Eti anasema simjali kwani hata kama ni wife si nitamkuta nyumbani tuu. Kweli mapenzi hayana komando mtoto wa 2000?
Back
Top Bottom