kodi

  1. N

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
  2. Utaratibu wa kulipa kodi kwa mtaji wa chini ya milion ukoje?

    Mwez ujao kuna rafiki yangu anataka kufungua kijiduka cha mtaaji wa laki 8 vip TRA hawatamsumbua? Na kama watamsumbua ili kuepuka afanye nini? Kuepuka? Au kitambulisho cha mjasiriamali vip?
  3. Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi.

    Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi...
  4. M

    Digital content creators kuanza kulipa kodi

    Mabadiliko ya muswada mpya wa sheria ya kodi umefanyika na sasa digital content creator watakua wanalipa kodi
  5. Ushauri: Kila anayeonyesha Pesa zake mitandaoni serikali imtake aonyeshe na kodi aliyotoa

    Kama mtu amepata ujasiri wa kuonyesha maburungutu ya pesa mitandaoni, huku aonyeshi chanzo halali cha pesa hizo serikali isikalie hilo jambo kimya. Angalau watakwe kufanyiwa tax clearance wapewe doc ya kujipata na pesa mitandaoni. Hiyo itathibitisha ni pesa halali na huyo mtu anafaa kutumikq...
  6. L

    ACT Wazalendo mfikishieni salamu Ismail Jussa kuhusu umuhimu wa kodi

    Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi. Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind...
  7. Serikali ianze kutoza Kodi mapato ya makanisa maana imekuwa biashara sasa.

    Ukweli kwa sasa, dini hasa makanisa imekuwa kama chambo Cha kupiga fedha za watu, kibaya zaidi sasa hasa wanaojiita manabii wengine wanatoka hata nje kuja kupiga pesa kwa kulaghai raia na kujitwalia utajiri mkubwa na pesa nyingi ambazo hazilipiwi Kodi. Ni vyema tubadilike tuanze kufanya...
  8. Kodi hii imefikia wakati Serikali iitazame upya kwa watumishi, inaumiza

    Kwa mujibu wa utumishi wa umma, mtumishi anatakiwa kukatwa kodi kwa kile anachokipata kwenye mshahara wake. Kama tunavyofahamu kodi nimuhimu kwa taifa lolote, lakini changamoto ya kodi hii ni maumivu kwa watumishi ktukana hali ya kupanda kwa gharama za maisha hasa mfumuko wa bei, mishahara ya...
  9. Raia wa kigeni kunufaika na fedha za walipa kodi

    Raia wa kigeni wanaocheza soka lakulipwa nchini kwanini wananufaika na fedha zetu walipa kodi, kwanini hizo fedha zisiebde kwa watoto wetu wachezaji wa mashuleni umiseta na umitashumta?
  10. Mafinga: Wafanyabiashara wagoma kufungua Maduka siku ya pili baada ya Halmashauri kuwapangia kodi kubwa ya pango

    Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma. Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya...
  11. Badala ya Kutangaza Makusanyo ya Kodi Serikali Itangaze Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi Kila Mwisho wa Mwezi

    Taifa hili kuna eneo muhimu linafumbiwa macho hasa taarifa za Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi. Ni vema Serikali hasa Wizara ya viwanda na biashara na msemaji wa ikulu pamoja na yule wa Serikali, waanze mara moja kuweka takwimu za Mauzo na pesa za kigeni kwenye mazao na bidhaa mbalimbali Kama...
  12. Iwapo hela za kufanya kila kitu kwenye nchi anatoa Rais, Kodi zetu zinaenda wapi?

    Nimekua nikijiuliza sana kila naposikia kauli za watendaji na viongozi wetu. Utasikia mama katuletea hela kwaajili ya mradi huu. Nabaki na maswali nijuavyo Serikali hujiendesha kwa kodi za wananchi, grants lakini pia magawio kutoka mashirika yake lakini pia mikopo ambayo hulipwa badaye na...
  13. Jamani hii nchi mbona kodi na tozo zimezidi mno?

    Jamani haya mambo ya kila kitu kodi sindio alikua anafanya mkoloni?Bmbona yamerudi kwa kasi kubwa nchini hali ya kuwa nchi ina rasilimali za kiasili nyingi mno? Serikali kuna maeneo mngefikiria tu kuyaacha ili kula wote keki ya Taifa. Sio kila mahali mnatafuta kodi kodi kodi wajati kuna maeneo...
  14. Naanza kuhisi serikali inachukua Kodi kwa siri makanisani

    Injili ya sasa ni tofauti kabisa na zamani makuhani walitufundisha neno la Mungu lenye kutujenga kiroho zaidi na kutukumbusha tuache dhambi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu Injili hii kwa sasa imekuwa ni nadra sana kuipata Kuna kitu sikielewi kwa sasa hii ni jumapili 6 tangu nimerudi tena...
  15. CCM jitahidini kuweka uwazi na uwajibikaji katika kodi za wananchi,nina sisitiza hakuna mbadala wenu.

    uwajibikaji ni kitendo cha kutekeleza sera,sheria na utaratibu kwa uadilifu na uwazi,kuna faida kadhaa za kuwepo uwajibikaji naelezea kama zifuatavyo kujenga misingi imara ya uongozi,uadilifu,utekelezaji wa shughuli za kijamii na kuweka mfumo zuri kati ya serikali na wananchi,inapotokea...
  16. Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

    Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
  17. R

    Kodi ya majengo kupitia luku iliyoletwa kinyemela, imeondolewa kinyemela!!

    Salaam, Shalom!! Lile ongezeko la TSH 500 lililoletwa kinyemela miezi miwili iliyopita, imeondolewa kinyemela kimya kimya bila taarifa yoyote. Ikumbukwe kuwa, ongezeko hili halikuletwa kupitia Utaratibu wowote kisheria, baada ya kelele na malalamiko mengi Toka Kwa wananchi, imeondolewa bila...
  18. Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

    Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa...
  19. Njia za kudumu zinazoweza kutumiwa na TRA kuhakikisha watu wengi wanalipa kodi nchini

    Ukifuatilia Takwimu, utasikia TRA wanadai idadi ya walipa kodi nchi hii ni ndogo sana licha ya nguvu nyingi zinazotumika ikiwemo masuala ya TaskForce, kuhakikisha watu wanadai receipts na matumizi ya EFD machines. Kwa njia hizo, ni kweli kabisa idadi ya walipakodi itaendelea kuwa ndogo. Nini...
  20. Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya. Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…