kodi

  1. LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.
  2. Kilio cha Mwijaku kuhusu kodi

    Mwijaku ametoa kilio chake kuhusiana na kodi ambapo amedai yeye kama influencer anaingiza Milioni 3 kwa siku lakini hajapata utaratibu wa kulipa kodi. hivyo amemuomba Rais Samia kuwapatia utaratibu wa kulipa kodi kutokana na shughuli anazofanya. Mwijaku amenukuliwa akisema "Kwa siku ninaingiza...
  3. Dar es Salaam: Mahafali ya 17 ya Chuo cha Kodi (ITA)

    Leo tarehe 22.11.2024 Chuo cha Kodi (ITA) kimefanya mahafali ya 17 ya chuo hicho. Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwandumbya ambaye amewataka wahitimu kuwa mabalozi wazuri wa chuo hicho na kuwa vinara katika kuhamasisha ulipaji kodi kwa...
  4. Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

    SOURCE: The Chanzo 1.⛽️Mafuta- Trilioni 3.6 2.🍻Bia- Bilioni 609 3.🍸Spiriti na Konyagi- Bilioni 320 4.📲Simu- Bilioni 320 5.🚬Sigara- Bilioni 275 6.🍶Vinywaji baridi- Bilioni 188 7.🧋Sukari- Bilioni 89.6 8.🧱Saruji- Bilioni 75 9.🥤Maji ya chupa- Bilioni 72 10.🏭Gesi asili matumizi viwandani- Bilioni 54
  5. Nairobi: Makamishna wa Mamlaka za Kodi Afrika Mashariki wazindua ripoti ya utendaji

    Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2023/24 pamoja na Ripoti ya...
  6. Rais Samia anatoa wapi takwimu za walipakodi?

    Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi Ninaponunua LUKU nalipa kodi Ninaponunua wese la gari nalipa kodi Nikienda kutibiwa nalipa kodi. Najiuliza takwimu ya walipakodi wa Tanzania kutozidi milioni mbili imetoka wapi...
  7. Tanzania kuimarisha ufanisi wa mfumo wa kodi ili kukuza uwekezaji nchini

    Tanzania imechukua hatua stahiki za kuimarisha ufanisi wa mfumo wake wa kodi, ili kukuza uwekezaji na biashara na mataifa mbalimbali duniani. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahamoud Thabit Kombo, amesema hayo tarehe 13 Novemba, 2024 jijini Dar es Salaam...
  8. Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!

    Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine. Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake ni $16,600 kitu ambacho sio kweli, market price sahivi ya hii gari kwa huo mwaka ni CIF ya $8,000...
  9. Mama mwenye nyumba kanisamehe kodi mbele ya baba mwenye nyumba

    Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11 Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa...
  10. Mwigulu amjibu Mpina Bungeni kuhusu DP World kukusanya Kodi Bandarini, Mpina afuta kauli

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) amemjibu Mbunge wa Kisesa Luhaga, Joelson Mpina kuhusu hoja ya DP World kukusanya kodi akieleza kuwa amelidanganya Bunge, jambo lililosababaisha Mbunge huyo kuomba radhi na kufuta kauli. Dkt.Nchemba amesema hakuna taasisi au kampuni...
  11. Kuna wahubiri siku hizi wanauza maji, chumvi ama mafuta je walipe kodi?

    Kuna wahubiri siku hizi wanauza maji, chumvi ama mafuta ili kutatua shida za watu (sina uhakika kama vinatatua). Bei zao ni kubwa sana na wanaingiza pesa ya kutosha. Swali, Je, kuna haja walipe kodi ya mapato kwa mauzo hayo?
  12. Utaratibu wa kodi baada ya kupokea mzigo Posta ukoje?

    Wakuu, wiki kadhaa zilizopita nilinunua kifaa kutoka nje ya nchi, nimetumiwa mzigo wangu kwa njia ya POSTA. jana nimetumiwa sms kuwa kifaa changu kimefika, nimenunua kifaa kwa bei ya shilingi, aaah dola 100. Sasa kabla sijaenda kuchukua kifaa changu nimefanya mawasiliano na mtoa huduma wa POSTA...
  13. Napendekeza ufanyike usajili kwa vijana wote wanahamia majijini kutafuta maisha

    Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi. Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi hana, ufundi au ujuzi wowote hana anakimbia kijijini anakwenda mjini . Ufanyike usajili kwenye...
  14. Kodi za Mapato: Kabla hatujawaza kuzidi kukamuana, tuangalie kuziba Pakacha

    Kuna Notion kwamba Watu hawalipi Kodi, na bila kuongeza vyanzo kwa kuwakamua zaidi Nchi haiwezi kuendelea... Kwanza kabisa sio kweli kwamba watu hawalipi Kodi; kila mtu analipa Kodi indirectly na kutokana na vyanzo vyetu na Tozo tunaweza kuendesha nchi hata bila Kodi ya Mapato; Nikitoa...
  15. L

    Hizi ndizo Faida za PPP na Faida yake kwa Taifa kama anavyofafanua David Kafulila. Tuipe Nguvu PPP itasaidia kuongeza wigo wa kodi na mapato

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo. pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa...
  16. M

    Haiwezekani serikali kuwapangia wamiliki wa nyumba bei elekezi ya kodi?

    Hivi haiwezekani serikali kuwapangia hawa wamiliki wa nyumba bei elekezi ya kodi kutokana na ubora wa nyumba zao?
  17. Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  18. Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje? Wewe si ndio Rais

    Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa. Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi...
  19. Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje ? Wewe si ndio Rais

    Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa. Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…