kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanayanga epukeni propaganda zilizoanzishwa na wajinga wachache kuhusu kocha Nabi

    Kumezuka kamjadala uchwala toka kwa waandishi uchwala kueneza habari za kipuuzi kuwa kocha nabi kapewa mechi 2, wapuuzi hawa wanajitahidi kupandikiza hiyo propaganda ili kumuondelea utulivu na kulivuruga benchi la ufundi, hakuna kikao chochote kilichojadili kitu Kama icho nikiwa mmoja wa wat u...
  2. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania CAF naomba ichunguze upya vyeti vya kocha wetu huyu

    Kwa kweli nimeumia sana niwe mkweli, hawa Rivers nao ni wa kutufunga kweli? Sawa tulifungwa lakini makosa haya yamechangia 1: kocha alijua wazi na kuona namna mukoko na zawadi hasa hasa zawadi walivyopwaya, na bado hakuchukua hatua yoyote, matokeo yake tukawa tunakimbizwa tu kati na kina ukwe...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Simba: Kocha Gomez anasoma online course, tuna imani hadi mchezo wetu unachezwa atakuwa ameshamaliza masomo

    Baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kumtaja kocha mkuu wa Simba, Didier Gomes kukosa sifa za kukaa benchi la ufundi la Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa kutokana na kukosa sifa, uongozi wa timu hiyo umeibuka na kutolea ufafanuzi. Gomes ana (UEFA A Diploma) na kwa mujibu wa kanuni za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huku Haji Manara ukiendelea Kubwabwaja Wasafi FM kuhusu Sakata la Kocha Gomez, hatimaye mwana Yanga Maulid Kitenge amemgeuka

    Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake. Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana...
  5. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba, Didier Gomes inawezekana kutokuwa sehemu ya benchi la Ufundi katika mechi za CAF

    Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika timu zao kwa kukosa vigezo vya leseni ya CAF A na UEFA PRO. Didier ambaye ana diploma ya UEFA A, hajakidhi vigezo vilivyowekwa kwa kocha Mkuu kuwa na leseni ya CAF A ama...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Samatta huwa anafanya makusudi au ishu ni kocha?

    Yule samata wa jana hata angekutana na Italy angewasumbua sana ,jamaa alikuwa moto sana najiuliza ni kwa sababu mzungu alimuweka kushoto? nashangaaaa sana labda alikuwa anatufanyia makusudi akiwa aston villa, Genk na uturuki karudi Royal antwerp anatuonyesha kwamba uwezo nao, siku zote...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kocha Nasreddine Nabi alalamikia uongozi muda wa pre-season

    Kwa mujibu wa gazeti CHAWA la HOME SHOPPING CENTRE ni kwamba kocha mwarabu toka Tunisia haridhiki na maandalizi, yaani wazungu wanasema WRITING ON THE WALL. Mwarabu alianza kusema UTOPOLO FC itachukua siku 90 kuunganika, akataka kabla ya kukutana na washindi wa pili wa ligi ya nigeria THE...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumfelisha kocha Nabi kuhusu kambi leo hitaji lake jingine linafeli usiku huu

    Mwarabu wa Tunisia anachonifurahisha kuna maagizo anayatoa wenye masikio na wasikie wenye macho na waone, sisi yetu macho na masikio Mwarabu ameagiza kipa wa Mali yule anayedaka mabomu, gololi na mishale pamoja na Aucho wapewe ndege faster waingie usiku huu baada ya mechi kati ya Uganda na mali...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Senzo vipi tena? Plan za kocha Nabi hazitawezekana

    Kocha nabi anataka wachezaji wake wafanye mazoezi kwa siku mbili katika uwanja wa Mkapa. Sasa CEO genius anafeli wapi jamani maana tarehe 7 ni Taifa stars vs Maurtania ina maana tarehe 6 kisheria lazima Maurtania wafanye mazoezi. Tarehe 7 mechi yenyewe, tarehe kumi biashara vs wa djibout ina...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga kufungwa na Zanaco kumerahisisha kazi ya kocha Nabi

    Yanga kufungwa na Zanaco wachezaji kumeondoa mapema kiburi cha wachezaji na kujiona mafundi. Sasa hivi kocha ana kazi rahisi kwenye mazoezi maana wachezaji wote walishushuliwa mbele ya halaiki ya wanayanga. Nadhani wachezaji watakuwa makini kumsikiliza mwalimu ili kuepuka aibu kama Ile...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi alia na muunganiko kasema anahitaji miezi 3

    Haa walahi kudadeeeekiiii hapa hata takataka za redioni zilizokouwa blinded na bahasha za khaki za wakwepa kodi hawataweza kulizungumzia kabisa. Kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi ametua nchini jana na kutamka kwamba bado hajapata muunganiko katika timu yake licha ya kuwa nchini Morocco...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Yanga yamkwamisha kocha

    Hawa jamaa bana dah walikuwa wanaringia magorofa eti wako mjini siyo vijijini, jamani ushamba mzigo sana HALI YA HEWA YAGEUKA KIKWAZO KWENYE MAZOEZI YA YANGA Kwa mujibu wa kauli ya Afisa habari wa Yanga, Hasan Bumbuli amedai kocha atalazimika kubadili utaratibu wa mazoezi kutokana na joto kuwa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mikel Arteta kuwa kocha wa kwanza kufutwa kazi EPL msimu huu

    Huyu hajawahi kuwa kocha , bali aliwahi kuwa msimamizi wa mazoezi wa Man City . leo hii Vibonde waliopanda ligi kuu Brentford 2 -0 Arsenal , ufunguzi wa EPL
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji akutana na kuteta na kocha Gomes

    SIMBA leo wana jambo lao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam wakati watakapotangaza ubingwa wao wa 22 katika Ligi Kuu Bara, lakini inaelezwa kipigo cha bao 1-0 ilichopewa na Yanga bado kimewavuruga mabosi wa klabu hiyo. Simba leo itavaana na Coastal Union ikihitaji pointi moja...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Kocha Nabi anipangie Kikosi hiki Jumamosi tarehe 3 July, 2021 ili niupige mwingi mno kisha nipige nyingi kwa Mkapa

    1. Farouq Shikalo 2. Shomary Kibwana 3. Adeyum Saleh 4. Dickson Job 5. Bakari Mwamnyeto 6. Tonombe Mukoko 7. Zawadi Mauya 8. Feisal Salum 9. Saido Ntibanzokinza 10. Yacouba Sogne 11. Tuisila Kisinda Na hii ndiyo 'First Eleven' ya Nabi wenu.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, kocha wa Yanga Nasreddine Nabi anajichimbia kaburi

    Kama ni kweli basi Mwarabu wa watu anajichimbia kaburi historia ya kocha klabu zetu haswa yanga kuja na wachezaji wa nchini mwake siyo nzuri, kwanza wakiwa chini ya kiwango atalazimisha kuwapanga. Wenzao watawachukia. Wachezaji hao wataanza kulalamikia viwanja vibovu hapo itabidi wapangwe...
  17. Peramiho yetu

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Mtibwa Sugar anafundisha mpira wakati wa mechi; huko mazoezini hafundishi?

    Wakuu habari MWADUI VS MTIBWA Npo nasikiliza mpira kupitia redio hapa vikindu lakn kinacho nishangaza kocha wa timu hii anasikika Tena kwa sauti kupitia U FM akiwafundisha wachezaji wake kila hatua toka kupokea mpira atulize vp anawaelekeza nan ampe pas mchezaj akikosea utamsikia akilalamika...
Back
Top Bottom