The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.
Amani iwe nanyi:
Nimepokea taarifa za kushtusha kutoka katika chanzo changu cha kuaminika nchini Misri ikieleza kuwa Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud Ibrahim Ibrahim El Khatib ni mfuatiliaji mkubwa wa mechi za Simba Sc na amekuwa akikoshwa na uchezaji wa timu ya Simba toka kocha Guardiola...
Wadau huduma ya Mgunda tumeiona na inamatokeo ambayo ni chanya.
Mimi napendekeza kama ana vigezo awe Kocha Mkuu wa Simba Sport Club.
Wataalam mnasemaje?
"Tulikuwa na nafasi nyingi za kufunga, kutoka sare ni majuto makubwa kwangu," Kocha Ibenge.
Nilichochukua: Yanga imetutia aibu, "Iwe jua iwe mvua" halafu mnaokolewa na kipa?
"Katika uwanja wao wa nyumbani Al-Hilali anamuuliza Fiston Mayele mbona hujatetema leo?"
Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu.
Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3!
Yanga instructed...
Huu ni mfumo wa 99.9% kujilinda (Defensive) hasa ukiwa na historia kuwa ikicheza kwao huwa inakuwa na kasi na inafunguka sana tu.
Wanasimba S.C. tusijidanganye, hawa waangola ni watamu (wazuri) hakuna mfano, hasa wakiwa kwao nchini Angola na wanapiga pasi nyingi nyingi na za haraka haraka. Kitu...
Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika, lakini nadhani muda umefika ukingoni.
Kuna mtu mmoja hatari sana Erling Haalland, huyu jamaa anakuja...
Tajiri kamtumia Kocha wa zamani Mkongo anayehudumu sasa ndani ya Klabu pamoja na Wachezaji wetu wa Kikongo ndani ya Klabu ili Kumalizana na Mkongo Mwenzao aliye kwa Waarabu awape Mbinu zao na pia awapangie Kikosi dhaifu ili tuweze kufuzu Makundi na tuwaridhishe Wanachama, Wapenzi na Mashabiki...
Na tusio na Timu ( Ushabiki ) wa Klabu yoyote ile hapa Tanzania ila ni Wadau tu wa Mpira na Maendeleo yake tunajua Kocha 'Genius' Nabi hatoanza na Kisiinda ( Nuksi ) hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 kwa Mkapa bali ataanza na Moloko ( Bahati ) kama anataka kweli Ushindi.
SIMBA walivyo kaa kimya hatuna kocha wa Viungo, Kocha wa MAkipa je kwa hali hii tutatoboa mwezi oktba kweli tuna game hatari zinakuja mwezi wa KUMI.
Me nawashauri VIONGOZI ZRANE kocha aliyeondokaga arudishwe hata kama yupo timu ya taifa ya maurtania si wavunje mktaba hukoooo
Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila...
Taarifa za uhakika zinasema kocha Nasreddine Mohamed Nabi, naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kumuwezesha kukaa kwenye benchi hapo kesho kwenye mchezo wa Champions League.
Nabi ambaye msimu uliopita alikaa benchi kwenye mechi 2 dhidi ya Rivers United ana vyeti vya UEFA 'A' na UEFA-Pro...
Katika hali ya kawaida , jambo lililotokea kwenye timu yetu ya Simba, si rahisi kusema kwamba limetokea kwa bahati mbaya. Sisi wengine tukiangalia uwezo na elimu kubwa waliyonayo viongozi wa Simba, akiwemo mtendaji mkuu tunaona hili jambo lilikuwa mpango maalum.
Kutokana na kufahamika kwa elimu...
Klabu ya Coastal Union imetangaza kutokuwa na mkataba na Kocha Juma Mgunda ambaye kwa sasa anaitumikia Simba akiwa kocha wa muda.
Coastal imeeleza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya baina yao na Mgunda yalikuwa kwenye mchakato, hivyo suala la Mgunda kujiunga na Simba ni la kwake binafsi...
Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
Sina tatizo na Juma Mgunda (Guardiola Mnene) kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC kwani natambua uwezo wake ila tatizo langu ni kwanini Matola Yeye haondoshwi Simba SC kama wanavyoondoshwa makocha wengine?
Uongozi wa Simba SC tafadhalini sana kama wenyewe kisirisiri kutokana na upumbavu wenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.