Warren Kizza Besigye Kifefe (; born 22 April 1956), known as Colonel Dr. Kizza Besigye, is a Ugandan physician, politician, and former military officer of the Uganda People's Defence Force. He served as the president of the Forum for Democratic Change (FDC) political party and was an unsuccessful candidate in Uganda's 2001, 2006, 2011, and 2016 presidential elections, losing all of them to the incumbent, Yoweri Museveni, who has been president of Uganda since 26 January 1986. The results of the 2006 elections were contested in court, and the court found massive rigging and disenfranchisement. Besigye allowed an early internal FDC election for a successor president, which took place on 24 November 2012.
Tunachokijua (What We Know)
Gen. Muhoozi Kainerugaba, Uganda's Chief of Defence Forces and son of President Museveni.
Dr. Kizza Besigye, a four-time Ugandan presidential candidate, was abducted in Nairobi, Kenya, on November 16, 2024, while attending a book launch hosted by Kenyan politician...
Tunachokijua
A post circulating on TikTok from an account operating under the handle “MED BARBER” claims that opposition leader Kizza Besigye has died.
Click here to see post.
The post contains a screenshot showing Besigye being placed into an ambulance after he collapsed during a court...
Akizungumza nje ya hospitali ya Mulago jijini Kampala alikolazwa mumewe, Byanyima ambaye ni Mkuruzengi Mkuu wa shirika la UNAIDS, aliwaambia waandishi wa habari kuwa mumewe hawezi kuzungumza wala kuandika kwa sababu mikono yake haina nguvu.
Besigye, mwenye umri wa miaka 70, mpinzani wa muda...
Samia na utawala wa CCM jiandaeni na nyie kama mnavyo fanya mateso mkitegemea dunia inawachekea.
Huko Uganda, kiongozi mkongwe wa upinzani, Kizza Besigye, anayezuiliwa jela kwa muda mrefu, alianguka siku ya Jumatano akiwa mahakamani na baadaye kulazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya.
Soma...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Dkt. Kizza Besigye, ameanguka ghafla akiwa ndani ya kizimba cha Mahakama Kuu mjini Kampala leo wakati kesi yake ya uhaini ikiendelea kusikilizwa.
Besigye alisikika akipaza sauti akiomba mahakama isimamishe mwenendo wa kesi kabla ya kuanguka, hali...
High Court Judge Justice Emmanuel Baguma has scheduled June 30, 2026, for the hearing of a human rights application filed by opposition politician Kizza Besigye and his co-applicant Obeid Lutale against Muhoozi Kainerugaba and other respondents.
The application alleges serious violations of the...
Dkt. Kizza Besigye, mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda anayeshikiliwa rumande, amefungua shauri mahakamani dhidi ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, akidai kuwa amekuwa akitoa matamshi ya hadharani yanayotishia maisha yake na hivyo kuhatarisha haki yake ya kupata...
Veteran opposition leader Kizza Besigye and his associate Hajji Obeid Lutale Kamulegeya are expected to appear before court today, 12 March, as legal proceedings in their case continue.
According to a post shared by the People’s Front for Freedom (PFF), the two are scheduled to be produced...
A holy mass that was organized to take place Monday 23rd February, 2026 today at Rubaga Cathedral has been postponed for unclear reasons.
Winnie Byanyima a wife to Dr.Besigye said that she was informed that President Yoweri Museveni asked the church not to proceed with prayers for Dr Besigye...
Chama cha People’s Front for Freedom (PFF) kimetoa tahadhari kali kuhusu hali ya afya ya kiongozi wake, Kizza Besigye, kikisema kuwa hali yake imedhoofu zaidi akiwa kizuizini.
Kwa mujibu wa chama hicho, Besigye akiwa mahututi alihamishwa usiku wa manane kutoka gereza la Luzira kwenda kituo cha...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, amegomea kuanza kusikilizwa kwa kesi yake ya uhaini Septemba 1, 2025, akimtuhumu Jaji Emmanuel Baguma kwa upendeleo. Besigye na mshirika wake, Obed Lutale, walisusia kesi baada ya jaji kukataa kujiondoa kwenye kesi hiyo.
Mawakili wake wanasema...
Wafuasi wa Dkt. Kizza Besigye na Hajji Obeid Lutale walilipuka kwa shangwe nje ya Mahakama ya Nakawa baada ya Hakimu Mkazi Mkuu Christine Nantege kutoa uamuzi kuwa mahakama hiyo haina tena mamlaka ya kusikiliza kesi yao, kufuatia kesi hiyo kuhamishiwa rasmi katika Mahakama Kuu.
Uamuzi huo...
Kama kuna mtu anadhani yupo kiumbe duniani anaweza kuisumbua serikali anajidanganya, makelele ya wanasheria kuwa haki itashinda cjui nn hayo ni maneno tu, kesi ya uhaini ni kesi ngumu sana kuliko tunavyodhania, baada ya mwezi tu mshtakiwa wenu atabadilika rangi na mtamuonea huruma wenyewe, jela...
Kiongozi wa upinzani wa Uganda, Dkt. Kizza Besigye amegoma kula chakula katika gereza la Luzira, Mjini Kampala kwa madai ya kupinga kuendelea kushikiliwa pamoja na kuhofia maisha yake.
Dkt. Besigye ambaye alikuwa daktari binafsi wa Rais Yoweri Museveni alikamatwa tangu Novemba mwaka jana, na...
Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha.
Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani!
Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye awali alikuwa mpenzi wa Museveni wa ujanani. Museveni, kwa hiari yake mwenyewe, aliamua kuachana na...
Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemhukumu wakili maarufu, Eron Kiiza, kifungo cha miezi tisa jela kwa kosa la kudharau mahakama. Kiiza ni wakili wa mwanasiasa wa upinzani Kizza Besigye.
Kesi hiyo ilichukua sura mpya baada ya vurugu kutokea mahakamani kufuatia kukamatwa kwa mmoja wa mawakili wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.