kiwanja

  1. JamiiForums Tanzania Kiwanja chakukata,sqm.600,Tshs.70 milioni, Mbezi-Afrikana

    Hapa
  2. W

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    .
  3. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye msingi, kinauzwa na bank, sqm. 600, tshs.7 milioni, Mabwepande

    ...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Zinga Mlingotini

    Habari ndugu zangu,nauza kiwanja ukubwa ni 20 ×24 kiwanja kipo karibu na barabara ya vumbi inayoenda mlingotini kina karatasi ya mauziano bei 6,00,000/= maongezi kidgo yapo Phone number 0657759846, 0653652755 Kiwanja kipo nyuma ya nyumba ya kwnza kutoka barabara ya vumbi..kina njia pana tu ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KUUZA KIWANJA – IHUNGO, BUKOBA MJINI

    TANGAZO LA KUUZA KIWANJA – IHUNGO, BUKOBA MJINI Nauza kiwanja changu kilichopo Ihungo, Bukoba Mjini. Kiwanja ni tambarare, kina ukubwa wa 20m x 40m, na barabara inapitika vizuri hadi kiwanjani. 📍 Mahali pazuri kwa makazi 🏫 Shule, hospitali na maduka vipo karibu 📄 Miliki halali, salama...
  6. JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Tuangoma

    Kiwanja Kinauzwa, kimezungushiwa uzio na kipo kwenye kona (Corner plot). Mahali: Kigamboni Tuangoma, karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya. Kipo kilomita 1 kutoka barabara ya kuelekea Tuangoma. Ukubwa wa Eneo: SQM 1265. Bei: Tzs Milioni 100. Maongezi yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama...
  7. JamiiForums Tanzania kama unataka kiwanja nunua kipindi hiki cha mvua ulijue eneo vizuri

    usinunue kipindi cha kiangazi kama unataka kiwanja tafuta msimu wa mvua eneo unaliona vizuri kama lina asili ya matope au kuna maji yanapita chini kwa chini ili kuepuka changamoto.Na bora matope kuliko ununue kiwanja sehemu ambayo ni wetland.kiangazi hutagundua .
  8. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauza nusu Heka - Dar es salaam - Bunju A

    Habari . Kiwanja kinauza takribani nusu heka kipo Dar es salaam -wilaya kinondoni -Bunju A karibu na Sarafia school. Price - 95m maongezi yapo -kutoka bagamoyo road mpaka site NI DK 10 Tu ( mtaa WA madoctor ) Full document zipo ukitaka kupaona anytime nipo apa Bunju WhatsApp / call 0715160365
  9. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja safi chenye hati, SQM 400, Tsh. Milioni 55, Kigamboni darajani

    .....
  10. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Msalato -Dodoma

    Deleted
  11. JamiiForums Tanzania KIWANJA CHENYE MSINGI, SQM.500, KINAUZWA NA BANK,TSHS.13 MILIONI, MBEZI-MSAKUZI.

    ....
  12. JamiiForums Tanzania Kiwanja sqm.4,000, tshs.65 milioni, picha-ya-ndege, Kibaha

    ...
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba mbili, kiwanja sqm. 3,000, tshs.110 milioni,kiluvya kwa komba kinauzwa

    ....
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Arusha olasiti darajani barabara ya Mrombo

    Kiwanja kinauzwa arusha olasiti kipo njia ya mrombo kabla ya ffu kambi darajan kulia ukitokea mjini mita 800 kutoka lami mpaka kwenye kiwanja huduma zote zipo karibu kiwanja kina hati ni 18*25 eneo lipo barabarani kwenye barabara za mitaa bei ni 20m maongezi yako. Serious only 0629194102.
  15. JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Tuangoma

    Kiwanja Kinauzwa, kimezungushiwa uzio na kipo kwenye kona (Corner plot). Mahali: Kigamboni Tuangoma, karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya. Kipo kilomita 1 kutoka barabara ya kuelekea Tuangoma. Ukubwa wa Eneo: SQM 1265. Bei: Tzs Milioni 100. Maongezi yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama...
  16. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Toangoma

    Nauza kiwanja kipo Toangoma Malela Ukubwa sqm 800 (40×20) Kiwanja kina hati ya wizara miaka 90 Mtaa umepangika vizuri na barabara za mtaa safi. Kilometa 1.5 kutoka barabara ya Kongowe Kigamboni (Funcity) Kilometa 1 kutoka barabara ya vikunai Chekechea. Bei Tsh Milioni 18 (Neg) 0717727504
  17. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja sqm 535, kina hati

    Eneo hili liko Pangani - Kibaha Mji, jirani na ofisi za Mitamba, umbali wa kilomita 2.5 kutoka kituo cha mabasi cha Kibaha na Kibaha Shopping Mall, au kilomita 1 kutoka mnada maarufu wa mbuzi wa Jumamosi (Loliondo). Linapatikana kupitia barabara ya Tamco-Mapinga, ambayo ipo katika ujenzi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?

    KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma. 1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi 2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi. 3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Dodoma, Nkuhungu

    Habarini za muda huu wana jukwaa?, kiwanja kisicho na kipengele chochote kinauzwa kwa bei ya jioni kabisa, kipo karibu na shule ya saint home ya Nkuhungu, kwa mwenye uhitaji apige namba ifuatayo 0623799381, details nyingine zipo kwenye kielelezo cha picha hapa chini ya uzi huu!
  20. JamiiForums Tanzania Kiwanja kwa matumizi ya sheli kinauzwa Chumbuya Songwe

    Kiwanja kwa matumizi ya sheli kinauzwa Chumbuya mkoa wa Songwe kiwanja sq 2800. Tshs. 300m mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…