kiwanja

  1. JamiiForums Tanzania Umewahi kuuziwa kiwanja ambacho kina mgogoro?

    Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee, Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua, Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa...
  2. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha Picha ya Ndege

    Kiwanja kipo kibaha picha ya ndege. Kipo nyuma ya hospital ya wilaya Lulanzi. Kiwanja kina ukubwa Mita 30 kwa 20 Kutoka morogoro road km 2. umeme upo hapo hapo wa kuvuta maji yapo karibu. Bei milioni tatu na nusu.
  3. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kiluvya Madukani

    Kiwanja Kinauzwa Kiluvya Madukani Ukubwa Heka 1 yani mita 70x70 Huduma zote zinapatikana Umbali Kutoka Morogoro road km 6 Bei eneo linauzwa Mln 15 0775 179905
  4. JamiiForums Tanzania Swali la wazazi: Umeshanunua kiwanja huko unakoishi? Jibu hili hapa

    Yes,Ukiwa unaishi mjini au mahali popote mbali na wazazi au nyumbani ulipozaliwa,unaporudi nyumbani swali mhimu kutoka kwa wakubwa huwa ni...; umeshanunua kiwanja?? Kama bado hujapata jibu la swali hilo,usisite kunitafuta wakati wowote ili upate kumiliki kiwanja chako kwa gharama nafuu Sana...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kiwanja nikaanza kujenga bado natakiwa niende nikatafute kibali cha kujenga hii ikoje?

  6. JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KILUVYA KWA KOMBA

    KIWANJA KINAUZWA KILUVYA KWA KOMBA KIPO MITA 600 TU KUTOKA LAMI _____________________________ ✅ KINA UKUBWA WA 25*30 ✅ KIPO KARIBU NA LAMI HAINA HAJA YA KUPANDA BODA MITA 600 TU KUTOKA MAIN ROAD. ✅ KIPO KWENYE BARABARA YA MTAA ✅ KIPO MTAA ULOCHANGAMKA ✅ HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO...
  7. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba 3 kwenye Kiwanja Kimoja, Ubungo Kibangu

    - Mpangaji Mmoja Mwenye Kukodisha Muda Mrefu Anahitajika! · Nyumba Kuu: Ina vyumba vitatu (3) vya kulala, jiko, sebule na eneo maalum la kulia. · Nyumba Ndogoo (2): Kila moja ina vyumba viwili (2) vya kulala vyenye ufanisi. · Bora kwa: Mpangaji anayetafuta kuchukua majengo mengi kwa mara moja...
  8. R

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinauzwa manyoni

    Kiwanja kinauzwa manyoni majengo satelite city sqm 1039. Makazi na biashara. Bei 3,000,000. Maongezi yapo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Cha 3M kibaha

    Naweza pata kiwanja Kwa shilingi 3M? Nakihitaji ASAP
  10. JamiiForums Tanzania Madale kiwanja kizuri kinauzwa SQM 1200

    Kiwanja kinauzwa madale karibu na shule ya atlas Kina ukubwa wa SQM 1200 Kipo Mita 150 kutoka barabara ya lami Bei ni millions. 150 tu tsh Kipo kwenye neighbourhood nzuri Sana Usikikose tajiri Wasiliana nasi. 0742892195 call and WhatsApp
  11. JamiiForums Tanzania Kiwanja sqm 700 kinauzwa, kipo city center Dar es salaam

    Plot details: 700sqms. Location: City Center. Land Status: Demolished and ready to build. Size: 680-700sqms. Permit: Residential & Commercial. On the main road (prime area). Price: Tsh 4.5B. Project Prospect; you can easily build a 10-15 story building with both housing and office solutions...
  12. JamiiForums Tanzania Kiwanja chenye ukubwa wa 2,200sqm kipo regent estate mikocheni daressalaam tanzania, bei ni dollars million 1.2

    #plotforsale #mikocheni #daressalaam #tanzania KIWANJA KINAUZWA KIWANJA KIPO REGENT ESTATE DARESSALAAM TANZANIA UKUBWA WA KIWANJA NI 2,200SQM KIWANJA KIPO SEHEMU NZURI KABISA NA KUNA NYUMBA NDANI YAKE DOCUMENTS NI TITLE DEED BEI NI DOLLARS 1.2M 🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717...
  13. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kwanja kinauzwa,kipo bahari beach,cha kwanza kutoka lami, kiwanja kina ukubwa wa 4,000sqm na kina fance ambazo zimegawanywa

    #plotsforsale KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA UKUBWA WA KIWANJA NI 4,000SQM NI KIWANNA CHA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI (Bahari Beach) RAMANI YA MUUZAJI ULIKUWA NI KUJENGA APARTMENTS,KWAHYO AKAGAWANYA FENSI VIPANDE VINNE NDANI YA KIWANJA KIMOJA ENEO NI ZURI SANA KWA SHUGHULI MBALIMBALI ZA...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Goba au Madale

    Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi: 1. Vipimo: 500-600 sqm 2. Location:Goba au Madale 3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji 4. Documents ziwe clean na zimekamilika Offer yangu ni milioni 22 mpaka 24.
  15. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mwasonga, Kigamboni

    Ninauza kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa wa 540 SQM kilichopo MWASONGA, KIGAMBONI kipo barabara kuu ukitokea Mwasonga stendi. 📍Mahali pazuri kwa makazi au uwekezaji- miundombinu ipo karibu. Bei 6,500,000/= ( milioni saba tu) - maelewano yapo kwa mwenye nia ya dhati. Kwa mawasiliano zaidi au...
  16. JamiiForums Tanzania Kiwanja kizuri goba sqm 540

    KIWANJA KINAUZWA – GOBA NJIA NNE 📍 🔹 Mahali: Goba njia ya kuelekea Madale 🔹 Umbali: Km 1 tu kutoka barabara kuu, unaingilia kupitia KB Shell 🔹 Ukubwa: SQM 540 – za kutosha kujenga nyumba ya ndoto yako 🔹 Bei: Milioni 38 tu! ✅ Eneo zuri, tulivu na linalofikika kirahisi ✅ Tayari linafikika kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  18. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya ghorofa 5 inauzwa Magomeni Morocco. Bei tsh billion 1.5

    #houseforsale YA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI NYUMBA YA GHOROFA TANO (5) INAUZWA IPO MAGOMENI MOROCCO DARESSALAAM INA APARTMENT NANE (8) ZA VYUMBA VIWILI,SEBULE,JIKO&CHOO PIA INA APARTMENT MOJA YA VYUMBA VINNE,AMBAYO IKO JUU FLOOR YA MWISHO INA FRAME NNE (4) NA ZOTE ZINAFANYA...
  19. JamiiForums Tanzania NYUMBA NZURI SANA INAUZWA,IPO IYUMBU DODOMA,UKUBWA WA KIWANJA NI 1500 SQM,BEI NI MILLION 350 TSH,

    A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area Kitchen + Store Study Room Garden & Ample Parking 💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
  20. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mfipa

    Kiwanja kina ukubwa squire meter 400. Kipo Kibaha kwa Mfipa Milioni tatu na nusu. Km 2 kutoka Morogoro road
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…