kiwanja

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kiwanja maeneo ya Mwananyamala, Kinondoni na Makumbusho ofa milioni 20

    Habari wadau . Nimefanikiwa kukopa pesa bank hivyo nahitaji kiwanja kilichokuwq mjini maeneo ya mwanayamala, kinondoni na makumbusho. Ikishindikana kabisa nipate hata maeneo ya kawe
  2. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni-Dege SQM 1045

    -Ukubwa wa kiwanja ni SQM 1045 - kiwanja ni Tambalale -umbali kutoka Fery ni KM 21 umbali kutoka baharini ni km 3 na kutoka Main Road ni km 3 kiwanja kipo Mtaa wa Shirikisho Document - serikali za Mitaa. Contact for serious buyer 0692450861 Price : 12,000,000/= (Negotiable) .
  3. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside karibu kwa mzee wa Upako, Kibangu Ruge-SQM 2700

    Habari,ninauza kiwanja kilichopo wilaya ya ubungo, Kata Makuburi, kipo karibu na kwa mzee wa Upako. Karibu Km 1.5 kutoka Mandela road. Ni mwendo wa dk 20 kwa miguu kutoka kituo cha daladala ubungo riverside. Kiwanja kina ukubwa wa SQM 2700, kimepimwa, kina nyaraka za serikali ya mtaa (Hati...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mwanaumeee! Usioe mwenamke mwenye kiwanja ama aliyejenga

    Mwanamke mwenye kiwanja ama aliyejenga huyo ni kataa ndoa. Na amejiandalia maisha ya kuwa single muda wote. Ukimuoa ni kama unamsaidia kuimalizia nyumba yake ama kuanzisha ujenzi kwenye kiwanja chake. Wife material huwa hanunui kiwanja ama kujenga. UTANISHUKURU!!
  5. JamiiForums Tanzania MSIDNGANYIKE MKIUZA KIWANJA AMA NYUM.BA SERKL ZA MITAA HAPEWI KITU UNLESS N UTASHI WAKO KUSEMA AHSANTE

    Wiki iliyopita, Bunju kulikuwa kuna kiwanja cha jamaa kinauzwa, na mimi nilikuwa mmoja wa mashahidi. Gafla, serkali za mitaa zilianza kutaka kuulizia kiwanja kinauzwa shilingi ngapi. Mnunuzi akamwambia hiyo ni makubaliano yangu na anayeniuziya. Mwenyekiti akakataa kutoa ushirikiano mpaka ajue...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Jamaa anauza Kiwanja kipo Nzuguni B Opposite na Nyumba 3,500 za TBA

    Habari zenu, Kuna Jamaa anauza Kiwanja kipo Nzuguni B Opposite na Nyumba 3,500 za TBA. Kipo Mahali pazuri sana, nimekiona na nilitaka kununua ila tumepishana bei kidogo. Ukubwa ni SQM 541 Jamaa kakomaa bei 11,000,000/= Karibu Inbox nikupe namba ya Mhusika.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Exchange deal ya kiwanja na toyota alphard no E

    Habari wapendwa! Kuna jamaa yangu ana uhitaji kibiashara hana mtaji wa hela ila anataka gari aina ya Alphard no E iliyo katika hali nzuri kwa ajili ya wazo lake kibiashara. YEYE: Kiwanja 30 kwa 30 Kipo kibaha mail moja Kina beacons tayari, kina pagale zuri hatua ya rinta, umeme na maji...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ulifanya wakati unanunua kiwanja cha makazi au biashara?

    Habari zenu wakuu? Lengo ni kuelishana, kosa ulilolifanya wewe kupitia comment yako huenda likamsaidia mwingine! Mimi kosa kubwa nililolifanya ni kununua eneo sloped, limenipasua kichwa lile eneo, eneo lina viwanja takribani 300, sasa mimi nilienda kununua wa mwisho nikakuta maeneo mazuri...
  9. JamiiForums Tanzania Kiwanja Kibaha maili moja kwa bajeti ya milioni 7!

    Wakuu habari, nina bajeti ya milioni 7 nahitaji kiwanja maeneo ya Kibaha mail moja Kiwe at list KM3 mpaka tano kutoka stendi, naamini humu kuna wenyeji na wenye viwanja maeneo naweza pata surveyed plot kwa bajeti hiyo?
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi Kuandaa Mkataba wa Malipo ya Awamu ya Kiwanja (Land Installment Contract)

    Jinsi Kuandaa Mkataba Wa Malipo Ya Awamu Ya Kiwanja (Land Installment Contract) Maana Ya Land Installment Contract Land installment contract (kwa Kiswahili, mkataba wa mauzo ya ardhi kwa awamu) ni aina ya mkataba ambapo mnunuzi wa ardhi anakubaliana kulipa bei ya ardhi kwa awamu kadhaa badala...
  11. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa, kiluvya kwa sumaye square meter 556.5 tsh. Mil 14

    Karibuni kiwanja wana jamiiforum, kipo sehemu nzuri kutoka kiluvya madukani mpaka kilipo nauli ni buku. Kiwanja hakina udalali na maelewano yapo. kwa mawasiliano zaidi karibu +255617011077 +255713392367
  12. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja goba kibululu Kwa ukubwa wa 25x20 ambapo utapata huduma zote za jamii kama maji,umeme na mengineyoKwa million 10 tu nashida na pesa

  13. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Goba Kibululu kwa million 10

    Kina ukubwa wa 25x20
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kigamboni

    Habari Zenu. Natafuta kiwanja kigamboni maeneo ya Geza au Kisarawe ii. Buget inaanzia mil 10. sharti kiwe na hati ya wizara. Mwenye nacho anichek pm
  15. JamiiForums Tanzania Ujenzi kwenye kiwanja cha 20 x20 or sqm 400

    Naomba kujua kama kiwanja iko kinaweza jenga nyumba ya kisasa na ukapata na parking ya gari mbili(02)? Ukubwa wa vyumba utakuwaje
  16. T

    JamiiForums Tanzania NAUZA KIWANJA

    Ni kiwanja namba 696 kina ukubwa wa sqm 12570. Matumizi ni Housing Estate. Kipo Mtaa wa Vikonje Kata ya Mtumba Dodoma Jiji. Bei ni 6,000/ kwa sqm moja. Kinafaa kwa shule, ofisi, apartments, hotel nk. Kimepimwa na hati iko kwenye process. Mazungumzo yapo. Umbali kutoka mji wa kiserikali ni km 4...
  17. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata eneo zuri la kujenga jijini Dar Es Salaam?

    Habari za mda huu natafuta Kiwanja Dar maeneo mazuri yaliyotulia kwa ambae anacho naomba tuwasiliane bajeti yangu 10M hili jambo lipo serious na tunaweza kufanya biashara Hata leo hii nawakaribisha maoni yenu ni wapi pazuri kujenga Kwa Dar es Salaam hata kwa Kibaha itakuwa poa naomba mnitajie...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Baa sio ya kuiwekea matumaini sana ikianza kujaza wateja, wateja wana tabia ya kukizoea kiwanja ila ghafla huhama kwa pamoja

    Nimewahi kuziona Baa kadhaa ambazo sikuwahi kudhania kabisa zitakuja kupoteza wateja, Wateja walihama kwa style za kimafia sana, yani vuuup!! ghafla bar inaanza kuwa tupu !! sio kwamba bar imefirisika, sio kwamba warembo wamepungua, sio kwamba hakuna service nzuri, n.k. yaani ndio hivyo, Vuup...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Tegeta A

    Kiwanja kina ukubwa wa 20 kwa 20 (400 sqm) kuna vyumba viwili ambavyo vimekamilika na mwenyewe anaishi hapo . Unapanda bajaji za kwenda kwa madawa (kituo cha kushukia ni kwa madawa) sio mbali kutoka hapo na kiwanja kilipo. Bei ya kiwanja ni shilingi milioni 13 . Mawasiliano 0716694624/0685084315
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aridhishwa na Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege Songea

    RAIS DKT SAMIA ARIDHISHWA NA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE SONGEA Kukamilika kwa uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Songea kumefanya Mkoa wa Ruvuma kuwa kitovu muhimu cha biashara kwani idadi ya abiria imeongeza kutoka abiria 3,000 hadi kufikia 19,000 wanaoshuka Mkoani Ruvuma kwa kuwa hivi sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…