Bibi mwenye umri wa miaka 66 anayefahamika kwa jina Julia Albin mkazi wa Tarafa ya Useri wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya eneo lake lenye makazi yakudumu kuuzwa kwa amri ya mahakama, kutokana na mwanae kushindwa kutoa matumizi kwa...
KIWANJA KINAHITAJIKA GOBA
SIFA:
✅️Kiwe Goba maeneo yaliyotulia
✅️Mitaa iliyojengwa vyema
✅️Isiwe changanyikeni au uswazi
✅️Ukubwa uwe sqm 800 au zaidi sio pungufu
✅️Kiwe na hati ya wizara au Mchoro
✅️Bei isizidi Mln 75
Kama unacho chenye sifa hizi ni mmiliki au ni dalali na nitumie ujumbe...
Eneo lipo king’azi maeneo ya mbezi malamba, king’azi Dar es salaam,
Sifa za eneo husika
1. Maji na umeme vipo mpakani
2. Muuzaji ni mimi mwenyewe naishi hapohapo
3. Ukubwa wa eneo upana ni hatua 14 na urefu ni 24
4. Sehemu ni nzuri sana
Nitafute kupitia email yangu Email...
Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada kimepimwakina square meter 700 bei milioni 35 kiwanja kipo kibada karibu na tawi la crdb bank block 5 kwa mawasiano simu 0659962452
Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta.
Mahali: Kimara Temboni.
Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale.
Ukubwa wa Eneo: SQM 308.
Bei: Tzs Milioni 35.
Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa.
Gharama ya kwenda kuona Eneo...
Salam ndugu zangu, mimi ni mkazi wa Mwanza ninaomba kwa atakayekuwa na kiwanja kizuri chenye ukubwa wa kuanzia 30 kwa 40 ama squameter kuanzia 1000.
Maeneo yoyote kuanzia Nyegezi uelekeo wa hadi Usagara.
Hatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani.
Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
Habari ya muda huu ndugu mwanajamii,
Naomba kueleweshwa na anaejua taratibu za kupata hati ya kudumu ya kiwanja alichonunua mzazi akaandika jina langu. Kiwanja kilinunuliwa nikiwa na miaka minne tu, enzi hizo kabla ya uwepo wa NIDA. Miaka 38 baadae, nataka kubadili ile hati ya karatasi ya...
Namtaka bingwa wa kuona Mbali.
Mwenye macho ya Eagle 🦅
Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi.
Hizo nyumba mbili unazoziona.
Moja ina Rangi ya light blue na nyingine imeezekwa Kwa bati ya Rangi ya maruni zipo ndani ya kiwanja.
Sqm 629.78
Hati Safi
Hakuna mgogoro
Dakika moja Hadi...
"Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka miwili kupata hati yake?" - Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya...
Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari .
Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii.
Sasa unajiuliza huyu mtu kichwani zipo timamu kweli?
Huko Keko nako nimekaa aisee asubuhi mpaka jioni ni kunusa...
Habari ya sikukuu wakuu. Kiwanja kinauzwa
🔥Kina ukubwa wa square metres 597
🔥Kinapatikana KISOTA BLOCK 3 Mtaa wa nyuma ya barabara ya Dr Dau.(Ni mtaa ulio oposite na nyumba ya Dr Dau.
🔥Kina hati ya wizara
🔥Ni corner plot yaani kinatazama barabara mbili za mtaa.
🔥Hakina mgogoro wowote kinauzwa...
Leo nilikuwa na mtu mmoja tuliongea mambo mengi kuhusu nchi yetu kuwa na kundi kubwa la CCM wajinga ndio wanaotawala.
Nimeona NIT na serikali kuweka mabilioni ya pesa NIT maswala ya anga.
Udogo wa kile chuo ,kwa nini wasiopeleke Kiwe chato hapo maana kiwanja kilishindikana kuwa na safari na...
Kiwanja kina ukubwa robo eka.
Kipo kibaha visiga.
Umbali Mita 300 kutoka morogoro road.
Unatembea kwa miguu kidogo unaingia ndani.
Bei milioni 9.
0678908743
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.