kiwango cha juu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Pamoja na kampuni ya sandaland kuwa na mkataba wa jezi,kwa wakati huu tulistahili kuwa na jezi za kiwango cha juu!...

    Makonda yupo sahihi sana,tukumbuke makonda ni kijana mwenye ubunifu wa hali ya juu sana,haikupaswa kwa wakati kuwa na jezi zile zile za kimazoea,jezi za wakati wa msimu huu zilistahili kuwa extra katika utengenezaji wake alama zake nini cha kuongeza kwa promo kubwa zaidi katika kulitangaza taifa...
  2. JamiiForums Tanzania Idadi ya Wanaume wasiooa Marekani imeongezeka kwa karibu asilimia 50, kiwango cha juu zaidi

    Siyo poa Wakuu! Idadi ya Wanaume Vijana Wasiooa Marekani Yafikia Milioni 30.4 Dondoo Ripoti ya mwaka 2026 imeonyesha kuwa mwaka 2025, wanaume milioni 30.4 wenye umri wa miaka 20–39 nchini Marekani hawakuwa wameoa, ikilinganishwa na milioni 20.7 mwaka 2000. Hilo ni ongezeko la takriban 47%...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Punguza presha ya kununua gari jipya, Unaweza kununua gari mtaani, ukalifanyia matengenezo ya kiwango cha juu na ulitumie kama jipya kwa bei ya chini

    1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa. 2. Magari...
  4. JamiiForums Tanzania Nani wako nyuma ya hizi ID mpya hapa JF maana zinapost non-sense za kiwango cha juu sana

    Kila siku kuna ingizo jipya Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy NB : Jf is threat to the throne
  5. JamiiForums Tanzania Kuna kiwango cha juu cha umeme wa LUKU mtu anachoruhusiwa kununua?

    Habarini wakuu. Naomba kuuliza swali la kizushi. Kiwango cha juu cha umeme wa LUKU ambacho mtu anaruhusiwa kununua ni kiasi gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  7. JamiiForums Tanzania Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: MwanaSheria wa Kiwango cha Juu Kisheria na Kifalsafa

    Nawakumbusha tu kuwa huyu Tundu Lissu ni legal intellect ya kiwango cha juu! anayechanganya constitutional reasoning, evidence doctrines, na human-rights jurisprudence kwa ustadi wa kipekee. Uelewa wake wa ICCPR, African Charter, na Katiba ya Tanzania humuwezesha ku-dismantle kesi hata zilizo...
  9. JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu ya kumuamini Mungu ni kuishi kama Shetani hayupo kabisa Wala hakuhusu

    Vitabu vya kiroho Biko wazi, mamlaka yote yako chini ya Yesu. Hakuna kiumbe chochote mbinguni na duniani au kihai chochote popote kilicho juu ya mamlaka hii. Watu wengi wanaishi katika double power mindset. Yaani Wanaamini ziko NGUVU mbili zinashindana zenye uwezo unaokaribiana. Moja ya Mungu...
  10. N

    JamiiForums Tanzania KERO Jeuri ya Makondakta kuongeza nauli daladala za Segerea-Kawe imefikia kiwango cha juu kisicho vumilika. LATRA mmelala?

    Ni wazi, LATRA kama chombo cha udhibiti kimeshindwa kudhibiti tabia ya Makondakta na Madereva wa daladala za Segerea-Kawe kuongeza nauli kiholela. Ikifika jioni, daladala hizi zimekuwa na utaratibu wa kuongeza nauli kinyume na sheri, zikidai wastani wa Tsh. 1000-2000 kwa baadhi ya siku. Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Umahiri na weledi wa kisheria wa wakili Nassoro Katuga ni wa kiwango cha juu mno mahakamani, hacheki na mtu, hahitaji ushabiki, wala hana mzaha

    Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama. Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuongezea(ku-dilute) sabuni ya maji maji iwe nyingi ni upumbavu na ushamba wa kiwango cha juu.

    Huu mtindo wa wafanyabiashara wa migahawa, bar na vyoo vya umma kuchukua sabuni ya maji halafu kuiongezea maji ili iwe nyingi ni upumbavu wa hali juu. Wabongo kuna ujanja mwingine tungeachana nao tu maana tunakuwa duni kuliko hata ngedere, kama ni ubahili wa kubana matumizi basi pia ni ubahili...
  13. JamiiForums Tanzania Huu sio uchochezi wa kidini wa wazi kabisa tena wa kiwango cha juu kabisa?

    Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa. Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanazania linafanya kazi nzuri sana kisasa, kwa mipango na weledi wa kiwango cha kimataifa kabisa kote nchini

    Mungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli...
  15. JamiiForums Tanzania Akili Pekee Haitoshi. Kiwango cha Juu cha Akili ni Ufahamu

    Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na akili na kuwa na ufahamu wa juu. Watu wengi hufikiri kwamba akili (IQ) pekee inatosha kumfikisha mtu kwenye mafanikio, lakini ukweli ni kwamba ufahamu (awareness) wa hali ya juu ndio unaotofautisha watu wa kawaida na wale wanaoweza kujitambua, kuelewa mifumo...
  16. JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu cha Elimu ya Menyekiti anayemaliza muda wake CHADEMA

    Mwenye kujua kiwango cha juu cha Elimu ya Mwenyekiti anayaliza muda wake CHADEMA
  17. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi huu uliopita ni kuwadharau Watanzania kwa kiwango cha juu sana

    Ndugu zangu, binafsi nimetafakari kwa kina kile kilichofanyika kwenye kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaliyofanyika ni zaidi hata ya kinachosemwa. Ni hatari kweli kweli. Uchaguzi huu umeonesha ni kwa jinsi gani waliopo madarakani wanavyowadharau wananchi wao. Ebu fikirini...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu cha ELIMU ya Gachagua?

    Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya aliyekua Naibu Rais Kenya Rigathi Gachagua tafadhali. Ukimsikiliza matamshi yake Kuna kitu utang'amua
  19. A

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha juu cha ELIMU ya Zembwela

    Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya huyu mtangazaji/ Msanii Nguli tafadhali
  20. JamiiForums Tanzania January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

    Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba.. Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…