Bomoabomoa yaja waliovamia kiwanda cha Wazo
Wednesday August 31, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akizungumza na baadhi ya wakazi wa maeneo ya Chasimba, Chatembo na Chachui katika Kata ya Wazo.
Bomoabomoa kubwa inakuja kwa waliovamia maeneo yanayomilikiwa na kiwanda cha Wazo...