kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli mtoto wa kiume anatakiwa kutahiriwa wakati wa baridi?

    Nimeshauriwa muda mzuri wa kutahiri watoto ni wakati wa baridi na sio wakati wa joto. Je ni kweli? Kwa hapa Dar es salaam ni mwezi gani mzuri wa kutahiri mtoto( mwezi wenye baridi). Asante sana
  2. JamiiForums Tanzania Nina mashaka kama Wanajeshi wa Korea Kusini waliokuwa wanasimamia "martial law" wataweza kupambana na wanajeshi Korea Kaskazini kiume

    Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta sana kujikusanya na kujipanga, ni kama hawakuwa na utayari wa kutosha. Pia ukiangilia video jinsi...
  3. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kiume kadri anavyokua huanza kumsamehe Baba yake

    Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi. Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine. Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio. Mtoto wa Kiume humchukia Baba pale anapokua Mdogo, humuona Baba kama asiye na Upendo na Mama yake, ama...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Utamshauri nini mdogo wako wa kiume anaetumia pesa nyingi ku spend na madem

    Wewe ni kaka au dada una mdogo wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuacha
  5. JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la sendols za kiume, kwa wafanyabiashara tu

    Nawasalim kwa jina la jmt Kuna watu wanafanya biashara ya hivi viatu, mikoani, daresalaam, visiwani. Hivi viatu unavipata kwa mchina flani hivi anapatikana Narun'gombe na na Msimbazi pale hoteli ya Hong Kong. Bei zake ni za Katoni (24 pieces) na mizigo yake haikai sana. Kalaga baho.
  6. JamiiForums Tanzania NJOO NIKUUZIE SALOONI YA KIUME BEI YA KUOKOTA

    kwa anaehitaji saloon ya kiume in a kila kitu mashine za kunyoa 2, vioo 3, viti vya kunyolea vya dukani 2 kiti cha wateja cha chuma vile special vya dukani kinakaliwa na watu watatu 1 ,shelf 2. ,salooni nauza kwa 350,000/= fixed. location ni mwanza Buhongwa kama upo interested hamna haja ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Shemeji wa Kiume huwa na hisia za chuki unapokuwa na mahusiano na Dada yake?

    Wakuu tujadiliane hili kidogo Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara...
  8. JamiiForums Tanzania Nani alistahili kushinda Mchezaji Bora wa Kiume Ballon d'or 2024?

    Wakuu, Tuzo za Ballon d’Or 2024 zimejumuisha vipaji bora vya soka duniani, na tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume imeenda kwa Rodri (27) wa Manchester City na timu ya taifa ya Hispania. Ushindi huu ni wa kihistoria kwa Rodri, ambaye amekuwa na msimu wa kipekee, akichangia mafanikio makubwa kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuna perfume ya kiume yenye kunukia vizuri kuliko hii?

    Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje Juzi nimepanda zangu mwendokasi...
  10. JamiiForums Tanzania Matangazo ya kuongeza za dawa za kuongeza nguvu za kiume inatudhalilisha wanaume

    Jana nilimpelekea mtu moto mkaal eti baada ya mapuziko ananimbia kuwa mm natumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume," alisema mbna wee wa moto hv au umepaka mkongo nn" 🤣 😂 nikacheka akasema tena "utakuwa unatumia haya madawa ya kuongeza nguvu haiwezekani unikamatie hvyo dk 45 hukojowi tu akasme...
  11. S

    JamiiForums Tanzania swala vijana wa kiume kujenga misuli kwa steroids/protein ni ushamba na kutokujiamin

    .
  12. JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii wa Kiume wasio na Watoto

    1.Jb jerusalem 2.jux 3.piere liquid 4.omy dimpoz 5. Ongezea unaiwaju jamii isiwe gandamiz kumsema wema sepetu na wengine iwe fair
  13. JamiiForums Tanzania Tukiwa tunawaambia kuwa Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa hatuna Masihara katika kutoa Maamuzi ya Kiume na ya mwisho muwe Mnatuelewa sawa?

    Ally Zedi Rajabu mtia nia wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa wa Kitaji, Manispaa ya Musoma mkoani Mara amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya mgombea mwenza kutumia rushwa na majina ya watu wanaodaiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

    Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa. Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kasi ya vijana wa kiume kupungua kuoa si kwajili ya kuogopa majukumu, Kuwaoa wanawake wa sasa kikristo ni kujipiga kitanzi

    Kwa kuwa nchi ina wakristo wengi basi ndoa nyingi huwa zinategemewa kuwa za kiksto, kupungua kwa kasi ya kuoa kumelenga zaidi kwa vijana wa kikristo. Ndoa za kiislam na kitamaduni vijana wanaendelea kuoa kama kawaida, Wengi wanatumia kisingizio cha majukumu lakini hakuna ukweli, kuna vijana...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume wamegoma kabisa kuowa

    Leo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?, Kwa upande wa wanawake wao walitoa maoni yao kwa wingi kuwa vijana wa kiume wanaogopa majukumu, Na vijana wa kiume walikomaa Na...
  17. JamiiForums Tanzania Wakabidhiwa Mbegu za kiume za mtoto wao aliyefariki

    “Mtoto wetu wa kiume alifariki. Ila tutatumia mbegu zake kupata mjukuu” Wanandoa nchini India wana furaha baada ya mahakama kuamuru hospitali kuwakabidhi sampuli ya mbegu za kiume zilizogandishwa za mtoto wao aliyeaga dunia ili wapate mjukuu kupitia mwanamke atakayebeba ujauzito kwa mbegu hizo...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume kutongoza wanawake waliowazidi umri sana ni tabia mbaya na ya hovyo?

    Kuna haya malalamiko ya huyu bibi anayesema vijana wanawatongoza wanawake sawa na mama zao akisema ni tabia mbaya na za hovyo! Ni sahihi kuwasema vijana wa aina hiyo hivyo? Akizungumza kwenye kipindi cha JIRANI Mama Terry amesema vijana wengi wa kiume sasa hivi wamekuwa na tabia mbaya na za...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa vijana wa kiume wanaotafuta wachumba

    Neda Israel; kuna warembo wengi wa kishua mitaani
  20. JamiiForums Tanzania Yanayomaliza na yanayoongeza nguvu za kiume

    Mada pendwa kwa wanaume! Hebu tujikumbushe yale yote tuliyowahi kusikia, kuona, kusoma au hata kuexperience kuwa yanachangia katika nguvu za kiume kuongezeka au kupungua. Nitataja randomly baadhi ya magonjwa, kazi, mazoezi, tabia, vyakula na vinywaji Kula chips- weka za kushiba na kila kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…