kiumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Ninachojua Binadamu ndo kiumbe pekee ambaye hana Akili

    Huwa nashangaa Sana MTU akisema Binadamu Ana akili Sana kuliko wanyama wa kawaida hii hapana Human being is toxic creature. Binadamu alibidi kuishi kwa Upendo na kuyatawala mazingira na sio Kama ilivyo sasa. Hajitambui
  2. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Mycelium (Uyoga): Kiumbe Kikubwa Zaidi Duniani na Hadithi ya Uhai Usioonekana

    Je, uhai lazima uwe na macho? Lazima utambe au uruke? Au unaweza kuwa kitu tulivu, kinachostawi gizani, kikienea polepole kwa mamia ya karne bila mtu yeyote kugundua? Katika simulizi ya ajabu ya maisha, kiumbe kikubwa zaidi duniani si nyangumi wa buluu anayetamba baharini, wala si mti wa miwata...
  3. Oppo A17k

    JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

    1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate 2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
  4. Ibn Unuq

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Ibn Unuq: Kiumbe Aliyewahi Kuikimbiza Radi na Maajabu Yake 33 ya Kushangaza!

    Huyu ndiyo Ibn Unuq aliyeshikilia maajabu yake kihistoria kwa miongo kadhaa mpaka akaingia kwenye viumbe wa kale wa ajabu. #1 Aliwahi kuikimbiza radi mpaka ikachoka na kuomba mapumziko. #3 Aliwahi kupiga chafya — upepo ukabadilika mwelekeo ghafla. #5 Siku moja aligombana na kivuli chake kwa...
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa VITA duniani ni ishara pekee kuwa binadamu ni kiumbe ambaye ana akili ndogo , unatoka kwako kwenda kupigana kwa ajili ya mwanasiasa fulani!

    Huwa nawaambia binadamu ndo kiumbe ambaye hakupewa akili Ila baadhi ya watu wanabisha. Ebu jiulize hao M23 wanapambania nini ? Au vita ya Russia ma Ukraine ilisababishwa na nini. Mtu unakubali kwenda kuuliwa na hao M23 kisa umetumwa na hawa wanasiasa Vilaza na wajinga ambao wanapambania...
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

    Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha...
  7. Knock life

    JamiiForums Tanzania Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?

    Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini? Sababu kubwa ni kuwa binadamu ndo kiumbe ambacho hakina akili . Ebu fikiria MTU anaumia ,anateseka , anakuwa mwizi , ili tu apate vitu ambavyo kavitengeneza binadamu mwenzake .
  8. Tman900

    JamiiForums Tanzania Jamaa anamjali demu wake lakini demu anasema hana hisia na jamaa

    Hii kitu imenishangaza sana kwa Hawa Viumbe. Mshikaji ana muhudumia Demu kwa Kila Kitu, jioni anamfuata Kazini, na asubuhi anampeka Kazini (Privet Car). Sasa Cha kushangaza Demu ananiambia "mi yule Bwana hata Sina hisia nae" mi nikajiongeza kumsemesha mambo ya mapenzi kajaa nimemvua chup...
  9. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Ngiri ni kiumbe mwenye matukio ya hovyo kushinda wanyama wote wa porini inawezekana akawa ndio comedian wa mstuni.

    Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
  10. Surya

    JamiiForums Tanzania Timu kataa Ndoa kuweni Makini sana tunaishi na kiumbe kinaona zaidi yetu

    Sijui nieleze vip nieleweke vizuri, lakini kwa utafiti wangu ninachokiona Mwanaume anamuhitaji sana Mwanamke kuliko Mwanamke anvyomuhitaji Mume. Mwanamke kaumbwa kuwa kijakazi, au utumishi chini ya Mwanaume, Mwanamke anaweza kuwa Kijakazi hata kwa Mwanamke mwenzie. Mwanaume ukikataa uwepo wa...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Mbwa Laika ni kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia

    Nimekutana na stori inadaiwa kuna Mbwa wa Urusi anayeitwa Laika ndiye kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia? Kuna ukweli kuhusu historia hii?
  12. jangos

    JamiiForums Tanzania Huyu ni kiumbe gani?

    Leo nimeona kiumbe ambaye kanshangaza Au mnamjua wakuu👇👇
  13. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe wa namna gani?

    Nisaidie kutoa jibu
  14. Brojust

    JamiiForums Tanzania Kama binadamu ametengeneza Bomu la nyuklia kwanini asiwe ndio kiumbe hatari zaidi Duniani

    Wakuu karibuni tuchemshe bongo. Source ya picha ni BBC Watu wa imani wanasema binadamu aliumbwa na Mungu na alipewa akili ya kutawala kila kitu yaani viumbe wote. Sasa hapo juu ndio list ya wanadamu wanaouliwa na viumbe hawa tuliopewa nguvu ya kuwatawala. SWAL I: Je, Ni kiumbe gani chini ya...
  15. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sioni tena umuhimu wa kuishi na kiumbe anayeitwa mwanamke

    Na sio tu mwanamke, bali sioni kabisa umuhimu wa kujihusisha kwenye suala zima linaloitwa ngono, iwe ya aina yoyote ile Mwaka jana nilianza kama masihara hivi, nilikuwa kataa ndoa tena mwanachama kindaki ndaki, baada ya hapo nikasajiliwa kwenye chama cha kataa genye, hapo nikaamua rasmi...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Jellyfish kiumbe pekee asiyeweza kufa.

    Sio jellyfish wote hawafi ila kuna huyo kitaaluma anaitwa Turritopsis dohrnii yeye pia huanza maisha kama lava, inayoitwa planula, ambayo hukua kutoka kwa yai lililorutubishwa. Planula huogelea mara ya kwanza, kisha hukaa kwenye sakafu ya bahari na kukua katika koloni kisha hutokeza medusa hii...
  17. The Best Of All Time

    JamiiForums Tanzania Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka. Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
  18. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Vijana mmsiishie kuweka mimba tu una jukumu kwa kila kiumbe unacholeta duniani

    Kama unajiona huna uwezo wa malezi bora kwa kiumbe chako na hauna uwezo wa kukitengenezea kesho yake bora ni vyema kabisa usizae. Kufa mwenyewe na umasikini wako acha kuleta kiumbe uje ukipe mateso kwenye hii dunia ya hovyo. Umasikini ni mkubwa sana Africa ukiwa mtu wa field au kazi za mitaani...
  19. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

    Habari zenu wakuu, Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamekumbana na shughuri ya kiumbe anayeitwa mwanamke, tena ilikuwa ni shughuri nzito kweli kweli na kwasababu ilikuwa ni ndoa yangu ya kwanza Basi nikaamini pengine ndiyo maana misikitini na makanisani mashehe na wachungaji wetu wanahubiri...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana. Anaweza akakupenda pasi na kukupatia zawadi ya ngono

    Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni, huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu. Vijizawadi vidogo vidogo vya...
Back
Top Bottom