kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania KUHAMA KITUO CHA KAZI KWA MASHIRIKA YA UMA YA SERIKALI

    Wakuu mimi niko Mamlaka ya maji nawafikiria sana TRA, TBS, eGA, TCRA na TANAPA ni ICT afisa, nataka nipambanie uhamisho kwenye hizi taasisi ni ICT afficer II-SOFTWARE DEVELOPER(WEB) hii taasisi haifanyi software development kabsa zote zinafanywa na eGA, naomba msaada wa kiufundi watalam ili...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Heko kwa bodaboda wa Kituo Kipya Gongo la Mboto DSM

    Nimefurahishwa sana na bodaboda wa Kituo Kipya Gomz DSM, Nmependa sana utaratibu wa kusimamisha watu kutopita njia ya SGR pale zipitapo treni mimi nmepita leo mida ya saa1 jioni hivi nkajiuliza kuna nini hapa kusubiri kidogo naona treni ya SGR hii hapa Hongereni sana kujali uhai hasa kwa watoto...
  3. JamiiForums Tanzania Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo. Muhumiwa huyo alikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania House4Rent Kituo cha mafuta (Sheli ) kinapangishwa. Kipo Boko Magengeni

    Update :tayari kimepata MTU , thank you all.🙏🏽 Kituo cha mafuta kinapangishwa kipo Boko Magengeni . Price 8M - eight million per month Bei million nane Kwa mwezi Kina matenki matatu Diesel lita 25000 Petrol lita 25000 Diesel lita 9000 Ukubwa wa eneo ni Square metres 2970 Call...
  5. JamiiForums Tanzania Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  6. JamiiForums Tanzania Kuhama kituo Cha kazi

    Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kuanzisha mchakato wa kuhama kituo Cha kazi na changamoto zake kwenye mchakato. Ahsante
  7. JamiiForums Tanzania KERO Nauli katika Kituo cha Bajaj Ferry (Dar) zinapanda kwa kasi, Wananchi tunaumia, LATRA mdhibiti kinachoendelea

    Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli. Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini wiki kadhaa zilizopita ilipanda ghafla na kuwa Shilingi 1,000 mpaka 1,500 kwa abiria wanaoelekea...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa: Ujenzi kituo cha bunifu za TEHAMA(STARTUPS) Tanga mbioni kuanza

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia vijana wa mkoa huo kujikwamua kiuchumi. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 23 Januari, 2025...
  9. JamiiForums Tanzania Kituo cha Biashara Ubungo then asilimia 100 ya products ni imported tena kutoka China, inasikitisha mno

    Ni wajinga ndio wanaweza shangilia huu ujinga, haiwezekani kijengwe the so called kituo cha biashara na asilimia 100 ya products hapo ni kutoka nje na tunaona ni sawa kabisa tena tunashangilia na kushangilia kabisa kwamba sasa maisha yatakuwa rahisi sana. Ni sawa na Kariakoo pale na hivyo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe siku zote alijua watekaji na wauaji ni nani na kituo chao kipo wapi, hakutaka kusema hadi alipoona itamnufaisha binafsi kisiasa?

    Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: CHADEMA ni kubwa kuliko mtu yeyote

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na clouds amesema "Hapa Dar es Salaam kila Mtaa unaouona una uongozi wa CHADEMA wa Baraza la Chama, la viongozi wa chama. Na katika Vijijini zaidi ya 12,000 zaidi ya 80% tuna viongozi katika vijiji nchi nzima na hatimaye sasa Vitongoji...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Adv Levino: CHADEMA Sio kituo cha kulelea Wazee kufikia miaka 68

    Anaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO, == Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:* KWAHIYO....... 1. Ndo ilikuwa gharama ya kumzima Lissu awe zuzu asikemee rushwa na pesa chafu...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Kituo kidogo cha magari Simike - jijini Mbeya kinahatarisha usalama wa abiria

    📖Mhadhara (71)✍️ Mbeya ni mkoa ambao unakabiriwa na matukio ya ajali za mara kwa mara. Maeneo ambayo ajali hutokea sana ni; 1. Mlima nyoka, 2. Mteremko wa Simike (Nzovwe), na 3. Mlima wa Mbalizi. Licha ya ajali nyingi kutokea katika maeneo hayo hasa Mteremko wa Simike (Nzovwe), lakini mabus...
  14. JamiiForums Tanzania Tumekaa zaidi saa moja tunasubiri kwenye kituo cha mwendokasi Msimbazi

    Kwenye kituo cha mabus ya kutoka gerezani kwenda Mbezi Mwisho abiria tumejaa tu humu mabus yanatupita hadi watu wamepaniki na kuwatupia lawama walinzi wa kituo.
  15. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa kijiji na serikali yake wahitajika kituo cha polisi kwa kosa la kuwahoji wafugaji walioingia kijijini bila utaratibu wa kisheria

    NAMTUMBO -RUVUMA Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mimi ni mkazi wa mjini Songea ila mzaliwa wa wilaya ya Namtumbo katika kijiji cha Songambele. Kutoka na maisha ya mjini na changamoto zake nikaamua kuja kijijini kwa ajili ya kilimo cha mahindi ili mambo yaende sawa...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Watumishi Kituo cha Afya Rusumo (Kagera) hawana lugha nzuri na hawatoi huduma nzuri pia kwa Wagonjwa

    Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera. Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
  17. JamiiForums Tanzania Serbia paa la kituo cha Treni limeangua aliyekuwa Waziri kakamatwa na kushtakiwa, Tanzania kilijengwa kituo cha Mabasi Jangwani aliyekuwa Waziri kawa

    Uwajibikaji na kuwajibishana ni moja ya nguzo kubwa sana ya maendeleo. Huko Serbia aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa Kituo cha Treni amekamatwa na kushtakiwa baada ya paa la kituo hicho kuanguka. Tanzania tunakumbuka aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa kituo cha Mabasi...
  18. JamiiForums Tanzania Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako.

    Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe na box Mungu wapiganie watu wako sikiliza haja mioyo Yao......
  19. JamiiForums Tanzania Mabasi ya mikoani kuwa na kituo kimoja cha kujisitiri

    Habari Wandugu! Leo kero yangu ipo kwa wasafirishaji wa abiria Mikoani haswa masafa marefu ya kuanzia masaa sita na kuendelea. Ni kawaida kwa wasafirishaji wa mabasi kutokuwa na vyoo ndani ya mabasi yao na pia kuweka sehemu moja katika safari nzima kwa ajili ya huduma za kijamii ikiwepo kula na...
  20. JamiiForums Tanzania Aliyeng'atwa na Nyoka afia Kituo cha Afya kisa hana 150,000 Wilayani Babati

    KATIKA hali ya kusikitisha, mkazi wa Magugu, Wilaya ya Babati, Juliana Obedy (44), amepoteza maisha baada ya wataalamu katika Kituo cha Afya Magugu, kudaiwa kumcheleweshea huduma kituoni hapo kutokana na kugongwa na nyoka. Imedaiwa kuwa, sababu za kucheleweshwa kwa huduma hiyo ni wataalamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…